Penzi la house girl

Mpilipili

Member
Nov 17, 2011
28
12
Wana JF naomba msaada/ushauri. Nimefall in love na house girl wangu (beki tatu), kila nikiweka maazimio ya kuachana nae nashindwa. Na kwasasa nimenogewa hasa. Tumepima na wote ni wazima kiafya. Naombeni ushauri, nitafanyaje ili niweze kuachana nae?
 
daaah ...mkeo yupo around?
huyo housegirl ni pepo huyo...mfukuze nyumbani kwako ...atakuachia balaa hutokaa usahau...mfukuze haraka
 
Mmmh nahis bado hujakuwa na nia ya kuachana nae. Kitu cha kwanza mpe termination next step kata mawasiliano nae.
 
Mmmh nahis bado hujakuwa na nia ya kuachana nae. Kitu cha kwanza mpe termination next step kata mawasiliano nae.
hwa mahousegirl watatuua mwaka huu..just imagine anaenda na mumeo kupima kabisa ili wajihalalishie...si mama mwenye nyumba atapewa sumu hapo jamani?...huu mwaka hautaisha bila huyo mama kufa nakwambia..
 
Uswauri wangu kwako piga ndoa nae sbb umekiri ume fall in love so usiutese mwili na unajua dini zte na kabila pia zinaruhusu mke zaidi ya 1 ila uchache wa kivielewa vizuri vitabu vya Mungu ndio watu wanatishana kwa lengo la kuipa zinaa nguvu sbb ww ushaoa wake 3 mm na mwingine tunao labda 2 makahaba watakwama na tukienda ktk night club wadada watachunda sbb kila men anao kibao wa halali hme
 
endelea hadi mama mwenye nyumba akukamteni akutimulie mbali ndio utaelewa kuwa mshahara wa dhambi ni mauti
 
Kul tunda mkuu jivinjari,mtu umlipe mshahara mwenyewe halafu aliwe na waendesha boda boda au walinzi,kula tunda mi mwenyewe kuna kahouse girly kapya wife kakaleta kananivutia lazima nitakachinja soon
 
uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii umeoa?? Naweza data, nikisikia haya makitu kwa hubby! Holly mary of guadalupe, pray for all wives in their matrimonial marriages! Tufiakwa!

acha hizo wewe nyie ndio mnaoliwa na mahouse noy na walinzi halafu unakuja hapa unabwabwaja
 
Actually ana miaka 20 na kupima ilikuwa ku-ensure usalama wetu. kuhusu kubaka si tunaelewana wajameni
 
daaah ...mkeo yupo around?
Huyo housegirl ni pepo huyo...mfukuze nyumbani kwako ...atakuachia balaa hutokaa usahau...mfukuze haraka

acha wivu wewe nyama ni nyama tuu mwacheni mwenzenu alipe mshahara na yeye alipwe kwa penzi
 
Kwanza wanawake tunaooa these days kiburi sana penzi anakupangia ratiba mara denja mara mwezini,hao mabeki tatu ndio wenyewe mshahara umlipe halafu aliwe na madere wa boda2 no kula tunda mwana jiachie tena saomtime pangeni mtoko mpeleke hotel za ufukweni na yeye akaione dunia
 
Kul tunda mkuu jivinjari,mtu umlipe mshahara mwenyewe halafu aliwe na waendesha boda boda au walinzi,kula tunda mi mwenyewe kuna kahouse girly kapya wife kakaleta kananivutia lazima nitakachinja soon

aisee jina lako limenibariki..
 
Wana JF naomba msaada/ushauri. Nimefall in love na house girl wangu (beki tatu), kila nikiweka maazimio ya kuachana nae nashindwa. Na kwasasa nimenogewa hasa. Tumepima na wote ni wazima kiafya. Naombeni ushauri, nitafanyaje ili niweze kuachana nae?

Mtimue kazi na arudi kwao
 
Inabd uamue haraka iwezekanavyo. Moja, itakuwa ngumu wewe kuachana naye kabisa kama bado anaendelea kufanya kazi kwako. Pili, kama roho yako imefikia hatua ambayo maisha yako hayendi bila ya huyo hg, inabidi uweke tu mambo hadharani- awe mkeo halali. Tatu, unaweza ama ukampangia room sehemu, kisha ukaendelea kufaidi wakati unajipanga kuhalalisha. Au mtafutie kazi mahali ambapo utakuwa na uhakika wa kuendelea kumpata.
 
Back
Top Bottom