Swali: Pete za ndoa!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Swali: Pete za ndoa!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Ipyanah, Jul 11, 2012.

 1. Ipyanah

  Ipyanah Member

  #1
  Jul 11, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 99
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Members, ni kwa nini pete za ndoa huvaliwa mkono wa kushoto na kidole cha nne tu??
   
 2. salito

  salito JF-Expert Member

  #2
  Jul 11, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,365
  Likes Received: 352
  Trophy Points: 180
  mhhh haya acha waje watujuze...lakini nahisi ni mazoea tu...
   
 3. jamii01

  jamii01 JF-Expert Member

  #3
  Jul 11, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,836
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Mwanamke alipoumbwa kutoka kwa mwanaume alichukuliwa ubavuni mwa mwanaume(kushoto)na pete ni kama ishara ya uhaminifu kwa wanandoa mpaka kufa..kwenye kila hari,shida,magonjwa,njaa,utajiri,furaha.n.k.

  na uvaliwa kidole cha nne kama ijulikanavyo na wengi kidole cha pete,kwa sababu kidole hicho hakina shughuli nyingi kama vidole vingine kwenye ufanyaji wa kazi..na pia ni kidole cha pili kwa ukubwa kama ishara ya wapili(mpenzi)ndiyo msaidizi wako

  watakuja wengine..
   
 4. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #4
  Jul 11, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,507
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Unataka kuvaa mguuni? Does it have to have any meaning? Sijawahi ku-bother my pretty head!
   
 5. PetCash

  PetCash JF-Expert Member

  #5
  Jul 11, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 1,679
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Pete huvaliwa kidole cha nne cha mkono wa kushoto kwa sababu;

  Kwenye historia ya kigiriki na kirumi ya zamani (Grecian-Roman mythology) mungu jua (Apolo) alikuwa akiheshimiwa sana. Sasa philosophers walikuwa wakiamini wakati huo kwamba kidole hicho cha nne cha mkono wa kushoto kilikuwa tofauti na vingine kwa sababu kina mshipa wa damu unaotoka moyoni moja kwa moja (Sijawahi kujua kama walikuwa sahihi ama sivyo)

  Kwa sababu walikuwa wakimuomba Mungu Apolo alinde ndoa zao, yeye ni mungu jua hivyo alama yake ikawa ni hiyo pete ya gold (It must be gold to symbolize the sun) ni lazima awekwe kwenye hicho kidole ili ulinzi wake uende moja kwa moja moyoni bila kupitia popote (So again it must be that specific finger)

  Kwa wakristo wanaong'a ng'ania hizo pete, hakuna muongozo kwenye biblia unaoonesha kwa uhakika kwamba pete lazima iwekwe kwenye kidole hicho na lazima iwe ya gold, hayo ni mapokeo ya kipagani.
  Unfortunately wengi hawajui na huingia tu kwenye huo utamaduni kwa kuiga.
   
 6. Purple

  Purple JF-Expert Member

  #6
  Jul 11, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 2,031
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 160
  lile zoezi letu likifanikiwa mimi utanivalisha kwenye dole gumba!:bathbaby:
   
 7. phina

  phina JF-Expert Member

  #7
  Jul 11, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 414
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  well put petcash..am trying to find evidnece to that but my anatomy is almost too shallow!but what i know is that the belief is a fallacy!
   
 8. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #8
  Jul 11, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Na hayo sio maudhui ya bibilia wala haiukuandikwa ili itoe maelekezo ya mambo kama hayo....
   
 9. Ipyanah

  Ipyanah Member

  #9
  Jul 11, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 99
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Fallacy!! Well, but I am sure you will make heads turn if you wore your wedding ring on another finger, something to do with the Sun! and Gold! and a vein! lol....
   
 10. Ipyanah

  Ipyanah Member

  #10
  Jul 11, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 99
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Inaelekea wagiriki walikua madaktari wazuri kama tangu enzi hizo, kama waliweza kujua kidole kimoja tu katika mkono wa kushoto kina mshipa unaenda hadi kwenye moyo... Anyways, naomba niulize tena, Je wa afrika!! Wabantu, tulitumia pete kama ishara ya ndoa ama hii pete ilikuja baada ya wamisionari kuleta utamaduni wa ndoa ya kikanisa?
   
 11. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #11
  Jul 11, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Wangevaa wanawake tu kama sababu ni ubuni wa kushoto, Kwa wanaume inakuaje?
  Mambo ya kizungu tu haya.....
   
 12. PetCash

  PetCash JF-Expert Member

  #12
  Jul 11, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 1,679
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Usijali bibie ntakuvisha pete ya alminium kwenye kidole cha mwisho kabisa ili iwe ndogo na isiyo na garama kubwa- probably should cost 10,000/- tu.
   
 13. PetCash

  PetCash JF-Expert Member

  #13
  Jul 11, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 1,679
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Kuna ukristo uliokuwa unasambaa na tamaduni hizo za kirumi na kigiriki na kabla haujaja afrika ushamiri sana nchi za ulaya...so wamisionary wengi na wao walipokea na kuja kutusambazia.
  Tamaduni nyignine za kipagani ni kama vile;
  1) Father Christmas (was originally a child eating monster to whom people slaughtered their own children to offer sacrifice to him. Then he was polished to be a children loving old man but still same devil)
  2) Christmas trees
  3) Easter bunny, Easter eggs
   
 14. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #14
  Jul 11, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Pete ni utamaduni tu wa kizungu, wafrika, warabu na wahindi wakoamua kuwaiga kwa sababu washamba.
   
 15. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #15
  Jul 11, 2012
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Kwasababu ni pete za ndowa, na pete za ndowa huvaliwa hivyo!
   
 16. Utotole

  Utotole JF-Expert Member

  #16
  Jul 11, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 6,344
  Likes Received: 3,178
  Trophy Points: 280
  Du! mshipa unaenda moja kwa moja kwenye moyo? Hiyo inaitwa vein gani? Phalango-cardial vein au? You just made my day!
   
 17. Adharusi

  Adharusi JF-Expert Member

  #17
  Jul 11, 2012
  Joined: Jan 22, 2012
  Messages: 10,630
  Likes Received: 3,014
  Trophy Points: 280
  Baba Mwanaasha amevaa mikono yote miwili..!sijui inamaana gani?
  Vox popoli,Vox dei"
   
 18. PetCash

  PetCash JF-Expert Member

  #18
  Jul 12, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 1,679
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Mkuu Bovidae, as I said ancient Greek/ Roman philosophers believed that and I further clarified I don't know whether that is correct or not...
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #19
  Jul 12, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0


  unaonekana kuwa na chembe chembe za BUISARA.
   
 20. sikafunje.N

  sikafunje.N Member

  #20
  Jul 12, 2012
  Joined: Jul 10, 2012
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mapokeo mapokeo tu!
   
Loading...