Ni Kwangu Tuu...ama nanyi yanawapata

Majigo

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
5,519
1,825
HONEY,BABY,LAAZIZ,MPENZ,MAABUBA n.k Ni moja 2 ya maneno ambayo hunitoka Tena kwa dhati kabisa Eidha Niwapo Ana Kwa Ana Ama Nikiwa Nachat Kwa Simu Na ma gal

Ndg wana JF(Hasa wanaume) nina GF Ambaye Nampenda Sana Kias Cku Yangu Yangu Hui2mia Kuwaza Namna Gan Niweze kuwa Mwanaume Nitakayemfaa kwa hali na Mali,sasa 2na miezi 5 kwenye mahusiano
Kinachoniuma Ni Kuwa Huyu GF Wangu Toka 2we Wapnz HAJAWAH KUNAMBIA ANA HAMU NA MIMI mimi Huwa Namtamkia mara nyng na Nikiomba 2kutane Hana Tatzo Kwa Hlo
Na Kunitamkia Hayo Maneno juu(honey n.k )mpaka niwe nimemgift k2 fulan.

Ingawa Kanibania Kuingza Majeshi Huwa 2natomasana na hata Kunyonyana Nyet Huyu mpnz HAJAWAH KUNISIFIA MAUFUND YANGU ingawa nikimuuliza kulidhka Anadai Kafika(Naamin naj2ma na Huwa Namsifia Yeye 2)

KIUKWELI NAJISH2KIA.... LABDA CJAKAMILKA KWAKE...
WENZANGU VP NINY KWA WAPENZ WENU?

Natanguliza Salam na Shukran Za Dhati Kwenu
 
Kuna watu aina tofauti, kuna watu ambao wanapenda kuexpress feelings zao; na kuna wasiopenda kujiexpress. Kama wewe ni wa kujiexpress ukutane na anayehide feelings zake inaboa sana na yaweza kupunguzia confidence (kitu ambacho kinatokea kwako sasa hivi).

Jiamini kuwa unamfikisha na unampagawisha; you can refer past relationships hii ndio njia pekee ya kuboost ur confidence.
Wito kwa wadada na wakaka mnaohide feelings zenu, mnamchango wa kutosha tu katika kuharibu mahusiano dont be selfish, share ur feelings with ur loved ones. Pride haina nafasi katika mapenzi, hata kama umeumbwa hivyo fanya juhudi za ziada kumuonesha mwenzio jinsi unavyofeel; usifikiri ataexploit feelings zako.
 
Wanawake kwa ujumla katika masuala ya mapenzi wanaongea kwa matendo sio maneno. Soma uso wake, sikiliza majibu yake unapouliza, angalia anavyotekeleza maombi yako, yanatosha kujua kuwa anakupenda. Suala la yeye kukutamkia kuwa ninakupenda, nina hamu na wewe, umenifikisha, usitarajie kwa walio wengi. Ni wachache wenye ujasiri huo. Wengine hata kupiga simu tu ni ishu, anataka mimi nimpigie, nikichuna anakasirika, akipiga ujue kuna jambo anataka kukwambia. Hivyo ndivyo ilivyo. Wewe angalia vigezo vya matendo ili kujua kama unapendwa au la, usisubiri maneno. Usipotoshwe na waigizaji wa filamu za Kanumba wanaompapasa mwanaume, majina kibao: my love, dear wangu, sweetheart I love you,nk. Wengine wanamtongoza mwanaume anawatolea nje wanalia. Ni uongo huo! Kwenye maisha halisi hawafanyi hivyo.
 
Mi nadhani kuna tatizo Ktk mahusiano yenu huyo mdada bado kuna kitu hajakikubali na hataki kuweka wazi...but time will tell,be patient and everything will be in place in no time....Kama Una mashaka Hakika kuna jambo na siyo hivi hivi tu.
 
Huyo gf wako labda bado anataka kuona msimamo wako uko wapi. Usipende kutanguliza ku-do..kama ulivyodai.
Na pengine labda anapeda gift zako tu that's why she used to call u those sweet names baada ya kum gift..pia hilo uwe nalo makini.
Kama we una malengo naye mchunguze kwa kina na usitangulize kutaka love
 
Kuna watu aina tofauti, kuna watu ambao wanapenda kuexpress feelings zao; na kuna wasiopenda kujiexpress. Kama wewe ni wa kujiexpress ukutane na anayehide feelings zake inaboa sana na yaweza kupunguzia confidence (kitu ambacho kinatokea kwako sasa hivi).

Jiamini kuwa unamfikisha na unampagawisha; you can refer past relationships hii ndio njia pekee ya kuboost ur confidence.
Wito kwa wadada na wakaka mnaohide feelings zenu, mnamchango wa kutosha tu katika kuharibu mahusiano dont be selfish, share ur feelings with ur loved ones. Pride haina nafasi katika mapenzi, hata kama umeumbwa hivyo fanya juhudi za ziada kumuonesha mwenzio jinsi unavyofeel; usifikiri ataexploit feelings zako.

Ulivyomwaga point utadhani ulilitegema swali hili teh teh, BIGup Kaunga.
 
