mimba siku izi zinatafutwa mbali mnooo !!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mimba siku izi zinatafutwa mbali mnooo !!!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by mkonowapaka, Jul 19, 2012.

 1. mkonowapaka

  mkonowapaka JF-Expert Member

  #1
  Jul 19, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 1,483
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  wanaJF habari...

  jana nimekaa na wadau wangu tukitafakari hili na lile..ikiwa ni pamoja namajanga yanayoendelea kuangamiza watu kila kukicha.....lakini maisha lazima yaendelee...watu lazima tuzaliane kizaz kiendelee..

  ndipo ilipokuja mada kwamba wengi wa wanandoa au wapenzi once wameamua kutafuta mtoto/mimba inachuku amuda sana hadi kupatikana...

  siku hizi mwanamke kuwa kwenye siku za hatari haikupi garantii kwamba mimba itaingia...tunamifano ya kutosha ya wanandoa wanaosaka mimba zaidi ya miaka kwa sasa...........tatizo nini?haya mambo sasa yamekua kwa kasi sana.......mzee unapiiiiga kweli kweli daily bread....all of a sudden next month mama halet gudnews...whats not hapening?Mungu tunusuru!!

  ieleweke kwamba sizungumzii utasa hapa..nazungumzia ile hali mnakaa miaka hata mi3 then ndo mimba inapatikana..inachosha wajamen hasa kwa wenye roho ndogo
   
 2. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #2
  Jul 19, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,590
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  Eti Mtambuzi anasema kwakuwa hawanywi pombe!
  Some of us r very fertile, labda shida ya kina baba, si unajua it takes two to tango!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. cartura

  cartura JF-Expert Member

  #3
  Jul 19, 2012
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 3,049
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  inabidi uwe sharp- shooter and good- timer ili uweze kuongeza chances za ku-hit the bull.... haya mambo si ya kupiga nje-ndani tu ukafikiri umemaliza shughuli
   
 4. mkonowapaka

  mkonowapaka JF-Expert Member

  #4
  Jul 19, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 1,483
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  sasa miaka miwili unapiga daily hata siku moja usipatie??kwanza kinachohitajika si mbegu tu?ayo mengine yanatoka wpai
   
 5. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #5
  Jul 19, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,316
  Likes Received: 1,784
  Trophy Points: 280
  Kaunga, na kina baba nao wanasema wako very fertile...sijui tatizo sasa analo nani! Anyway, kweli watu wengi wanahangaika sana kupata watoto. Tuache kula makange na rojorojo, na pombe inayoitwa Jack daniel zinatuharibia vizazi
   
 6. Freema Agyeman

  Freema Agyeman JF-Expert Member

  #6
  Jul 19, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 3,268
  Likes Received: 1,419
  Trophy Points: 280
  sometimes even chemistry between the two can be a 'bottleneck' to conceiving
   
 7. mkonowapaka

  mkonowapaka JF-Expert Member

  #7
  Jul 19, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 1,483
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  kwa iyo wale wanaokaa miaka 2 bila kukonceive ndo chemical reaction inakua inatake place?kazi ipo kwakkweli

  nna broo alikaa 3 yrz ndo mkewe akaconceive
   
 8. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #8
  Jul 19, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,316
  Likes Received: 1,784
  Trophy Points: 280
  Can you explain it abit?
   
 9. Msaranga

  Msaranga JF-Expert Member

  #9
  Jul 19, 2012
  Joined: Feb 10, 2009
  Messages: 959
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Mtoa mada mimi nakuunga mkono kwa 100%.sasa hivi unaweza pata mtoto mmoja mkasema tunapumzika,mkitaka kutafuta wa pili kazi ipo mimba haishiki watu wengi tumeliona hilo nadhani kunatatizo kubwa sasa sijui ni zile dawa za uzazi wa mpango au?tatizo lingine ni wakina mama sasa hivi hawana mazoezi nadhani pia kinachangia sana au sijui ni vyakula//yaani kushika mimba sasa hivi mpaka watumie dawa ya kumsaidia kuziweka homones zao vizuri
   
 10. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #10
  Jul 19, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Ngono za mapema, Kutumia vidonge vya uzazi wa mpango, kuishi katika uhusiano wenye vurugu vyote hivi husababisha ugumu kwa mwanamke kushika mimba, lakini pia ziko sababu za kibaiolojia..........................
  [​IMG]
  Yataka moyo kumeza............................. Chezea wakwe na mawifi weye.............!
   
