Wasagaji na mashoga

Chimbinga

New Member
Jun 22, 2012
2
0
Sorry kwa inayo muhusu bali huu ni mtazamo wangu kwani naamini wanafanya hivyo? kwa mtazamo wangu hawa watu hadi wamefikia hapo ni kwa sababu hizi

1.Tamaa ya pesa
2.Kupenda kuiga mambo kwa watu wengine
3.Wavivu na wazembe wa kufanyakazi

Waungwana mnalionaje hili hawa watu mnawachukuliaje katika jamii yetu ya Kitanzani?
 
Waambie wasanii wako na waache kuigaiga hovyo,kusuka na kuvaa hereni ni Tabia za kishoga
 
Back
Top Bottom