Leo ni kuvunja Jungu... Utabiri wa hali ya mambo. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Leo ni kuvunja Jungu... Utabiri wa hali ya mambo.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Tuko, Jul 20, 2012.

 1. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #1
  Jul 20, 2012
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Kesho jumamosi mfungo unaanza, so leo ni kuvunja jungu.
  Bila shaka leo...
  • Gesti, na lodge zitajaa kabla ya saa 10 jioni (but zitakuwa wazi saa 4 usiku!)
  • Biashara ya kileo itachanganyia
  • Biashara ya ..ndom italipa
  • Biashara ya bodaboda jioni ya leo itakuwa bomba
  • Maeneo ya vichochoroni na makaburini leo pea pea zitaongezeka
  • Ukikatiza nyuma ya nyumba za kupanga tegemea makelele ya vitanda na miguno kila baada ya dirisha moja
  • Wababa wengi watachelewa kurudi nyumbani, na wakirudi watakuwa wanasinzia ovyo
  • Kina mama wengi watakuwa na 'matumbo ya kukata' na hawataruhusu 'kuguswa' na waume zao
  • Watoto wengi wa kike (16-26), wataomba ruhusa kwenda tuition, kumsalimia shangazi, au kwenye bethdei za marafiki zao, na wakurudi watawahi bafuni
  • Vijana wengi wa kiume wanaoishi kwa wazazi wao watachelewa kurudi hom, wakirudi wamelewa, na watakuwa wananukia

  Nawatakia Ramadhan karim, kuanzia kesho
   
 2. Mzalendo JR

  Mzalendo JR JF-Expert Member

  #2
  Jul 20, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,189
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  Umewagusa
   
 3. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #3
  Jul 20, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Napita......Ngoja niwasikie kwanza wenyewe...
   
 4. Mr Ngoma

  Mr Ngoma Senior Member

  #4
  Jul 20, 2012
  Joined: Jul 22, 2008
  Messages: 133
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  Mkuu una PHD ya ufahamu wa uhalisia wa maisha ya bongo sana, good work!!

   
 5. RICH OIL SHEIKH

  RICH OIL SHEIKH JF-Expert Member

  #5
  Jul 20, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 882
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Hakuna kuvunja jungu ktk Uislam - ila kwa ujeuri wa binaadam hata apewe sheria za Mungu atazikana tu. E.g Padre Slaa alikuwa nahubiri kondoo zake wasivunje amri ya 6 Huku yeye ni Master wa kumega wake za watu. NARUDIA TENA UISLAM HAURUHUSU KUVUNJA JUNGU, ATAKAYE TENDA HAYO ULIYOYATAJA HAPO JUU ATALIPWA ACCORDING TO HAYO MATENDO.

  UBARIKIWE - RAMADHANI KAREEM.
   
 6. N

  Neylu JF-Expert Member

  #6
  Jul 20, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 2,650
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Teh teh teh.... Jamani hii research sijui umeifanyia wapi Tuko maana naona kama ina ka ukweli flani hivi.. Hahahaaa.. Umewachoma baadhi yao mkuu..Am sure sio wote wanaofanya hivi.. LOL..
   
 7. BUCHANAGANDE

  BUCHANAGANDE JF-Expert Member

  #7
  Jul 20, 2012
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 1,398
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  UMENENA KWELI. Ulipaswa utunikiwe PhD ya mwaka mmoja kama ya NCHIMBI
   
Loading...