Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kwa wanaume na wanawake
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Upweke umenichosha waungwana. Natafuta mpenzi. Awe msichana asiyezidi miaka 27. Cjali sura, ila ni mapenz ya dhat tu. Ukitaka kunijua 0718-651585. I need to be a man and not a boy. Any girl to...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
KUWA na fedha au elimu zaidi ya mwenzi wako, sio tiketi ya kumfanya asiwe na raha kama ambavyo wamekuwa wakifanya baadhi ya watu. Wala kutokuwa na fedha au elimu ama umaarufu haina maana kwamba...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Unakuja asubuhi mapemaa tena wikend. Umelala kwa mapumziko ya hekaheka za Ijumaa usiku halafu mtu anakugongea na kuanza kukupigisha story nyiingi zisizo na kichwa wala mguu!!! Hata kama mapenzi...
0 Reactions
31 Replies
2K Views
maana mwana mke akiwa na umbo namba nane watu husifu sana. pia kilichonisukuma zaidi niiulize jamiiforums nilipanga tarehe 16 mwezi 8 nimvishe pete mchuba marafiki zangu wakasema sio siku nzuri...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Asalam Alaykum Waungwana, Naombeni mnisaidie mawazo yenu ili niweze kumrudisha mke wangu aliyeondoka nyumbani yapata mwezi sasa. Tumejaliwa watoto wa wili na ndoa yetu ina miaka 6 sasa...
0 Reactions
50 Replies
4K Views
Aiseee... ni mzuri balaaa asikuambie mtu. Nikizungusha kiti nakutana na mgongo wake. Anavaa kimini...ananukia vizuri... blauzi yake inabana matiti yake makubwa kiasi kama yanatokea kwa juu... ni...
16 Reactions
148 Replies
13K Views
I dont regret my past i just regret the time i have wasted with the wrong people. .
2 Reactions
47 Replies
4K Views
wanaJF habari... jana nimekaa na wadau wangu tukitafakari hili na lile..ikiwa ni pamoja namajanga yanayoendelea kuangamiza watu kila kukicha.....lakini maisha lazima yaendelee...watu lazima...
2 Reactions
26 Replies
5K Views
Katika hali inaonesha kutolidhika na pingamizi aliloweka mwaka 2010 dhidi ya Dr Slaa kumchukulia mke wake Mr Aminiel Mahimbo akiongea na gazeti la Rai amesema anapeleka pingamizi kwa Pengo ili...
0 Reactions
162 Replies
13K Views
For all concerned JF members wishing you health, prosperity, and happiness during Ramadhan and throughout the next year and beyond.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habarini wana jf..mimi kuna swala linanitatiza hasa kwa watu wenye imani za dini zenu naomba mnifafanulie hili..Hivi kumuoa mwanamke ambae umeshaishi nae kinyumba linaruhusiwa katika imani yako?au...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Kesho jumamosi mfungo unaanza, so leo ni kuvunja jungu. Bila shaka leo... Gesti, na lodge zitajaa kabla ya saa 10 jioni (but zitakuwa wazi saa 4 usiku!) Biashara ya kileo itachanganyia Biashara...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Huu wimbo ulitoka mwaka 1999/2000. Je, kinachoimbwa humo kimewahi kukutokea? Tuchangie tajiriba zetu kipindi ulipobamba...je ulikuwa wapi? Ulikuwa ushavunja ungo ama kubalehe? Ulikuwa kwenye love...
2 Reactions
31 Replies
2K Views
Nawatakia waislam wote ramadhan kareem na swaumu maqboul......allah atupe mioyo ya imani na uchamungu.Biidhnillah inshaallah.
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wanawake wote wana uwezo mkubwa sana juu ya wanaume tatizo kubwa wanawake wengi wameshindwa kutumia uwezo wao na ushawishi wao kuhakikisha anamuweka mwanaume sawa na kufanya vile anapenda kwa...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Ukiwauliza dada zetu wangependa kuolewa na mwanamme wa aina gani? Wengi watakujibu kuwa wanapenda mwanamme mwenye msimamo thabiti kwenye maamuzi yake. Lakini cha kushangaza ni kuwa pindi...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Nimekutana na mjadala huu mahali.Katika mjadala huo mjadala ulikuwa,je baada ya kufunga ndoa ni wakati gani ulikua unapata usingizi mzuri usiku? . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . Je kabla ya...
0 Reactions
42 Replies
5K Views
Ubaguzi wa rangi ni jambo linalochukiwa na wengi wa watu walio na akili timamu. Hata hivyo, katika nyanja nyingi linahalalishwa bila wengi wetu kuelewa. Kwa mfano, kwa nini Obama anasemwa kuwa...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
The moment Dennis Rodman meets his father after 42-year estrangement Former NBA star Dennis Rodman has finally met his estranged father after 42 years of separation. Philander Rodman Jr., who...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…