Naomba msaada:kuhusu ndoa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba msaada:kuhusu ndoa

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by salito, Jul 20, 2012.

 1. salito

  salito JF-Expert Member

  #1
  Jul 20, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,365
  Likes Received: 352
  Trophy Points: 180
  Habarini wana jf..mimi kuna swala linanitatiza hasa kwa watu wenye imani za dini zenu naomba mnifafanulie hili..Hivi kumuoa mwanamke ambae umeshaishi nae kinyumba linaruhusiwa katika imani yako?au ambae umeshazaa nae?kama jibu ni ndio kwa nini?na kama hapana kwa nini pia?naomba unifafanulie mtazamo wako juu ya hili..ukinipa na mistari ya kitabu unachokiamini utakuwa umenisaidia sana.

  Angalizo:

  Hii ni kwa wale watu wenye kujielewa,matusi,kejeli,dharau kwa imani isiyo yako hayahitajiki.kama huwezi hili tafadhali pita tu.
   
 2. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #2
  Jul 20, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,857
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  mkuu,me cna jibu la swali lako bali ni ushauri kwamba hii mada hamishia MMU. . .
   
 3. Collins

  Collins Senior Member

  #3
  Jul 20, 2012
  Joined: Jul 19, 2012
  Messages: 145
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kama umeshazaa naye na mnaishi pamoja mi nadhani hiyo ni uhalalisho wa ndoa
   
 4. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #4
  Jul 20, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Nikiwa fully uhakika nathubutu nikwambie hakuna dini yeyote inayozuia kumuoa mwanamke ex
  ama alikua hawara yako or related matter, iwe alizaa au hakuzaa.
  Unapohitaji kumhalalisha there is no objection , is quite applicable .
   
 5. beibe nasty

  beibe nasty JF-Expert Member

  #5
  Jul 20, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 1,648
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Asante baba watoto
   
 6. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #6
  Jul 20, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Nimetambua na kufarajishwa na uwepo wako hapa, ahsante!
  "Mamie wana"
   
 7. beibe nasty

  beibe nasty JF-Expert Member

  #7
  Jul 20, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 1,648
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Yeah sweety im here for uu
   
 8. salito

  salito JF-Expert Member

  #8
  Jul 20, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,365
  Likes Received: 352
  Trophy Points: 180
  MMU ni nini mama??
   
 9. salito

  salito JF-Expert Member

  #9
  Jul 20, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,365
  Likes Received: 352
  Trophy Points: 180
  ubahalalisha kiaje?cjakuelewa vizuri.
   
 10. salito

  salito JF-Expert Member

  #10
  Jul 20, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,365
  Likes Received: 352
  Trophy Points: 180
  anhaa kwa hiyo kumbe mkuu mnapokatazwa kuzini huwa ni kwa ajili ya nini??maana nilikuwa nahisi mbakatazwa kuzini ili muoane.
   
 11. salito

  salito JF-Expert Member

  #11
  Jul 20, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,365
  Likes Received: 352
  Trophy Points: 180
  naomba mawazo yako bibie katika mada please..
   
 12. beibe nasty

  beibe nasty JF-Expert Member

  #12
  Jul 20, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 1,648
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Kwa niaba ya shostito wangu mmu ni jukwaa lipo humu jf kirefu chake ni mapenzi, mahusiano, na urafiki
   
 13. salito

  salito JF-Expert Member

  #13
  Jul 20, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,365
  Likes Received: 352
  Trophy Points: 180
  sawa asante kwa kunifahamisha.
   
 14. beibe nasty

  beibe nasty JF-Expert Member

  #14
  Jul 20, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 1,648
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Mi nadhan wachangiaji waliopita wapo sahih ni kwamba na ndo sikuhiz imekuwa si jambo lakushangaa watu weng wanaoana bt b4 kuhalalisha wanakuwa washakaa pamoja kama mke na mume
  So hapana tatizo kwa iman yangu mimi
   
 15. Meritta

  Meritta JF-Expert Member

  #15
  Jul 20, 2012
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 1,304
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  mh.....
   
 16. Meritta

  Meritta JF-Expert Member

  #16
  Jul 20, 2012
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 1,304
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Unaweza kufunga nae ndo ila wanasema unabariki ndoa kwa kuwa umezaa na kuishi nae kabla ya ndoa
   
 17. beibe nasty

  beibe nasty JF-Expert Member

  #17
  Jul 20, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 1,648
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Unaguna nin?
   
 18. Meritta

  Meritta JF-Expert Member

  #18
  Jul 20, 2012
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 1,304
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  We niache mie nina mambo yangu
   
 19. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #19
  Jul 21, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Heheh.........
  Fuata ushauri wa charminglady na uhamishe hii mada kama kweli upo serious!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. beibe nasty

  beibe nasty JF-Expert Member

  #20
  Jul 21, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 1,648
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Mambo gan binti wee stress tuu hapo zakusumbua sa kichokugunisha nini katika changio langu eehee au wamtaka hadi jg sema tuu nikuitie umsikie atakachosema kwako. Basi lala upumzike my ex wii
   
Loading...