Kwa Wanaume: Does Love in all ways means Sex?

SnowBall

JF-Expert Member
Sep 13, 2011
3,054
2,840
Ni mara nyingi sana kwa sisi wanaume.. mtu unapokuwa unamfukuzia gal huwa tunashow sana LOVE and CARE and also at a time unakuwa humuoni wa kulinganishana naye..Lakini baada ya ku'do' naye mara nyingi ile pressure na zile swaga za mwanzo hupungua (simaanishi kwa wote)..Hivi hapa issue ni kwamba huwa sisi wanaume Mapenzi yetu yamejengwa zaidi kuwavua c.h..p wadada?..Does this mean that sex ndio factor ya kuendelea kuwa na demu au otherwise?..Hebu tupeane uzoefu basi kidogo..
 
ask women hili swali

ukipendwa kwa kila aina na mwanaume without sex....inatosha?
 
Kwa upande wako ni aje?
Asante kwa thread ya muhimu maana itatupa mwanga sisi wanawake!
 
ask women hili swali

ukipendwa kwa kila aina na mwanaume without sex....inatosha?

Why not responding on ur side The Boss ?
Najua women pia wataingia..but i wanted to know on our side!
 
Last edited by a moderator:
Kwa upande wako ni aje?
Asante kwa thread ya muhimu maana itatupa mwanga sisi wanawake!

Ningependa sana tushee ufahamu kwanza..
Then at the end we can make a conclusion..
 
sex haihusu wanaume tu
ina husu wote according to age....

Inaonyesha wanawake ndio wahanga sana wa hili jambo..
And in most cases sisi wanaume ndio tunao'initiate' mapenzi..
Nadhani inabidi kufahamu..why tunafungaga break after once a lady anapokuwa amekupa tunda..
 
sex is more inclined to our animalistic nature, more of a response to a 'call of nature' than anything else
 
Vitu vingine ni culture zaidi
nchi zingine ni kawaida kwa mwanamke 'kumtumia' mwanaume for sex..
au kukuta mwanamka anakutokea na later anakwambia
it was only sex that i wanted that day ,usinijue please sikutaki..
 
sex is more inclined to our animalistic nature, more of a response to a 'call of nature' than anything else

so, do you agree that to love more a person should be preceded by the way she performs in a bed?
 
Vitu vingine ni culture zaidi
nchi zingine ni kawaida kwa mwanamke 'kumtumia' mwanaume for sex..
au kukuta mwanamka anakutokea na later anakwambia
it was only sex that i wanted that day ,usinijue please sikutaki..

Do you want to tell me that sex has nothing to do with loving somebody?
If sex is a mere cultural defined act..what about love?..
Where is their correlation?
 
...Bora umesema hili si kwa wanaume wote maana wengine ndio mapenzi huzidi kuwa moto moto baada ya shughuli nzito ya kumfukuzia (siyo wale wa kujilengesha) binti...

Ni mara nyingi sana kwa sisi wanaume.. mtu unapokuwa unamfukuzia gal huwa tunashow sana LOVE and CARE and also at a time unakuwa humuoni wa kulinganishana naye..Lakini baada ya ku'do' naye mara nyingi ile pressure na zile swaga za mwanzo hupungua (simaanishi kwa wote)..Hivi hapa issue ni kwamba huwa sisi wanaume Mapenzi yetu yamejengwa zaidi kuwavua c.h..p wadada?..Does this mean that sex ndio factor ya kuendelea kuwa na demu au otherwise?..Hebu tupeane uzoefu basi kidogo..
 
Last edited by a moderator:
Inaonyesha wanawake ndio wahanga sana wa hili jambo..
And in most cases sisi wanaume ndio tunao'initiate' mapenzi..
Nadhani inabidi kufahamu..why tunafungaga break after once a lady anapokuwa amekupa tunda..
Kuna tofauti kubwa kati ya kupenda na kutamani. Vyote hivi vinahusisha sex. Maisha ya sasa mahusiana ya jinsia mbili bila sex ni inevitable. Sasa basi, ukimlamba demu afu ukampotezea ujue hapakuwa na love bali kutamani. Ukipenda, hata ukimfumania utasamehe na kuendelea nae. Source: ODM.
 
Do you want to tell me that sex has nothing to do with loving somebody?
If sex is a mere cultural defined act..what about love?..
Where is their correlation?

mkuu nimezungumzia zaidi 'utamaduni'
wa wanaume ku initiate sex,au kukimbia after sex ya kwanza
nchi zingine huo utamaduni upo kwa wanawake pia..
 
Kupenda ni kupenda sex ni sex

ukiona unapewa tunda afu mhemuko unapungua ujue ulikuwa umetamani tu, na asilimia kubwa ya mahusiano ya kisiku hizi ni kutamananiana tu.

Mapenzi yamekuwa endangered phenomena
 
Kuna tofauti kubwa kati ya kupenda na kutamani. Vyote hivi vinahusisha sex. Maisha ya sasa mahusiana ya jinsia mbili bila sex ni inevitable. Sasa basi, ukimlamba demu afu ukampotezea ujue hapakuwa na love bali kutamani. Ukipenda, hata ukimfumania utasamehe na kuendelea nae. Source: ODM.

Mkuu Asprin unaweza kuelezea kidogo to what extent does the word 'kutamani' ends..
Hivi unaweza kumtamani mtu kwa miezi sita afu akishakupa ukalamba unasepa mazima?..
Kwa hiyo unataka kuniambia kuwa ukimpenda mtu hata asipokuwa mzuri kwenye yale mambo yetu mwendo mdundo??
 
Last edited by a moderator:
wanaume wengi tunaanza mahusiano wakti hatupo ready for serious commitment and marriage...our main aim wakati huo ni kuonja utamu wa K . kwa bahati mbaya wanawake hawatoi K ukiwaambia kuwa wewe watak kuonja hivyo men tunajikuta inabidi tupretend twampenda na kuonyesha care ili temu ajue kuwa tunatia nanga hivyo ni safe kutupa K. basi sasa ukishapata unakuwa huna tena stimu becoz uloshapat ulichotaka
 
ni mara nyingi sana kwa sisi wanaume.. Mtu unapokuwa unamfukuzia gal huwa tunashow sana love and care and also at a time unakuwa humuoni wa kulinganishana naye..lakini baada ya ku'do' naye mara nyingi ile pressure na zile swaga za mwanzo hupungua (simaanishi kwa wote)..hivi hapa issue ni kwamba huwa sisi wanaume mapenzi yetu yamejengwa zaidi kuwavua c.h..p wadada?..does this mean that sex ndio factor ya kuendelea kuwa na demu au otherwise?..hebu tupeane uzoefu basi kidogo..

and yours ni ipi
 
so, do you agree that to love more a person should be preceded by the way she performs in a bed?

nope, kumpenda mtu sana si lazima kuwe linked na sexual performance... in fact, unaweza ukampenda mtu bila hata kuji-engage kwenye sex naye (this is true hasa kwenye miezi au hata miaka ya mwanzo ya mahusiano)
 
Back
Top Bottom