Dear heartbreaker

super thinker

JF-Expert Member
Nov 16, 2010
370
109
Unaposimama mbele ya msichana na kumtamkia kwamba wampenda, ukijua kwamba neno hilo lina impact kwenye feelings na saikoloji ya mhusika, ukiwa na "uhakika" kwamba unamchezea na utamuacha mwenye maumivu makali siku moja, maumivu ambayo either yaishe au yasiishe milele, ukitambua ya kwamba yeye moyoni mwake amekupa nafasi asilimia mia, mnaekeana miahadi kibao ya kimaisha,kumbe mwenzake kichwani uko kivingine kabisa.............why dont you stop from very early na kujikita kihisia kwa mwenzi wako unayejua utamuumiza!?!?!

Kwangu mimi kuwa heartbroken ni better sana kuliko a breaker, ila kuna watu wana maumivu sana from being heartbroken, poleni sana na the best healer ni kulet it GO
Woe to u heart breaker, their crial is on ur tail
 
Mmmmh, umepatwa na nini?
Mbona maneno makali sana?
Bishanga uko wapi nataka nibreak ur soft bones
 
Last edited by a moderator:
Si kitu Kongosho, ni baadhi ya wakaka na wadada wananiumiza sana wanavyospend the rest of their tender and young life na maumivu moyoni, with no more lovelife enjoyment!!
 
Last edited by a moderator:
Si kitu @chauro, ni baadhi ya wakaka na wadada wananiumiza sana wanavyospend the rest of their tender and young life na maumivu ya kutendwa moyoni na watu waliowapenda, with no more lovelife enjoyment!!
 
Jamani huu uzi umenigusa sana... Unajipa ma hope mpaka unawaza utakavyotokelezea na shela na huyo mume wako.. mmh kumbe yeye hana mapngo na wewe zaidi anakuona POYOYO.. Inauma saaaana..
 
maisha bwana, unavunja baadhi ya mioyo nao wanavunja wako, it's both ways!

Si kitu Kongosho, ni baadhi ya wakaka na wadada wananiumiza sana wanavyospend the rest of their tender and young life na maumivu moyoni, with no more lovelife enjoyment!!
 
Last edited by a moderator:
umenigusa am heart broken girl yapata miez minne sasa, am trying to let it go bt nashindwa he is still in ma mind
 
umenigusa am heart broken girl yapata miez minne sasa, am trying to let it go bt nashindwa he is still in ma mind

Pole sala issabela, leting it GO is the best best best medicine, that was an experience to pass through for a better you in the future. Stay strong and remember, a broken and mended heart is the strongest. Blessings, Let it GO Sis....
 
Last edited by a moderator:
Pole sala issabela, leting it GO is the best best best medicine, that was an experience to pass through for a better you in the future. Stay strong and remember, a broken and mended heart is the strongest. Blessings, Let it GO Sis....

bt how natamani anitoke kichwan bt nashindwa
 
bt how natamani anitoke kichwan bt nashindwa

Ni kwa sababu bado unampa nafasi katika maisha yako, kaa chini ujiulize hali hiyo itaendelea milele??kwani ni wewe mwenyewe uliye wahi kuumizwa??asilimia kubwa wameweza kulet GO why not YOU?!?!release ur psychology na uamue sasa kulet GO
Anza sasa kujishughulisha na mambo yako ya kimaendeleo, na daima uwaze it is the best thing kuishi bila mtu asiyekupa nafasi katika moyo wake, n ever thank GOD kwa kukufunulia jambo hilo mapema, kwani labda jambo hilo lingekupata tayari kwenye ndoa probably na watoto tayari, maumivu ya hapo yangekufanya chizi
Believe me everything happens for a gud reason and give ur self time, yawezekana ni mapema bado but use the ways hav told you to get rid of it afast as pocbo
 
thanks nitajitahidi kum delete in ma mind coz i cant change wat happened

Hiyo ni hatua muhimu katika healing issabela, kujua kwamba huwezi badili wat orede happened, u r orede a winner, ni muda tuu,move on and be strong
 
Last edited by a moderator:
Namkumbukaga mwalimu wangu A-level alikuwa akiona nimekaa kimawazo mawazo ananiambie ......(anataja jina langu) when you find something difficult for you, just forget about it!
 
Back
Top Bottom