Last edited by a moderator:
Kama kweli unampenda jitahidi umsome sana..
Kama alivyosema Kaunga kuna wadada wengine sex sio priority..
Unaweza kudhani kuongeza maufundi ataku'appreciate' sana kumbe yeye anona ni haki yake kufanyiwa hivyo..
Kama utamsoma kwa karibu unaweza kugundua kuwa yako mambo mengine anayoyapenda na ukimfanyia ataku'appreciate'
 
Last edited by a moderator:
Na baadhi ya wanawake wana aibu sana ukitaka kujua anataka utaona tu mara akuwekee mguu juu,Mara ukitaka kupata usingizi akuamshe,Mara aanze cheza na ndevu,Mara .....yaani full vitendo no talks.
 
Kuna watu aina tofauti, kuna watu ambao wanapenda kuexpress feelings zao; na kuna wasiopenda kujiexpress. Kama wewe ni wa kujiexpress ukutane na anayehide feelings zake inaboa sana na yaweza kupunguzia confidence (kitu ambacho kinatokea kwako sasa hivi).

Jiamini kuwa unamfikisha na unampagawisha; you can refer past relationships hii ndio njia pekee ya kuboost ur confidence.
Wito kwa wadada na wakaka mnaohide feelings zenu, mnamchango wa kutosha tu katika kuharibu mahusiano dont be selfish, share ur feelings with ur loved ones. Pride haina nafasi katika mapenzi, hata kama umeumbwa hivyo fanya juhudi za ziada kumuonesha mwenzio jinsi unavyofeel; usifikiri ataexploit feelings zako.

Mkuu Kaunga umesema yoote niliyofikiria kumshauri huyu Learner
 
Kuna watu aina tofauti, kuna watu ambao wanapenda kuexpress feelings zao; na kuna wasiopenda kujiexpress. Kama wewe ni wa kujiexpress ukutane na anayehide feelings zake inaboa sana.

Inafkia Tym Huwa Najitenga Nae Sababu Ya Hyo K2
Mkuu Nimekusoma
 
Inafkia Tym Huwa Najitenga Nae Sababu Ya Hyo K2
Mkuu Nimekusoma

Just be yourself, ndicho alichokupendea. Ukipunguza, unaweza leta maswali au shida. Type ya watu hao huexpect a lot from their partners. Ukijitenga utajitesa mwenyewe coz you are trying to be someone you are not; trust me l know exactly what you are experiencing.
 
Mwanangu jibu unalo mwenyewe. Huyu anakupotezea muda. Isitoshe kwanini uhanagaike na mtu asiyehangaika nawe? Vimwana wako wengi tafuta unayeona mnaendana na si huyo wa kukuchunia kila siku. Pia angalia approach yako, mila na desturi ya mhusika pia. Pia angalia tabia yake kama ni msemaji au mkimya. Jibu unalo mwenyewe kulingana na utakavyokuwa makini kufuatilia mambo mengi badala ya kutegemea ma lovy lovy at once.
 
Wanawake kwa ujumla katika masuala ya mapenzi wanaongea kwa matendo sio maneno Wengine hata kupiga simu tu ni ishu, anataka mimi nimpigie, nikichuna anakasirika, akipiga ujue kuna jambo anataka kukwambia. Hivyo ndivyo ilivyo.

Yaan kwenye hyo ishu ya kunicall tym nyng huwa Nazozana nae cz huwa namtega kwa kutompgia almost 2 day na akinicall yexe ni blame 2.
Asante mkuu
 
Just be yourself, ndicho alichokupendea. Ukipunguza, unaweza leta maswali au shida. Type ya watu hao huexpect a lot from their partners. Ukijitenga utajitesa mwenyewe coz you are trying to be someone you are not; trust me l know exactly what you are experiencing.

Dah! hakka baada ya kufatilia ur advice Moyo wangu umepata nafuu
Aisee KAUNGA Mo respect kwako!
 
Imetulia hii, nimeipenda.

Kuna watu aina tofauti, kuna watu ambao wanapenda kuexpress feelings zao; na kuna wasiopenda kujiexpress. Kama wewe ni wa kujiexpress ukutane na anayehide feelings zake inaboa sana na yaweza kupunguzia confidence (kitu ambacho kinatokea kwako sasa hivi).

Jiamini kuwa unamfikisha na unampagawisha; you can refer past relationships hii ndio njia pekee ya kuboost ur confidence.
Wito kwa wadada na wakaka mnaohide feelings zenu, mnamchango wa kutosha tu katika kuharibu mahusiano dont be selfish, share ur feelings with ur loved ones. Pride haina nafasi katika mapenzi, hata kama umeumbwa hivyo fanya juhudi za ziada kumuonesha mwenzio jinsi unavyofeel; usifikiri ataexploit feelings zako.
 
Last edited by a moderator:
Inawezekana ndo alivyo but kitu ambacho sijaelewa ni kwa nini ukimpa zawadi tu ndo anakuita sweet names??wanawake hua ni wepesi sana kuexpress hisia zao ukiona mtu anaficha ujue kuna somewhere yuko open..
 
Duuuuuh! Ndugu usijali sana, jaribu kuchunguza kwanza huyo dada bado ana maumivu ya nyuma, kwa hiyo bado moyo wake hauko tayari na anajua akikuonesha ana kupenda au ana kupenda sana unaweza usimrudishie anavyotegemea!

Kifupi bado haja kuamini kama kweli unampenda, mpe mda utaona na wala wewe usichukulie kukerwa, acha mwenyewe ahamue kukupa mwili wake wala usilazimishe!

Kwa swala la kupenda huwa sina doubt na wanawake, kwani akipenda anapenda kweli najua itafika siku hizo honey na sweet zitakuchosha mpe muda.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom