huyu mume amekuwa msalaba kwangu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

huyu mume amekuwa msalaba kwangu

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by davina, Jul 19, 2012.

 1. d

  davina Senior Member

  #1
  Jul 19, 2012
  Joined: Jan 21, 2012
  Messages: 113
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  habar wana jf!nawapenda sana kwa ushaur ambao mumekuwa mkiutoa hapa!
  mimi ni mwanamke mwny miaka 24 nimeolewa miaka 6 iliyopita!
  nina mtoto wa miaka 3
  mume wngu ana miaka 48 aliponiowa alikuwa ana mke lakn sikugundua nligundua bda ya mwaka 1 kupita akawa amedanganya kwtu kuwa mkewe walishaachana kumbe ilikuwa uongo na vile alishatoa mahar na tulikuw tunapndana nkaona maisha yaendelee (hapa msipajadili sana nlishakosea)bda ya miaka 3 yule mkewe aliondoka akatelekeza watoto akaolewa na mt mwngne! ikabidi wale watoto wake niwachukue nikawa naish nao nymbani kwangu tulikojenga na huyu baba yao!

  kiukwel huyu baba nlianza nae maisha akiwa na pesa m.1 tukawa tunalala chn na kabiashara kadg sa hv ana magar2 nyumba ambavyo amevpata tukiwa pamoja na ofcourse anajal familia na me mwnyewe

  kinachnifanya niombe ushauri ni umalaya wa kupindukia alionao mwez wa tan nlisafir kma wki moja kurud nkakuta kamnunulia dada mmoja kitanda na vtu vya ndan ikiwa ni njia ya kumtaka kimapnz bda ya kununua yule dada akamtosa kwan alikuwa na boifrnd mume wangu akamzisha ugomv kudai hvy vit kwa jins nlivyoelezwa
  hakuna sket inayompita awe housgirl au rafki yang nimevumilia nimechoka sasa naona imetosha lakini kikubwa sina pa kuanzia naogopa kuwaeleza wazaz wangu kwan wataniambia nirud nyumban hata leo nafikiri maisha ya hawa watoto wake bada ya mimi kuwaacha kwan nimekuwa kma mama yao na msaada kwao.
  mume haambiliki na wala hawezbadilika nshaongea nae sana imeshndikana
  wana jf naombeni ushaur wa kina nahs kuchanganykiwa
  nb!
   
 2. Eng. Y. Bihagaze

  Eng. Y. Bihagaze Verified User

  #2
  Jul 19, 2012
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 1,481
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Wewe una Tatizo ambalo limepelekea tatizo Kwa Mumeo.. Na Sasa Mumeo keshaathirika kisaikolojia Na mwenye dawa ya kumtoa huko ni wewe.

  I will advice
   
 3. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #3
  Jul 19, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,963
  Likes Received: 1,847
  Trophy Points: 280
  pole mwaya ila kiukweli mimi kushauri hapa naogopa sana labda nenda katafute thread iliyoandikwa uvumilivu............uisome yote kwa umakini utajua nilitaka kusema nini.

  sugua goti mrembo pasi kuchoka.
   
 4. Blaine

  Blaine JF-Expert Member

  #4
  Jul 19, 2012
  Joined: Jan 11, 2012
  Messages: 2,285
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  pole sana binti. soma post #59 kwenye thread ya uvumilivu ya gfsonwin

  EDIT:
  hii hapa https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/291589-uvumilivu-2.html#post4230645
   
 5. harakat

  harakat JF-Expert Member

  #5
  Jul 19, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Activate upendo wako kwa mumeo naona ushamchoka na ndio maana anakua kimeo
  namna hiyo
   
 6. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #6
  Jul 19, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,963
  Likes Received: 1,847
  Trophy Points: 280
  blaine n kurt wewe unahatari...........je wafikir anaweza kuwa vile? kama anaweza ni dawa sana
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #7
  Jul 19, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  huwezi kumuacha? huna pa kwenda ? huyo mwanaume ndo mwisho wa maisha yako?hakuna upande mwingine?
   
 8. Blaine

  Blaine JF-Expert Member

  #8
  Jul 19, 2012
  Joined: Jan 11, 2012
  Messages: 2,285
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  it's inspirational gfsonwin, at least ataona tatizo lake lina solution na atatafuta njia mbadala
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. k

  kibali JF-Expert Member

  #9
  Jul 19, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 315
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kiukweli sie wadada mara nyingine tunajitakia haya mambo, mi nnachojua mara nyingi wewe kama mwanamke ukikubali kua na mume basi ujue ukubali haya yanayotoke. Maana kama aliweza kumuacha mkewe na kukufuta wewe na wewe ukaona ndo umepata basi itabidi ukubali tu zamu yako imepita waachie wengine. Hiyo ndio rule of the game. Maaana mke wa kwanza alikuachia wewe na wewe inabidi umuachie mwenzio wala usoine nyongo bi dada. what comes around goes around
   
 10. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #10
  Jul 19, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Mhhh mtu ambaye amefikia hatua ya kuwa mhuni kiasi hicho, ni hatari mdogo wangu! Atakuleta magonjwa, atakugombanisha na wanawake zake, mtaendelea kugombana kila siku, utaendelea kukosa amani kila siku yumkini matatizo haya yakakupa presha na vidonda vya tumbo juu yake!

  Ni vyema uwashirikishe wazazi au viongozi wa dini au jamaa wa karibu sana kutafuta suluhu mapema kuliko kuvumilia wakati mwenzio anaendelea kuharibu. Uvumilivu kwa kukaa kimya kwenye mchezo unaoweza kuwaletea kifo wote wawili si jambo jema, mtaacha watoto wenu yatima na kuanza kuteseka bure kwa kitu ambacho ungeweza kukiepuka mapema.

