Wanachokitaka wanawake

SOKETI

JF-Expert Member
Jul 24, 2010
206
50
Salut wana jf.. Mara nyingi nimekua nikifanya utafiti ili kujua ni nimi hasa kinacho weza kumfanya mwanamke ampende mwanaume. Na zifwatazo ni sababu kulingana na uzito kila moja:- 1. Handsomity(uweledi) 2. Kimo/urefu wa mtu-tafiti zinaonyesha wanaume warefu wana chance kubwa ya kupendwa kuliko wafupi 3. Fedha- wanawake wengi wamekua wakiangalia pesa wenyewe wanasema no money no honey/love. Wewe unalionaje hili.. Funguka toa sababu za kumpenda mwanaume kwa wanawake na kwa wanaume toa sababu zilizopelekea wewe kupendwa.
 
Teh!mie mwenyewe mfupi,xaxa hapo unanikatxha tamaa ya kupenda,
 
Tumeumbwa wanadamu tofauti tofauti, kuna vitu huwezi eleza hata hujitahidi namna gani.... Kuna mtu unakuta wampenda hata ukiulizwa kwanini unajikuta tu ukisema mie nampenda tu! Tofautisha kati ya kumpenda mtu na kumtamani, Ukimpenda mtu unakuwa unamenda yeye mengine ni ziada tu.... Inaweza kuwa the little things inaweza kua a smile, the way anaongea... expressions, kicheko, vyote hivo vikajumuisha the person you have fallen for na ambae wampenda. Ukizungumzia material things kama kigezo cha kupenda.... hio sio kweli, hayo sio mapenzi for ina mana visipokuwepo basi hata penzi halipo. Personally nimpendaye nampenda... the whole of him... haijalishi hana kitu ama anacho, it is him as a person I love.
 
AshaDii hujambo mamii eti shem kaizer ulimpendea nini zaidi ya lile tege lake na kengeza?
 
Last edited by a moderator:
awe tall, awe ana exposure, awe kyut, awe anajua kuvaa, awe anajua game na pesa za kunilelea.
 
wanachokitaka nagawana nao
Salut wana jf.. Mara nyingi nimekua nikifanya utafiti ili kujua ni nimi hasa kinacho weza kumfanya mwanamke ampende mwanaume. Na zifwatazo ni sababu kulingana na uzito kila moja:- 1. Handsomity(uweledi) 2. Kimo/urefu wa mtu-tafiti zinaonyesha wanaume warefu wana chance kubwa ya kupendwa kuliko wafupi 3. Fedha- wanawake wengi wamekua wakiangalia pesa wenyewe wanasema no money no honey/love. Wewe unalionaje hili.. Funguka toa sababu za kumpenda mwanaume kwa wanawake na kwa wanaume toa sababu zilizopelekea wewe kupendwa.
 
Salut wana jf.. Mara nyingi nimekua nikifanya utafiti ili kujua ni nimi hasa kinacho weza kumfanya mwanamke ampende mwanaume. Na zifwatazo ni sababu kulingana na uzito kila moja:- 1. Handsomity(uweledi) 2. Kimo/urefu wa mtu-tafiti zinaonyesha wanaume warefu wana chance kubwa ya kupendwa kuliko wafupi 3. Fedha- wanawake wengi wamekua wakiangalia pesa wenyewe wanasema no money no honey/love. Wewe unalionaje hili.. Funguka toa sababu za kumpenda mwanaume kwa wanawake na kwa wanaume toa sababu zilizopelekea wewe kupendwa.

sina mpenzi,,,,so siwez jua kama napendwa au la,,,,,
 
Back
Top Bottom