mke mwema(kwa wanaume tu) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mke mwema(kwa wanaume tu)

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by royna, Jul 10, 2012.

 1. r

  royna JF-Expert Member

  #1
  Jul 10, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 481
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  mi kweli kwamba mwanaume anapopata mke responsible,anayejua majukumu yake na kuyafanya,kumpenda mume wake na watoto wake, na nduguze ni dawa kumfanya mume awe mume mwema na ikiwezekana kutokutembea nje?
   
 2. super thinker

  super thinker JF-Expert Member

  #2
  Jul 10, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 370
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  True,to some extent.........but kumbuka kuna mibazazi isiyotoshelezwa na mwanamke mmoja hata awe perfect kivipi, hata kama atamkuza mkewe toka azaliwe mwenyewe, ,atatembea nje tu!!
   
 3. PetCash

  PetCash JF-Expert Member

  #3
  Jul 10, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 1,679
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  1) Kwa asilimia kama 65% hivi ni ukweli atakuwa mume mwema kwa sababu kuna kama asilimia 50% ya watu wanakutendea mema ukiwa tendea mema na vice versa. asilimia 15% ni wema tu hata uwatendee ubaya. Asilimia 35% iliyobaki ni wabaya tu hata ukikesha unawatendea mema.

  2) Kwa kweli kutoka nje ni kama 20% tu ndo utafanikiwa kuwadhibiti....hao wengine yani ungekaa vijiweni men tunapokaa ukasikia opinion zao kuhusu kutoka nje ya ndoa, nadhani wanaweza hata kukuconvince sio vibaya kufanya hivyo na ukaamini kabisa....
   
 4. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #4
  Jul 10, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Mmhh, nilikuwa natafuta uchochoro nipite tu hapa, nielekezeni tafadhali, kulia au kushoto nakwenda kijiji cha katerero kha!
   
 5. HAZOLE

  HAZOLE JF-Expert Member

  #5
  Jul 10, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,331
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  kutembea nje ndo kitu gani?
   
 6. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #6
  Jul 10, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,700
  Likes Received: 12,750
  Trophy Points: 280
  Inawezekana kabisa
   
 7. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #7
  Jul 10, 2012
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Inawezekana hasa iwapo mwanamume nae ni responsible na ndowa yake!
   
 8. L

  Lady G JF-Expert Member

  #8
  Jul 10, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 517
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  chumbwiiiiiiii! Or sorry kumbe huku wanaogelea wanaume tu. Sijawachungulia lakini mbioooooooo.
   
 9. nilikuwepo

  nilikuwepo Member

  #9
  Jul 10, 2012
  Joined: Jun 2, 2012
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni kweli.
   
 10. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #10
  Jul 10, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,672
  Trophy Points: 280
  Inachangia kwa asilimia kubwa!
   
 11. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #11
  Jul 10, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  eti wakati wenzako wamelala wewe unatembeatembea nje....usiku wa manane.....
   
 12. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #12
  Jul 10, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  sio kutembea tu anatembeza mdudu
   
 13. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #13
  Jul 10, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  wanawke wa JF mnavihelehele imesemwa kwa wanaume tuu!
   
 14. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #14
  Jul 10, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  sio viherehere tu na visebu juu
   
 15. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #15
  Jul 10, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145

  Rudi mpaka kwenye ule uchochoro uliokuta kuna mbuzi kafungwa kamba afu kata kulia!
   
 16. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #16
  Jul 10, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145

  Hehehehhe Henge unajuaje kwamba sio wanaume?.....hizi id hujui zimeficha siri eeh!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. Dotworld

  Dotworld JF-Expert Member

  #17
  Jul 10, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 3,929
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  JF hamuishi vituko!!!!
   
 18. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #18
  Jul 10, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  kama niwanaume mnamatatizo yenu, au mmekuwa maboflo!!!
  mwanaume unajiita sweet! ujue unamatatizo mkuuu!
   
 19. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #19
  Jul 10, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Hehehehe Henge bana.....id ni id tu haijalishi......ujue humu kuna watu wapo kikazi zaidi eeh.....wanatafuta watu wa kwenda kuwang'oa kucha na meno bila ganzi!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #20
  Jul 10, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Nimeamini basi siifahamu vizuri JF afadhali unazidi kuniambia ilivyo!
  ninamiaka kibao humu hayo mambo sikufikilia eeeti!
   
Loading...