Ndugu wan JF, naomba mnijuze hili............... Kuna hali fulani inajitokeza kwa msichana pale mnapokuwa faragha. After a long love play... and during penetration, kuna UTANDO MWEUPE UNATOKA...
Wana JF naomba msaada/ushauri. Nimefall in love na house girl wangu (beki tatu), kila nikiweka maazimio ya kuachana nae nashindwa. Na kwasasa nimenogewa hasa. Tumepima na wote ni wazima kiafya...
Ni mara nyingi sana kwa sisi wanaume.. mtu unapokuwa unamfukuzia gal huwa tunashow sana LOVE and CARE and also at a time unakuwa humuoni wa kulinganishana naye..Lakini baada ya ku'do' naye mara...
TYPES OF HUSBAND
THEIR CHARACTER TRAITS
1
Bachelor Husband
These are men who
Love to do things on their own without consulting their wives
Love to hang a lot with their friends rather...
HONEY,BABY,LAAZIZ,MPENZ,MAABUBA n.k Ni moja 2 ya maneno ambayo hunitoka Tena kwa dhati kabisa Eidha Niwapo Ana Kwa Ana Ama Nikiwa Nachat Kwa Simu Na ma gal
Ndg wana JF(Hasa wanaume) nina GF...
nilikuwa kwenye hoteli moja kwa ajili ya kupata chakula, mhudumu wa kike alikuwa akitoa huduma mezani kwangu.
Simu yake ikaita na kuipokea akisema "........ Nakuja niko nyumbani naoga nitakuja"...
Huyu mke wanu sijui nimfanyeje, anajiona ana akil na muweza kuliko kiumbe yeyote duniani.
ananinadharau na kuniona mimi na ndugu tu mazuzu.
Amevuka mipaka, hata na baba yake naye hamhehimu wala...
habari zenu wapendwa, kuna kaka mmoja alinipigia sim lakini akawa amekosea namba baada ya kujua kua kakosea akaniomba samahani nami nikaendelea na zangu, kilichonishangaza alinipigia tena na...
najitokeza mbele enu wana jf wenzangu!! Nipo kwenye mahusiano na binti mmoja ambae ninatumaini mungu akijali baada ya miaka 3 niwe nae! Nimekua ktk mahusiano kwa miezi 5 kutokana na tabia yake na...
Nimeshuhudia ndoa nyingi zinavunja kwa 7 ya cm ..wanawake kwa wanaume wote wanaumizwa na mapenzi kwa 7 ya cm kama unapenda mke wako au mume wako kwa nini ufutilie mpaka kwenye cm ,sms kwa wanaume...
Hii nimekutana nayo sehemu fulani hivi akina dada walikuwa wanamchamba mama mtu mzima ilivyoonekana huyo mama anapenda vijana.Hivyo hao dada walikuwa wanamwambia hukufanyw..... Ukaridhika enzi...
Is it coz...
1) You won't get over your ex.
2.) You're Scared Of Commitment & Heart Break.
3.) Because you want what you cant have.
4.) You flirt too much.
5.) You don't act like you're ready for...
naombeni ushauri na nifanyeje ninampenzi wangu ambae tumekua kwenye mahusiano kama miezi 4 iliyopita amekua muongo kwangu kwani nimegundua historia aliyoniambia kuhusu maisha yake niyauongo yote...
Za siku nyingi wana Jf.
Ebwanae, mimi nimepanga kama mjuavyo kupanga kuna mambo mengi. Sasa katika nyumba yetu hii kuna dada mmoja inasemekana ni mlokole[maana sijawahi kumwona anatembelewa na...
Ndugu wanaJF naomba kuwasilisha hoja yangu ya msingi kwa kile kinachonisibu, mimi ni kijana wa kiume natafuta mchumba na hatimaye awe mke wa kuoa therefore kwa yeyote yule aliye tayari tuwasiliane...
Nlipokuwa form one mwaka 2004 nlitokea kumpenda sana msichana fulan, nilimpenda sana tena sana, nilipojaribu kum-approach alinkatalia (naamin alinikataa kipindi kile kwa sababu alijiona mdogo)...