  Tafuta suluhu kwa kutumia wazazi au viongozi wa dini au jamaa wa karibu sana huku ukiomba Mungu na kuchukua tahadhari na ukiona habadiliki, ni vyema ufikirie nini cha kufanya mapema. Kuna vya kuvumilia ila siyo vile vinavyoweza kukuletea kifo.
   
 11. T

  Tamatheo JF-Expert Member

  #11
  Jul 19, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 3,221
  Likes Received: 214
  Trophy Points: 160
  Kila ndoa ina majaribu yake, ila kwa upande wako samahani nikurudishe nyuma wakati mnapendana akiwa na mke na kukudanganya na baadaye wakaachana ni wazi kuwa inawezekana ni tabia ya muda mrefu na mwenzio alichoka ndipo akaamua kukaa pembeni kwani nijuavyo mimi ni wanawake wachache ambao wanaweza kuvumilia mume anachukuliwa na wenyewe kukaa pembeni kirahisi tena hasa kama wanampenda na watoto juu. Ushauri jaribu kufuata taratibu za kidini au ndugu wa karibu kwa ajili ya kumkalisha chini na kumwonya kiutu uzima siyo kidhihaki kama kweli ulishamshauri bila mafanikio. Pia badili mfumo wenu wa mapenzi usibweteshwe na ndoa ili ugundue anachofuata nje umpe hapo nyumbani naamini hatakumbuka tena sketi kwani atakuwa amemaliza yote nyumbani. Naamini ukifuta hili na uvumilivu bila woga utafanikiwa.....Pole sana
   
 12. Asabaya

  Asabaya JF-Expert Member

  #12
  Jul 19, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 1,317
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Shosti pole sana,lakini sidhani kama nisawa kuyawekamaisha yako rehani kwa huyo bwana,umesema sketi haimpiti mpaka hapo huyo mume sie,maradhi mengi bora uuze mamantilie ulee wanao kuliko kuka pazuri na wakatu unajijua kua wewe ni maiti matarjiwa,sikwambi umuwache lakini usiwafiche wazazi wako kwani wao ndio wanajua kizuri na kibaya kwako, kama uko tayari kuchezea maisha yako na uwaache wanao endelea nae huyo bwana, laa unajipenda na bado unataka kuishi
  malizana nae kumbuka hukuja na pesa wala nyumba kwake ulikuja na afya yako sasa kama unataka kurejea kwenu na TB
  chezanae huyo mzee....
   
 13. Purple

  Purple JF-Expert Member

  #13
  Jul 19, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 2,031
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 160
  Hua wanasema malaya haachi tabia yake, hua anapumzika kwa mda then anarudi kazini! Uamue mwenyewe kusuka au kunyoa, ni hayo tu!!:flypig:
   
 14. d

  davina Senior Member

  #14
  Jul 19, 2012
  Joined: Jan 21, 2012
  Messages: 113
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nashukuruni kwa ushaur wenu me nlichofikiria nakaa mwaka mmja nijifanye napotezea mtaji wangu wa biashara utoshe niondoke nkaanze maisha yangu!vijana weng wananisumbua na wngne wasiojua nmeolewa nawakataa najiheshmu pamoja na uzur mungu alionipa naombeni muniombee niwe na ujasir wa kufanya maamuz haya magumu
   
 15. k

  kibali JF-Expert Member

  #15
  Jul 19, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 315
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huo mwaka na magonjwa yatakusubiri? shaurioro shosti, mtaji ukitosha usije tumika kukutibu fanya maamuzi ya busara ikiwa bado mapema! ila kama umeamua kukaa kaa ila usilete sababu ya kua unatafuta mtaji haya mwaya usije sema hatujakwambia
   
 16. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #16
  Jul 19, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  mtafutie dawa
  wana dawa nasikia lol
   
 17. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #17
  Jul 19, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Tatizo umeolewa ukiwa hujakomaa kiakili.
  Sasa una umri wa miaka 24 mmeo ni 48 alafu umeolewa miaka 6 iliyo pita kwa maana hiyo mmeo alianza mapema kukubaka
   
 18. mito

  mito JF-Expert Member

  #18
  Jul 19, 2012
  Joined: Jun 20, 2011
  Messages: 7,624
  Likes Received: 2,012
  Trophy Points: 280
  Mmmh nakuonea huruma sana mdogo wangu hasa nikiangalia age difference yako na mumeo na hiyo kauli yako hapo kwa red. Mdogo wetu wa damu kabisa alikuwa na tatizo kama lake kwenye ndoa yake, akaja kutueleza, tukawaita wote (sista na mumewe) wakaja tukayaongea, mume akaahidi atabadilika. After 3 months sista akatuletea tena malalamiko yale yale na kudai kuwa mumewe hajabadilika kitu. Tukamshauri sista awe mvumilivu (kama gfsonwin) au achukue hatua atakayoona inafaa (maana yeye ndo anajua maumivu anayoyapata), then sisi tutakuwa nyuma yake kumpa support. Option ya kuvumilia umalaya wa mumewe ilimshinda hivyo akaamua kudai talaka yake mahakamani. Na sasa anaishi peke yake, na anaonekana kufurahia maisha zaidi.

  Ni wanaume wachache sana (labda 1 ktk 100) wanaoweza kushinda tamaa ya uzinzi wakishakuwa na vipesa vya kusumbua sumbua mtaani
   
 19. k

  kibali JF-Expert Member

  #19
  Jul 19, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 315
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hujambo Mende0 nimekumiss
   
 20. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #20
  Jul 19, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  kweli wanaume hawana shukrani .binti kaamua kulitunza lizee hili akaacha kula ujana wake lizee lenyewe halitulii...loh!
   
Loading...