Ni kweli haja sex siku kwa muda mrefu!

Prince Hope

JF-Expert Member
Jul 21, 2012
2,155
441
Ndugu wan JF, naomba mnijuze hili............... Kuna hali fulani inajitokeza kwa msichana pale mnapokuwa faragha. After a long love play... and during penetration, kuna UTANDO MWEUPE UNATOKA KATIKA LOVE POT ya msichana. Note: si uchafu coz no irritating smell! Je, hii inasababishwa na kutofanya mapenzi kwa muda mrefu!
 
Kaka ilo ni swali au statement? Coz mwisho umeweka alama ya '!' na si "?"..
 
Brush imeingia na kukwangua kila sehemu.
Inategemea na jinsi alivyokuwa anajisafisha.
Kama alikuwa anatumia kidole na kuosha ndani (wengine hawashauri), kwa kiasi kikubwa hakutakuwa na discharge nyingi. Ila kama anaosha juu juu, obvious ukija kuingia hiyo kitu italiwepo.

Tahadhari, check color, odor na jinsi discharge ilivyo; yaweza kuwa fungal infection.
Pia cycle inahusika kujua lini kuna discharge nyingi na lini hakuna.

Mwisho; YES it can mean hajachakachuliwa!
 
Ni hali ya kawaida hiyo na inasaidia kama lubrication wakati wa penetration na hivyo kusaidia kwa kiasi fulani kupunguza michubuko. Kuna wanawake wengine wako hivyo hata kama hawakai kipindi kirefu bila tendo la uroda.

Ndugu wan JF, naomba mnijuze hili............... Kuna hali fulani inajitokeza kwa msichana pale mnapokuwa faragha. After a long love play... and during penetration, kuna UTANDO MWEUPE UNATOKA KATIKA LOVE POT ya msichana. Note: si uchafu coz no irritating smell! Je, hii inasababishwa na kutofanya mapenzi kwa muda mrefu!
 
Ndugu wan JF, naomba mnijuze hili............... Kuna hali fulani inajitokeza kwa msichana pale mnapokuwa faragha. After a long love play... and during penetration, kuna UTANDO MWEUPE UNATOKA KATIKA LOVE POT ya msichana. Note: si uchafu coz no irritating smell! Je, hii inasababishwa na kutofanya mapenzi kwa muda mrefu!

Umepewa ushauri mwingi hapo juu, ila ni vizuri zaidi upite uonane na madaktari wa magonjwa ya wanawake wanaweza kukusaidia kukupa jibu zuri la kitaalam kama ni ugonjwa au ni hali ya kutokuchakachuliwa kwa muda mrefu au ni hali ya kawaida. Unaweza kukuta mnalea magonjwa kwa kufikiri vinginevyo.
 
Brush imeingia na kukwangua kila sehemu.
Inategemea na jinsi alivyokuwa anajisafisha.
Kama alikuwa anatumia kidole na kuosha ndani (wengine hawashauri), kwa kiasi kikubwa hakutakuwa na discharge nyingi. Ila kama anaosha juu juu, obvious ukija kuingia hiyo kitu italiwepo.

Tahadhari, check color, odor na jinsi discharge ilivyo; yaweza kuwa fungal infection.
Pia cycle inahusika kujua lini kuna discharge nyingi na lini hakuna.

Mwisho; YES it can mean hajachakachuliwa!

Sijui kama kakuelewa!!..
 
Sijui kama kakuelewa!!..

Jibu langu, yaweza kuwa dalili ya kutochakachuliwa. Mwili wa mwanamke unajisafisha wenyewe kwa kutoa uchafu (utoko au vaginal discharge). Kuna discharge ya kawaida ambayo haina harufu mbaya foul smell, ina rangi nyeupe na nzito kidogo depending yuko kwenye kipindi gani cha cycle yake ya mwezi. Sasa kama unaDO mara nyingi, uume huact like a brush, kama haujaDO kwa muda mrefu, na ujisafishaji wako ni wa juu juu, ni obvious kuwa ndani kutakuwa na huo utoko!

Siku chache baada ya period, discharge inakuwa nyingi na thick; wakati wa ovulation discharge ikidogo na very thin (mucus huwa secreted ya kusaidia sperm kuswim), few day before period discharge huongezeka tena.

Nilimuwarn kuhusu fungal na possibly yeast infections kwa maana kuwa kama rangi ya discharge ikibadilika, au ikawa inatoa harufu au inakuwa kama mtindi kuna possibility kubwa sana ni infection!
 
Anyway sijui nieleze vipi hapa manake pana tuterminology tugumu.
vaginal discharges zipo za aina kuu 3. huweza kuzitofautisha kwa jinsi ambavyo ziko viscous na kipindi ambacho binti/mwanamke anapita.\

soon after menstruation hupata discharge ambayo ni ni kama maji maji kabisa and this is viscous ila siyo thick sana utando uhutokana na mixing up ya a certain horomone ambayo hutoka ili kuanza kuandaa mji wa mimba kwa maana ya kuusafisha na kuondoa anything ute huu hata kwenye chupi huwa hauchafui na ukikutana na binti wakatihuu huweza kuona kama uume wako umechafuka majimaji kama mziwa lkn mepesi.

wakati wa ovulation hapa ute huu huwa mwepesi yaani less viscous hapa hufanyiika hivi for the sake of easy peropalsion of a sperm. ute huu huwa mwepesi sana na hapa huwez kuona uume ukiwa umechafuka manake hata weupe wake ni mwepesi zaid kwa baadhi ya akina dada.

baada ya ovulation ute huu huwa mzito yaan more viscous na huu kwa wengine huweka utando ambao ni mweupe mzito huu huwa hivi ili kuprevent propulsion of a sperm na mara nyingi sana huu huchafua chupi kwa baadhi ya akina mama. kwa wale ambao wanapanga uzazi wanaweza kutumia tu aina ya discharge ili kupanga uzazi ni njia sahihi tu kwa mwanamama anayeujulia mwili wake.

aina ya discharge pia inaweza kutumika kipimo cha mtu kuwa hajafanya tendo la ndoa siku nyingi kwasababu hapati dilution na nafikiri tutakubaliana kwamba mara nyingi sana kwa baadhi ya akina mama huwa semen za mwanaume hubaki kwenye miili yetu hata siku 3 ama mbili so huweza kufanya dilution ya discharge na hivyo kuufanya ukawa mwepesi.

ikumbukwe kwamba ute huu uwe mwepesi ama mzito ukiambatana na harufu na rangi kama pink ama brown kunainfection so ni vyema kumuona daktari mapema.

mtanisamehe sana kwa aina ya kiswahili hiki manake nilikuwa najitahd kuandika biology in kiswahili so imeniwia vigmu sana but hope mmepata mantiki.
 
Wacha kujifariji,
Yaweza kua mjanja kakuwahi zikakukia humo.

Sio kila ving'aavyo ni dhahabu!!
 
hapa ndo unatambua mascientist sio ma i.t
 
Back
Top Bottom