Dada zetu mnashangaza. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dada zetu mnashangaza.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by GITWA, Jul 20, 2012.

 1. GITWA

  GITWA JF-Expert Member

  #1
  Jul 20, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 699
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 80
  Ukiwauliza dada zetu wangependa kuolewa na mwanamme wa aina gani? Wengi watakujibu kuwa wanapenda mwanamme mwenye msimamo thabiti kwenye maamuzi yake. Lakini cha kushangaza ni kuwa pindi wanapoolewa hujitahidi kuwatoa waume zao kwenye misimamo yao.

  1. Kinachonishangaza ni kwa nini hawawapendi wanaume wasio na msimamo ili wapate kuwageuza wapendavyo? Maana pindi wanapoolewa na wenye msimamo na kuanza jitihada za kuwabadili hapo ndipo migogoro ya ndoa inapoanza.
   
 2. Catherine

  Catherine JF-Expert Member

  #2
  Jul 20, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 1,263
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Kama mwanaume unabadilishwa msimamo ndani ya ndoa basi ulikuwa huna msimamo tangu awali. Maskini wadada bado wanakosa wanaume wenye misimamo.
   
 3. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #3
  Jul 20, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,748
  Likes Received: 12,842
  Trophy Points: 280
  Hilo nalo ni tatizo utawasikia wana tafuta dawa kumlegezaz!
   
 4. harakat

  harakat JF-Expert Member

  #4
  Jul 20, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Tatizo hapo ni miziziology yaani wanaweka mizizi mpaka mganaga naye unakuta
  kashaanza kufanya featuring hasa kwenye kuingiza dawa ili ifanye kazi
   
 5. Signora

  Signora Member

  #5
  Jul 20, 2012
  Joined: Jul 20, 2012
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Women spend their entire life trying to change their husband! And guess what? At end! They start complaining he is not the men I married!!
   
 6. cartura

  cartura JF-Expert Member

  #6
  Jul 20, 2012
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 3,049
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  kuna wanaume ngangari unaweza kutumia gunia zima la miziziology+limbwata na mazagazaga mengine na bado ikadunda
   
 7. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #7
  Jul 20, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Sijawaelewa hapa mnazungumzia nini...
  Kwa nini na nyie msubiri kubadilishwa?
   
 8. Bra-joe

  Bra-joe JF-Expert Member

  #8
  Jul 20, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,559
  Likes Received: 510
  Trophy Points: 280
  Hawa watu siku zote huwa hawajui wanachokitaka. Ukiwa na msimamo nomaa, ukiwa huna ndiyo kabisaa.
   
 9. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #9
  Jul 20, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,199
  Trophy Points: 280
  This thread is plagued with over generalizations, unfounded and gross ones at that.

  Granted, I suspect there is a percentage of women - and men to be sure- befitting the above (original post) description. But this makes the notion that "dada zetu wako hivi" ridiculous, firstly because there is no evidence provided that this is the dominant behavior, but also because there is no evidence provided that this domain is the monopoly of "dada zetu".

  Unless something more palatable and concrete is provided, I may be correct in saying the subconscious mischaracterization by the travails of "mfumodume" will stop at nothing to demonize women, even when there is absolutely no justification to support the outrageous assertion forwarded.
   
 10. Purple

  Purple JF-Expert Member

  #10
  Jul 20, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 2,031
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 160
  Inategemea na msimamo wenyewe ni wa mambo gani?misimamo mingine haina kichwa wala mkia, ptuuuuu!
   
Loading...