 11. Nambe

  Nambe JF-Expert Member

  #11
  Jul 19, 2012
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 1,455
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Nna friends ambao mpaka leo ma husby 2b wametoa shart la mimba ndio ndoa ifungwe, sasa na mashosti wangu hawa wamekukuruka wee wapi hakuna mimba. baadhi yao waliwah kuzipata na kuzichomoa huko nyuma kidogo na wengine wametumia sana madawa haya ya uzaz wa mpango. kuna wanaoamin kuwa madawa haya hormone zake huwa haziishi upesi mwilin so unaweza kuacha na ukajikuta unakaa muda mrefu bila kupata mimba. kwa upande wa waliozichomoa mara nyingi inaweza kuleta tatzo kutokana na kufanya tukio hlo kwa njia za kienyej na kusababisha kuharib kizaz. mengine ni matatzo ya kibaiolojia ambayo yanaweza kushughulikiwa kwenye vituo vya afya.
   
 12. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #12
  Jul 19, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,693
  Likes Received: 12,742
  Trophy Points: 280
  inapofika hapa watu utamani kujitoa roho maana akifikiria mama mkwe na wale wifi anaishiwa nguvu ndio maana mimba nyingi kabla ya ndoa!
   
 13. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #13
  Jul 19, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Sincerely speaking it has been a common trend mostly being contributed by contraceptives and repeatedly abortions
  Above all mungu pia anakerwa na mienendo yetu mumetoka kulana Tigo Leo Hii mwataka mtoto,abortions,
  Kupata mtoto apo ni mpaka mkeshe mfunge na kuomba kwa Allah
   
 14. N

  Neylu JF-Expert Member

  #14
  Jul 19, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 2,650
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Haina mahusiano yeyote na mazoezi....
   
 15. Asabaya

  Asabaya JF-Expert Member

  #15
  Jul 19, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 1,317
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Kweli inlet shida kwenye mahusiano tena pale mwanamme anapokua mkali utadhani nirahisi,wifi na mkwe wanakwambia mmm anajaza choo tuu hajataga walaa hajaengua bora uwoe mke mwengine manake utakosaa mrithi
  Wa jina na mali zako, sass hayo ukiyasikia tena Kama ndio mama wanyumbani ndio BP juuuuuu....
   
 16. d

  decruca JF-Expert Member

  #16
  Jul 20, 2012
  Joined: Jun 18, 2012
  Messages: 295
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Du hiyo ni kweli kabisa, lkn most of them wenye matatizo ni wanaume ila kwa kuwa watu wamebase kuwa wenye matatizo ni wanawake ndio maana tatizo linagrow. mm kama kuna wanye matatizo kama hayo aniambie direct nimuelekeze hospita ya kwenda.
   
 17. Mkaa Mweupe

  Mkaa Mweupe JF-Expert Member

  #17
  Jul 20, 2012
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 654
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Umeyasikia ya mchungaji wa Zimbabwe? Yeye alikuwa anauwezo wa kuombea mimba, lakini kabla hajafanya hivyo ni lazima ahakikishe kama kweli mimba haishiki... Jamaa kapeleka waifu... kutest, jamaa kila akienda kumwangalia waifu kitumbo kinajaa... afu mchungaji kachukua jumla waifu wa njemba...

  Inabidi kabla hujamlaumu mwenzio, muende hospitali kwanza, kama hamuwezi kila mmoja amtafute mchungaji wake wa kutest...
   
 18. n

  nyabina Member

  #18
  Jul 20, 2012
  Joined: May 29, 2010
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  wanaume walio wengi wana low sperm count,
   
 19. Bramo

  Bramo JF Bronze Member

  #19
  Jul 20, 2012
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 9,454
  Likes Received: 2,503
  Trophy Points: 280
  Mimba kitu cha ajabu sana, We jifanye eti unapanga Mwezi huu tupate Mimba, mnaweza muisome Namba for 4 Years, lakini siku jitusu kula Mwanamke ambaye huna Mpango nae e.g Beki 3, Mke wa mtu etc etc, hata Mkiwa mmesimama na Bao moja la chapchap tu, Inaingia Fatsa
   
 20. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #20
  Jul 20, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hii kitu inaitwa dawa ya kukabiliana mimba zisizotarajiwa itatumaliza bandugu,ni mojawapo ya matatizo yanayosababisha.
   
Loading...