Ninadhurumika nafsi, nami nina moyo jamani.

Asterisk

JF-Expert Member
Jun 1, 2012
214
50
Sijui niseme ni nyota, au sijui ni nini.
Mim ni kijana niliyebarikiwa yafuatayo,
1.Handsome na mtanashati
2.Mpendwa
3.Talented in music instruments (giter na kinanda)
4.Talented in books (nimesoma special school olev na advance na kumalizia udsm engineering)
5. Nimebahatika kazi nzuri (yenye kipato kizuri na usafiri)

Chakushangaza kila mtu ninayemtokea ananitolea nje tangu nipo sekondary, chuo mpaka hivi sasa nimemaliza, nimekua nikiishi na maumivu kwasababu ya kutoswa na wadada miaka yote,

Ninavyoandika ujumbe huu, leo mchana nimetoswa na dada mmoja niliyemtokea leo.

Hebu nisaidieni wadau, nini nakosea, na mim nina moyo pia jamani.
 
Kuanza nyuzi kwenye jukwaa la MMU kwa Kiswahili kibovu, ungeandika unadhulumika siyo "unadhurumika" ni sababu tosha ya kutolewa nje na vimwana. Ni kama handsome boy anaekwenda kumwaga sera huku kigaga cha kamasi kimemganda kwenye sharubu.
 
Kuanza nyuzi kwenye jukwaa la MMU kwa Kiswahili kibovu, ungeandika unadhulumika siyo "unadhurumika" ni sababu tosha ya kutolewa nje na vimwana. Ni kama handsome boy anaekwenda kumwaga sera huku kigaga cha kamasi kimenganda kwenye sharubu.
mhh huyu zomba siku hizi anakula nini mbona ana majibu ya ajabu hivi!
 
Kuanza nyuzi kwenye jukwaa la MMU kwa Kiswahili kibovu, ungeandika unadhulumika siyo "unadhurumika" ni sababu tosha ya kutolewa nje na vimwana. Ni kama handsome boy anaekwenda kumwaga sera huku kigaga cha kamasi kimenganda kwenye sharubu.

acha kumponda kijana mwenzio kiivyo kaka,mpe ushauri utakao mjenga na sio maneno ya kejeli na mipasho.
 
Hebu nitumie full picha yako nikuone kwanza...usijali mkuu, utapata mtu atakayekupenda. Kichwa chako kinabidi kiondoe mawazo ya kutolewa nje...
 
embu jaribu kujievaluate vizuri bro,kuna sehemu unaweza kuta unakosea...pia stil u have time utampata tu wa ubani atakaye kuondolea maumivu yote hayo
 
embu jaribu kujievaluate vizuri bro,kuna sehemu unaweza kuta unakosea...pia stil u have time utampata tu wa ubani atakaye kuondolea maumivu yote hayo

I wish unipe tips za kujievaluate, nipo down.
 
Sijui niseme ni nyota, au sijui ni nini.
Mim ni kijana niliyebarikiwa yafuatayo,
1.Handsome na mtanashati
2.Mpendwa
3.Talented in music instruments (giter na kinanda)
4.Talented in books (nimesoma special school olev na advance na kumalizia udsm engineering)
5. Nimebahatika kazi nzuri (yenye kipato kizuri na usafiri)

Chakushangaza kila mtu ninayemtokea ananitolea nje tangu nipo sekondary, chuo mpaka hivi sasa nimemaliza, nimekua nikiishi na maumivu kwasababu ya kutoswa na wadada miaka yote,

Ninavyoandika ujumbe huu, leo mchana nimetoswa na dada mmoja niliyemtokea leo.

Hebu nisaidieni wadau, nini nakosea, na mim nina moyo pia jamani.
uhandsome wa mwanaume nini??
 
labda waziza wako walikuwa na dhambi kubwa sana

mauaji hivi
au dhuluma hivi
kwa hiyo laana yao inakuletea mikosi
watu wema wanakukimbia
utajikuta unakubaliwa na vicheche wa mjini
 
I wish unipe tips za kujievaluate, nipo down.

mimi nitakusaidia jambo moja
wewe hujui kutongoza
na hujawaelewa wanawake
mfano umesema leo umepigwa kibuti
hapo inaonesha ulivyo hujui kutongoza

wanawake hawatongozwi siku moja
na wala hawafuatwi waziwazi hadi unawapa nafasi ya kukupiga kibuti

so jifunze kwanza namna ya kutongoza
 
acha kumponda kijana mwenzio kiivyo kaka,mpe ushauri utakao mjenga na sio maneno ya kejeli na mipasho.

Nani alikwambia mie ni kijana, hicho kina umri sawa na kijukuu changu. Vijana huwa hampendi ukweli ndio tatizo lenu.
 
au una mabobishi ya kiduanzi....?
kama ni hivyo lazima upigwe chini....ma she hatuendekezi hizo....
hebu edit hiyo idara then ujaribu tena....

Mabobishi ya kiduanzi unamaanisha nini?
 
labda waziza wako walikuwa na dhambi kubwa sana

mauaji hivi
au dhuluma hivi
kwa hiyo laana yao inakuletea mikosi
watu wema wanakukimbia
utajikuta unakubaliwa na vicheche wa mjini

Inawezekana, coz dingi tukisimuliwa stori na kaka zake wanatuambia hakutulia, but now katulia, so wat is the soln??
 
Back
Top Bottom