Billie
JF-Expert Member
- Aug 13, 2011
- 12,720
- 19,860
Hivi kwa nini mwanamke akitoka nje ya ndoa mara nyingi inakuwa ndo mwisho wa ndoa ila mwanaume akitoka nje ya ndoa(kusaliti) ugomvi unakuwa mdogo na ikiweze suluhisho hufanywa na ndoa inaendelea.Swali langu ni kuwa "kuna nini kimefichika hapa?"Haswa kwa ndoa zetu za kibongo.WASOMAJI NAOMBA MITAZAMO YENU KWENYE HILI