Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

No matter which colour u ar o religion, what a care z ya ur self n ya.age 23-45 plz very important.halla me at 0713208553 kiddy_adams@hotmail.com and final let's share that place attached here frnd.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Heshima kwenu brothers, sisters and marafiki zangu wote wa MMU. Msaada wa maombi kidogo ni muhimu as nipo kwenye kipindi kigumu, b mkubwa anafanyiwa serious operation and by now nipo nae Apollo...
4 Reactions
30 Replies
3K Views
Napenda kua na mpenz mwenye umri usiozidi 19.
0 Reactions
16 Replies
2K Views
BINTI ULIYETAYARI NJOO UWE MCHUMBA WANGU HATIMAYE MKE!! Sifa stahiki: 1. Elimu ya chuo ngazi yoyote. 2. Mcha Mungu Dini Yoyote. 3. Msikivu. 4. Asiyependa Kujikweza kwa matumizi yasiyo ya lazima...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Sorry kwa inayo muhusu bali huu ni mtazamo wangu kwani naamini wanafanya hivyo? kwa mtazamo wangu hawa watu hadi wamefikia hapo ni kwa sababu hizi 1.Tamaa ya pesa 2.Kupenda kuiga mambo kwa watu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wadau, wahenga wanasema ukistaajabu ya musa basi utayaona ya firauni, ilikuwa jumatano nimekaa nimetulia ofisini nafanya michakato kiofisi,mara nikaona sms kuisoma ikawa na ujumbe huu "mambo...
1 Reactions
76 Replies
12K Views
Mchumba wa rafiki yangu ana nyumba amejenga dar ambapo ameweka wapangaji lakini chumba kimoja Amempa dadake akae bure.Cha Ajabu ni kwamba Huyu kaka ambae Ni Mchumba wa rafiki yangu kila akija dar...
3 Reactions
83 Replies
9K Views
" D..Unaikumbuka siku ile? Takribani miaka 6 iliyopita, nilikutokea.. sikuwa mahiri katika kutongoza bali nilivutiwa na wewe kiasi kwamba nikaingia ujasiri wa ajabu na kuanza kumwaga sera. Ulikuwa...
4 Reactions
9 Replies
4K Views
Wapendwa hamjambo? Nimewamiss Kuna sehemu nimesoma eti matatizo ya mapenzi (Love problems) yanaweza pia kutokea iwapo mtu utaanza kuwa na mawazo ya "Je ninampenda zaidi ya anipendavyo? (do I love...
3 Reactions
84 Replies
6K Views
Labda kama sijui vizuri naomba leo Wana JF mnijuze vyema. Utawasikia Njiani, Sokoni, Makazini oooh nalea mie au watoto wangu nimewalea vizuri kweli, wakati ukweli ni kwamba wao na Waume wanaondoka...
0 Reactions
0 Replies
748 Views
Nipo serious katika swala hili na nimeamua kwa dhati kabisa kutoka moyoni mwangu kutafuta mwenza wa maisha kwani maisha ya ubachela yana vishawishi vingi na masha ya kuruka ruka ni ya hatari...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni jana ndoa ya bro wangu ilikufa kabisa. Chanzo cha kifo cha ndoa hiyo ni baada ya bro kumfungulia mkewe biashara na kumkabidhi ili ajipatie mahitaji yake sio mpaka mumewe ampe. Lakini cha...
1 Reactions
109 Replies
7K Views
Hai wanajamii! Asubuhi hii nimekutana na msemo huu: Sleeping with someone is sleeping with someone it does not mean you are a couple! Sasa najiuliza nini kinakufanyeni nyie muwe "couple"?
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Asalam aleykum (a.k.a Shalom) Kama weekend mbili hivi zilizopita tulikuwa na kijimtoko; mimi hun wangu na some friends in pairs. Sasa jamaa mmojawapo alikuwa single na alialikwa wa hawa wadada coz...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Wanamama wameanza kudai haki zao kwa stahili Mpya. Soma Biramu. I DIDN'T COME FROM YOUR RIB.... YOU COME FROM MY VAGINA. Kwa wenzangu na miye maana yake. SIKUTOKA KATIKA MBAVU ZAKO.... UMETOKA...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Shirika hili ni la dini ila hizi habari nimezisikia nataka kupata uhakika kama kuna tabia ya wakubwa kuwa na mahusiano na wafanyakazi wa kike. Chanzo chetu kinasema eti ili mwanamama upate...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hodi jamani humu ndani! mimi mgeni wenu naomba mnipokee. mnielekeze na kuniongoza mpaka niwe mwenyeji! sawa jamani? :lol: :juggle:
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Poleni kwa majukumu wana JF. Tarishi hauawi, naleta ujumbe kama nilivyoupata toka kwa mlengwa. Anayetafuta mchumba ni mwanamke mwenye sifa hizi: - Ni mrefu wa wastani, maji ya kunde - Ana umri wa...
0 Reactions
22 Replies
5K Views
Habari zenu wana MMU.Mtakubaliana nami kwamba mwana mmu mwenzetu, Mtambuzi, amekuwa mstari wa mbele katika kutusimulia visa,na kesi za kimataifa zilizokamata hisia za wengi kwa wakat huo...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Kusema kweli japo kuwa sio wote lakini asilimia kubwa wanawake bado mmeshindwa kutambua kuwa dunia ya utegemezi imeishapitwa na wakati ni ukweli usifichika wanawake mmezidi kuomba omba pesa wengi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…