Sikutarajia kama hii ndio tabia yako........

Nakapanya

JF-Expert Member
May 22, 2012
2,096
708
Siku moja kulikuwa na bendi moja ya taarabu wanatumbuiza eneo fulani,mimi si mpenzi wa taarabu ila kwa kuwa siku nyingi sijaenda mziki kutokana na mazingira nikaamua kwenda kuburudika.Katika usiku ule nilianza kucheza peke yangu kwa mbali nikamuona DADA mmoja ambaye huwa namuona mtaani kwetu lakini hatuna mazoea ya karibu hivyo nikampotezea.Wakati nikiendelea kuburudika ghafla yule dada akaja kwangu na kuanza kunichombeza pale mara ooh....huwa nakuona mtaani so naomba tucheze pamoja,bila hiyana nikaamua kucheza naye.Mwanzoni tulianza kucheza vizuri ila kadiri muda ulivyokuwa unaenda ndivyo vurugu zilipoongezeka,alianza kunishika hata sehemu mabazo hazihusiki tena mbele ya hadhara,nikawa muwazi na nikamwambia sipendi anavyofany,kweli akacha ila akaanza kuning'ang'ania nimnunulie bia;nikamnunulia kama bia tatu bila kinyongo.Wakati muziki ukielekea mwishoni nilishtushwa na kauli kutoka kwa yule dada,aliniambia hivi:"KAMA UNATAKA MWANAMKE UWE UNANIAMBIA NIKUTONGOZEE",Kauli ile ilinifanya nimuanglie mara mbilimbili bila kummaliza,hapohapo nikaamua kumkwepa kabisa.Siku iliyofuata nikawasimulia washkaji zangu wa kitaa na wote hawakuonyesha kushangaa kwani waliniambia hiyo ndio TABIA yake yule dada na shughuli hizo huzifanya yeye pamoja na wenzake ambao hufanya kazi katika SALUNI MOJA YA KIKE,kweli tangu siku ile sikupenda kabisa kukutana na yule dada kutokana na ile TABIA aliyonionyesha usiku ule.loooh UKUWADI kumbe nayo kazi.....?
 
hizo kazi za ukuwadi zinalipa,ukienda Asia,Europe ata America,watu wanawafuga kabisa mabinti,harafu wanakuwa wanatoa namba za simu,ukiitaj service unapiga simu wanakuuliza unataka africa,indian,chinese,white etc unajua unaletewa adi kwa nyumba,kwa nchi zilizoendelea ukuwad ni deal sana
 
hizo kazi za ukuwadi zinalipa,ukienda Asia,Europe ata America,watu wanawafuga kabisa mabinti,harafu wanakuwa wanatoa namba za simu,ukiitaj service unapiga simu wanakuuliza unataka africa,indian,chinese,white etc unajua unaletewa adi kwa nyumba,kwa nchi zilizoendelea ukuwad ni deal sana

mhhhh this is terrible
 
kumbe nakapanya unapenda taarab,mimi pia ni mpenzi wa taarab ingawa sio kivile

hapana,kama umesoma vizuri hapo juu nimesema sipendi taarabu ila napenda sana disko na live band ila kwavile huku nilipo hakuna disko na wasanii huja mara chache sana nikaamua niende hvyohvyo jpo si mpenzi wa taarabu.
 
Hiyo ni kazi bwana, huwa pia wanapewa official licence au kadi ya kazi
 
Pole mkuu. Ni huduma muhimu, hasa kama mhitaji anaomba kutafutiwa. Ujue pia kuna watu hawana muda kabisa wa kutongoza, au wengine inakuwa issue sana.So huduma kama hiyo ni poa. Kuna wakati nilipita pale Buguruni kituo cha kwenda Ubungo. Kuna biashara ya ukahaba pale usiku. Nikasogea nikawa naongea na kijana mmoja, akasema yeye hana muda wa kutongoza, so akienda pale inakuwa ni kuchukua tu.
 
Huyo mdada hana lolote alikuwa anakutata tu..ungemwambia akutafutie,ungeshangaa angekuja yeye.
 
Back
Top Bottom