habar wana jf!nawapenda sana kwa ushaur ambao mumekuwa mkiutoa hapa!
mimi ni mwanamke mwny miaka 24 nimeolewa miaka 6 iliyopita!
nina mtoto wa miaka 3
mume wngu ana miaka 48 aliponiowa alikuwa...
Huyu dada alikutana na huyu mtu kwenye pati ya harusi,wote walikua waalikwa.Jamaa akamwomba huyu dada contact dada akakataa,jamaa akawa anamsumbua dada wa watu mpaka akaiona pati chungu,lakini...
Ofisini kwetu kuna wafanyakazi wanawake ambao baadhi yao nimewakuta na wengine wamenikuta; na kati yao kuna wanaovutia na wasiovutia kabisa. Kati ya walioajaliwa nyuma yangu kuna mmoja ambaye...
Nimezaliwa,nikafikisha umri wa kwenda shule,nikaenda.Nimesoma mpaka hukoooo nimemaliza,nimekuja sijui nimejiajiri au nimeajiriwa. . . . . . . . . . . . . . . . . . . Nimeoa na nimepata watoto nao...
Mimi najiuliza hasa, hiki kizazi cha sasa vipi ? Kwa maana wanauchukulia uchumba kama ni kitu gani ?
Wewe umeshavishwa pete mara kibao, ndoa hatuioni.Lakini haukomi , bado tu unaendelea na mipete...
Waacheni watoto waje kwangu wala msiwazuie kwani ufalme wa MUNGU ni wao.
awe mke au dada au msichana wa kazi, anyone ambaye anaishi na wewe wakati wa kulea malaika hawa unampa nafasi gani na wewe...
Hivi inakuaje kijana wa kiume ulikuwa na mahusiano na msichana fulani baadae unamucha tena kwa kejeli nyingi,baada ya kuona dada wa watu kapata jamaa mwingine anayemjali na kumpenda unaanza...
mambo mmu,
jaman kuna ka mkasa kametokea kwa jiran yangu kamenipa maswali kidogo
Jana jirani yangu ni Mnijeria, ameniita akaanza kulalamika kwamba binti wa kazi kampa mwanae nyonyo...
Ohoooooooooo, i am in trouble..plzz heeellllppp!! Tumekuchagulia mabinti wawili..uje uangalie yupi anakufaa uoe..mabinti wa huko mjini wahuni na matapeli tu...Ohoo..nifanyaje wadau??
Rafiki yangu mmoja jana tukiwa mahali alinipa kisa kinachohitaji mchango wa mawazo yako.
Kuna mrembo mmoja ambaye jamaa alijuana naye kupitia kaka yake(ie kaka wa huyu mrembo na huyu rafiki yangu...
Sijui hata nianzie wapi..... Ni takribani mwaka wa pili sasa nipo nae, na ni mwezi wa pili mwaka huu nilimtambulisha kwa wazazi wangu na ndugu kadhaa kuwa huyu ni "mchumba wangu mpendwa...
Eti wadau tujuzane, hivi mambo kama haya bado yapo?
Nimempata mdada mmoja lakini anadai simvui hadi nimwoe, siku ya harusi ndo ataanza kutoa.
Kakiri kuwa yeye sio bikra lakini anadai hataki...
NAITWA FRANK (sio jina halisi) nimetokea kumpenda binti Jane(sio jina halisi) tulisha do mara moja tu tukapanga kuchumbiana na tukakubaliana sasa jambo moja limejitokeza nilikuwa simjui ni mtoto...
Haya jamani nawatakieni usiku mwema walle tunaoshare mstari wa saa sijui unaitwaje siku zimepita geograph ya latano nimesahau.Muote ndoto zenye baraka.
Watu wakiwa na pesa basi wanajiona wanaweza kuwa na mwanamke yeyote wamtakaye. Huyu mdada alikuwa actress Nigeria... Leo nikasema ngoja ni google amepotelea wapi simuoni kwenye gemu. Kumbe kuna...
habari za hapa JF mimi ni mgeni hapa ila nigependa nikaribiswe na mtu abae na namtafuta kwa mda sasa sifanyi uta nimezaliwa tarehe 21_12_1977 ninaemtaka awe hivi awe kuazia miaka 20-30 kama...