najitokeza mbele enu wana jf wenzangu!! Nipo kwenye mahusiano na binti mmoja ambae ninatumaini mungu akijali baada ya miaka 3 niwe nae! Nimekua ktk mahusiano kwa miezi 5 kutokana na tabia yake na way anavojiheshimu na anavonipenda ckutaman na wala ctaman kuwa na mu mwingne tofauti na yeye! Lakini kuna kitu kimeanza kujitokeza mbele ya mboni zangu za macho ambacho nahc huenda kikaja kunintenganisha na huyu binti nacho ni utofauti wa dini zetu,yeye ni muislam na mimi ni mkristu! Kitu nacho hc ni kushndwa kwangu kubadil din kumfata uislamun maana alishanambia muda utapofka inbidi nibadili dini ili nifumge nae ndoa ya kiislam! Mi kubadl dn cwez na yeye kubadil din kunifata mimi amesema hawez! Nilijaribu kumwambia kwani ndoa ya kiserikali haiwezekani ili kila mmoja wetu aendelee kuamini ktk dini ake anadai ndoa ya kiserikali haitambuliwi ktk dini ake! Sasa jamani mi nashndwa nifanye nini coz kumwacha ctaman na wala kubadl dini
haiwezekani...pls jf members help me what to do with tiis?
haiwezekani...pls jf members help me what to do with tiis?