"Jamani mke wangu,huu ni ulafi!!... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

"Jamani mke wangu,huu ni ulafi!!...

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Eiyer, Jun 21, 2012.

 1. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #1
  Jun 21, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,237
  Likes Received: 3,651
  Trophy Points: 280
  . . . . Ilikua ni leo wakati nimerudi mapema baada ya kwenda kijiweni na kukuta leo hakuna kibarua cha kuponda kokoto,tajiri alikua hajapata tenda.Nikaja mpaka home na kujilaza kwa machungu nikijua siku ya leo itakua ngumu sana,si hakuna hela ya kula!Wakati nipo ndani wapangaji wenzangu walijua sipo,pembeni ya chumba ninachoishi nimepakana na jamaa mmoja ambae ameoa,muda ule jamaa hakuwepo,alikuwepo mkewe.Ndipo nikiwa ndani nilisikia yule mke wa jamaa aliepanga chumba kinachopakana na changu akipata mgeni.Mgeni yule alikua ni dada ambae baada ya kumsikia sauti nikamfahamu,nyumba tuliyopanga haina siling bodi hivyo nilisikia yote waliyoongea. . . . . . . . .Yule dada mgeni baada ya salam na story kidogo akamwambia mwenyeji wake,"Mwenzangu ndoa yangu inanishinda" mwenyeji akamwuliza,"kulikoni?"dada mgeni akajibu "Si unajua ndoa yangu na mume wangu mlokole inatimiza miezi sita kesho,mh,yaani mimi na mume wangu kila tukifanya mapenzi,akipiga bao moja tu hataki kurudia,nikimwambia sijatosheka ananiambia,mke wangu maandiko yanasema tuwe na kiasi,tukizidisha ni ulafi.Na imekua ndo kauli yake kila siku,mi nimechoka"!Yule mwenyeji alitoa mguno wa mshangao kisha akampa pole,walizungumza mengi ila mwisho yule mke wa mlokole alisema "nampa miezi 6 asipojirekebisha ataisoma namba"kisha nikasikia mlango unafunguliwa kukawa kimya. . . . , .Nikajiuliza;hivi na ushamba wangu kumbe box manyoya nayo inaliwa kwa kiasieeeee au nyie mnasemaje waungwana?
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Jun 21, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  walokole kwa ngono
  hawana washindani
  hii story tu
  uliza uambiwe
   
 3. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #3
  Jun 21, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,506
  Likes Received: 2,246
  Trophy Points: 280
  Eiyer, nakubaliana na The Boss, lol! Except that kwao ni tendo la ndoa sio ngono.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #4
  Jun 21, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,978
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  mhm...huyo anapitiwa mbavuni sasa hivi...mke anataka yeye anaringa. atawapa wanaotaka raundi nyingi
   
 5. N

  Nyukibaby Member

  #5
  Jun 21, 2012
  Joined: Jun 16, 2012
  Messages: 81
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kaziii ipooo!!¿ Ni napita tu miye simo!
   
 6. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #6
  Jun 21, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,237
  Likes Received: 3,651
  Trophy Points: 280
  Huu ni mtazamo wako,lakini una makengeza!Unawajuaje wote?Hii sio hadith ni jambo limetokea leo!
   
 7. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #7
  Jun 21, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,237
  Likes Received: 3,651
  Trophy Points: 280
  Tendo la ndoa ni ngono,tofauti ni jina tu.Mtazamo wa the boss una makengeza!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #8
  Jun 21, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,237
  Likes Received: 3,651
  Trophy Points: 280
  Itakula kwake,na hivi wanasema eti wapo wanaozisimamia kama baiskeli!
   
 9. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #9
  Jun 21, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,590
  Likes Received: 796
  Trophy Points: 280
  Hi hny!
  Nafikiri ulokole has nothing to do with the man's libido. Ni mchovu tu basi, ila kwa vile they know how to quote verses in almost everything basi katumia hiyo chance kufichia udhaifu wake. Mbaya kwake kwakuwa, the wife hasn't buy that one!
   
 10. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #10
  Jun 21, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  mchovu kama nanihii...lol
   
 11. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #11
  Jun 21, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,590
  Likes Received: 796
  Trophy Points: 280
  Kama The Booooooo.... malizia basi!
   
 12. B

  Bob G JF Bronze Member

  #12
  Jun 21, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 2,354
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  wanawake wengine ni balaa. ukiwa legelege imekula kwako
   
 13. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #13
  Jun 21, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,590
  Likes Received: 796
  Trophy Points: 280
  Point of correction; sio wanawake wengine; bali wanaume wengine wachovu!

  Wewe uingie tu halafu umalize na huwezi rudia cha pili then unalaumu wanawake, shame on you. Be man enough to admit n work on ur shortcomings n stop blame ur spouse!
   
 14. Purple

  Purple JF-Expert Member

  #14
  Jun 21, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 2,031
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 160
  Muda si mrefu mume mlokole atajikuta analia na moyo maana wasiokua na kiasi(walafi) watamsaidia kazi!
   
 15. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #15
  Jun 21, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,468
  Likes Received: 4,127
  Trophy Points: 280
  Ha ha haaah!! Una uzoefu nao?
   
 16. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #16
  Jun 21, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Tendo la ndoa na ngono kuna tofauti gani?
   
 17. Bazazi

  Bazazi JF-Expert Member

  #17
  Jun 21, 2012
  Joined: Aug 18, 2008
  Messages: 2,023
  Likes Received: 544
  Trophy Points: 280
  Mhh Kazi ipo, kama k#t*mb@n@ kuna kiasi. Anajitafutia kwa makusudi kusaidiwa na vidume vya mbegu.

  Bazazi!
   
 18. stephot

  stephot JF-Expert Member

  #18
  Jun 21, 2012
  Joined: Mar 1, 2012
  Messages: 5,001
  Likes Received: 2,614
  Trophy Points: 280
  Hawa walokole inaonyesha wanapenda sana ngono,kuna mmoja tuna fanya naye kazi kaolewa juzi kati akiwa na mimba ya miezi 6,nikajiuliza ina maana hawa walikua wana fanyana kabla hawajaoana,yaani hadi noma maana ana wiki ya tatu tokea wafunge ndoa mtumbo huoooo.
   
 19. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #19
  Jun 21, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  The Boss, unaongea as if u r soooo sure! ngoja mama lwakatare akusikie, thimooooooo!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #20
  Jun 21, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,237
  Likes Received: 3,651
  Trophy Points: 280
  Hi swt!Yes jamaa anaweza kuwa ni mchovu au akawa kweli anayachukuli maandiko kihivyo. . . . Nina uzoefu na hawa watu!
   
Loading...