Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hii kitu inanikera sana na akina dada mlioko kwenye mahusiano mnatakiwa mtambue hili. Kuna haja gani ya kuwa na utitiri wa ma GUY FRIENDS? Ukisisitiza kuwa eti marafiki zako wengi wa kike hawako...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
kuna mdada mmoja yeye aliolewa miaka miwili niliyopita akaja kugundua mume wake alikuwa na mahusiano wakati wako katika uchumba na mpaka siku chache za harusi alikuwa bado wanawasiliana,je afanyaje?
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Members, ni kwa nini pete za ndoa huvaliwa mkono wa kushoto na kidole cha nne tu??
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Salut wana jf.. Mara nyingi nimekua nikifanya utafiti ili kujua ni nimi hasa kinacho weza kumfanya mwanamke ampende mwanaume. Na zifwatazo ni sababu kulingana na uzito kila moja:- 1...
1 Reactions
66 Replies
7K Views
Unaenda club na mpenz wako{wa kike},unakuta kuna bendi ya flani ya mziki inatumbuiza,halafu cha kushangaza huyo mpenzi wako anaenda kumtuza msanii pesa na anamkatikia mauno utadhani...
0 Reactions
57 Replies
5K Views
mm ni bint wa miaka 28 nipo nrb na pia nakaa tz,napenda kuwa na mahusiano na mwanamke mwenzangu,kuanzia umri wa 27 aliye tayari tuwasiliane,nasra.faraji2yahoo.com Naitwa jackie maduhu miyeye,umri...
0 Reactions
36 Replies
18K Views
Hivi sasa wanandoa wa Marekani hawako tayari tena kujiapiza kwamba, wataishi na mume hadi kifo kije kiwatengenishe. Badala yake, wengi hutaka kujiapiza kwa kusema, “tutaishi kwa shida na raha...
5 Reactions
54 Replies
5K Views
Habari hii ipo kwenye gazeti la Mwananchi la Jumapili kwamba Peter Nyamanyafu (34) kijana kutoka Buhare Musoma Mjini ameamua kufunga kwa kufuli sehemu zake za siri na funguo kumkabidhi Mchungaji...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Kwa Watanzania wengi wanaijua hii show ya Bongo sstar search na nyingine zinazofanana na hiyo ila ni watu wachache wanaoweza kujifunza kitu kwa kulinganisha maisha yao na show hiii. ukweli ni...
15 Reactions
55 Replies
4K Views
Katika maisha ,hufika wakati ambapo m2 hutakiwa kuamua ni nani wa kuwa life partner wake. Kusema kweli inaweza kuonekana kama jambo jepesi,linalohitaji kutazama 2 na kuamua,lakini yale tuyaonayo...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Hi! Kuna thread moja inahusu michango ya harusi imenikumbusha mbali. Hivi jamani, mnazijua gharama anazoingia bwana harusi hadi anapooa? Katika hali ya kawaida kabisa, kama wewe ni mwanaume na...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
mi kweli kwamba mwanaume anapopata mke responsible,anayejua majukumu yake na kuyafanya,kumpenda mume wake na watoto wake, na nduguze ni dawa kumfanya mume awe mume mwema na ikiwezekana...
2 Reactions
30 Replies
3K Views
Nimekuwa na mahusiano na huyu binti kwa miaka 2 sasa nafsi yangu imeridhika naye na tulipanga baada ya yeye kumaliza masomo tuanze mipango ya ndoa, sasa kamaliza masomo yake....aliwaeleza wazazi...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Sijui niseme ni nyota, au sijui ni nini. Mim ni kijana niliyebarikiwa yafuatayo, 1.Handsome na mtanashati 2.Mpendwa 3.Talented in music instruments (giter na kinanda) 4.Talented in books...
1 Reactions
110 Replies
10K Views
Mimi ni mwanamke wa umri wa miaka 30,natafuta mwenza kupitia jukwaa hili.Sifa nizitakazo kwa huyo mwenzi awe na muonekano mzuri tu na awe nakipato walau chakujikimu yeye mwenyewe kama una mtoto...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mke anapomjali na kumkubali mume humuongezea kujiamini… Mahusiano kati ya mume na mke nyumbani huweza kumfanya mume afanikiwe kwenye shughuli zake au aanguke. Kwa nini? Ni kwamba, mtu...
5 Reactions
44 Replies
5K Views
The science of love When do you know if you fancy someone? What does love do to your brain chemicals, and is falling in love just nature's way to keep our species alive? We call it love. It...
4 Reactions
21 Replies
3K Views
Nina mke wangu nampenda sana, tuna miaka 2 ktk ndoa. Mke wangu ana nyege za mbali sana yani huwa namchezea hadi nachoka ndio analoana, huwa nachezea matiti, mara sehem ya siri, mara namnyonya...
1 Reactions
27 Replies
5K Views
Unaposimama mbele ya msichana na kumtamkia kwamba wampenda, ukijua kwamba neno hilo lina impact kwenye feelings na saikoloji ya mhusika, ukiwa na "uhakika" kwamba unamchezea na utamuacha mwenye...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Nilikuwa na mpenzi ambaye tulianza uhusiano mnamo mwaka 2010 kipindi hicho yeye alikuwa anasoma lakini wakaja wakakosana na wazazi wake hivyo akawa ni mtu wa kutanga tanga, mimi nikaona sio vizuri...
1 Reactions
32 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…