Hiki kitendo ni cha halali wakuu?

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,043
2,000
Unaenda club na mpenz wako{wa kike},unakuta kuna bendi ya flani ya mziki inatumbuiza,halafu cha kushangaza huyo mpenzi wako anaenda kumtuza msanii pesa na anamkatikia mauno utadhani anamjua..baadae ukimuuliza ilikuaje amkatikie mauno vile yule msanii,anakujibu eti alipitiwa tu.hivi hii ni halali waungwana?
 
Uliza masaburi ya mbwa yako wapi wakati unaona mkia!!
Akirudi home kachokachoka huku ananukia nukia utakuja kutuuliza tena!
 
Ukiona manyoya ujue keshaliwa kaka....
Whats are you waiting for?!..death or something?!!
 
Subiri arudie tena next time, ndipo utakuwa kwenye position ya kulalamika. Umemuambia hupendi ameomba msamaha l presume so let it go!
 
huu ulimbukeni, kushoboka na kujitoa ufahamu ndiyo unasasabisha wanamuziki kugonga wapenzi/wake za watu kiulainiiii.... the whole scenario is so disgusting
 
Mkeo? kama jibu si mkeo. Jiulize wewe ulimpataje wenzako washindwe. Jiulize kama hamjaoana kihalali, iwe kimila, kiserikali au kidini na akaweza kukufungulia kufuli kwanini asiweze kumfungulia mwengine? hali kadhalika na wewe kama umeweza kumfugulia yeye kufuli pasipo na halali iweje leo ulalamike?

Kula uliwe!
 
mkuu,hayo maneno yako yananichoma.
 
Mkeo? kama jibu si mkeo. Jiulize wewe ulimpataje wenzako washindwe. Jiulize kama hamjaoana kihalali, iwe kimila, kiserikali au kidini na akaweza kukufungulia kufuli kwanini asiweze kumfungulia mwengine? hali kadhalika na wewe kama umeweza kumfugulia yeye kufuli pasipo na halali iweje leo ulalamike? Kula uliwe!

Na wa kwako analiwa, safi sana
 
yaani mziki tu ndio ukuweke roho juu???:redface:

Kumbe anakusema na mwenyewe upo?!

Kwa hiyo we mama unaona ni sahihi kukatikia viuno majukwaani eeeh? Kweli kazi ipo

Na wewe mwenye kuuliza uhalali, ulishindwaje kuwa na demu wa maana. Hebu kula hii kwa manufaa yako:

"your hunting grounds determines your prey" Don Adolfo Alfonso Manuel Pedro

Ulitegemea nini kuchukua vicheche kama Neema?
 
Mkeo? kama jibu si mkeo. Jiulize wewe ulimpataje wenzako washindwe. Jiulize kama hamjaoana kihalali, iwe kimila, kiserikali au kidini na akaweza kukufungulia kufuli kwanini asiweze kumfungulia mwengine? hali kadhalika na wewe kama umeweza kumfugulia yeye kufuli pasipo na halali iweje leo ulalamike?

Kula uliwe!

Kumbe kuna wakati mkuu zomba unakuwaga na akili. Hii nimeikubali sema kadude ka kugongea like kamejificha
 
Last edited by a moderator:
Kula uliwe, mie ukitaka hata tu share "threesome" unakaribishwa, mradi "kula uliwe"!

Mtu wa aina hii ukimkuta katikati ya familia anaonekana mwenye hekima, tena mtetezi wa imani yake hakuna mfano..........hizi ID zimetusaidia sana!
 
Mtu wa aina hii ukimkuta katikati ya familia anaonekana mwenye hekima, tena mtetezi wa imani yake hakuna mfano..........hizi ID zimetusaidia sana!

uje na ***** halafu ujitetee? au umeshasahau? offer imekushinda?
 
Kumbe anakusema na mwenyewe upo?!

Kwa hiyo we mama unaona ni sahihi kukatikia viuno majukwaani eeeh? Kweli kazi ipo

Na wewe mwenye kuuliza uhalali, ulishindwaje kuwa na demu wa maana. Hebu kula hii kwa manufaa yako:

"your hunting grounds determines your prey" Don Adolfo Alfonso Manuel Pedro

Ulitegemea nini kuchukua vicheche kama Neema?

mnh una yako weye....:eek2:
 
mtoa mada ni wakati sasa wa kumcompliment mkeo na masifa kedekede,unauchunaga sana au unamcritisize sana ,that made her felt unwanted,not sexy......sasa mwambia 'darling una wowowo zuri nataka unichezee peke yangu ndani sio watu wote waone' kama ana akili atakuwa kapata ujumbe:sleepy:
 
Wanadam siku hizi hawajiheshimu kabisa.Ni jambo la aibu mtu anaejiheshimu kufanya upuuzi kama huo tena i front of your love!Haya mambo ya usasa mengi ni ushetani tu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom