Huyu mkaka mbona simuelewi??? nisaidieni mawazo wanajf

amina ali

Member
Aug 1, 2012
52
11
habari zenu wapendwa, kuna kaka mmoja alinipigia sim lakini akawa amekosea namba baada ya kujua kua kakosea akaniomba samahani nami nikaendelea na zangu, kilichonishangaza alinipigia tena na kunambia kuwa kavutiwa na sauti yangu hivyo kanipenda vyovyote nilivyo na lengo lake ni kuoana, sikumpa jibu rasmi ikawa tunaendelea kuwasiliana akaomba aongee na mama nikamkubalia sasa alipoongea nae akajitambulisha kuwa mimi ni mpenzi wake anataka kuja ili wajuwane, basi akafahamishwa mpaka nyumbani akaja akakaribishwa vizuri, sasa baada ya kuondoka akanitumia sms na kusema kuwa kazidi kuchanganyikiwa anaomba nisimtose nimkubalie tu ili aniowe, swali lipo hapa huyu jamaa hajawahi kunihuduia hata sent zaidi ya vocha nimaneno matupu hivi nikweli ana mapenzi yakweli? nisaidieni jamani nisijejuta kwa uamuzi nitakaotoa.
 
Mwambie kwanza akuhudumie na vijisenti ili kuonyesha mapenzi ya kweli kisha ndio akuwowe.

mapenzi ya kweli yanapimwaje? all in all, issue nzima imekaa kisanii sanii sana na most probably ni ya kutunga
 
We mdada wewe! kwahiyo ukitumia tigo ya buku 5 roho yako itakuwa kwatu....hasa wewe ndio utamuyeyusha kaka wa watu muache tu ende zake
 
Mwambie kwanza akuhudumie na vijisenti ili kuonyesha mapenzi ya kweli kisha ndio akuwowe.

teteteteh, mwambie Amina mwambaie 'mchumba' akununulie apartment full furnished city centre, akufungulie na biashara ya boutique ukachukue nguo Ubatani na Hongkong.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mhhhh! sasa unataka kumfundisha mambo ya uchunaji wa buzi lol! :):)...huyu hana makuu yeye vijisenti vichache tu basi anamtunuku njemba aliyevutiwa na sauti yake amuwowe.

pole zangu za dhati kwenu wawowaji.

Hamwelewi wakati alishindwa kumkatalia tangu mwanzo.

Halafu akampa mama yake aongee na simu ya mtu asiye mjua, cha ajabu na mama akaongea(akina mama wengine nasi tunakuwa viazi vya chelema sana)

jambo la tatu wakamkaribisha nyumbani, lol

oeni tu haya haya machelema.

Duh,

Kama wake watarajiwa wenyewe ndio hawa tutaoa kweli?

Unguja tabia hii ya mwanamke kukujua tu mara anataka kukufanya ATM inaitwa "Hashuo la Mkunguzuo"
 
habari zenu wapendwa, kuna kaka mmoja alinipigia sim lakini akawa amekosea namba baada ya kujua kua kakosea akaniomba samahani nami nikaendelea na zangu, kilichonishangaza alinipigia tena na kunambia kuwa kavutiwa na sauti yangu hivyo kanipenda vyovyote nilivyo na lengo lake ni kuoana, sikumpa jibu rasmi ikawa tunaendelea kuwasiliana akaomba aongee na mama nikamkubalia sasa alipoongea nae akajitambulisha kuwa mimi ni mpenzi wake anataka kuja ili wajuwane, basi akafahamishwa mpaka nyumbani akaja akakaribishwa vizuri, sasa baada ya kuondoka akanitumia sms na kusema kuwa kazidi kuchanganyikiwa anaomba nisimtose nimkubalie tu ili aniowe, swali lipo hapa huyu jamaa hajawahi kunihuduia hata sent zaidi ya vocha nimaneno matupu hivi nikweli ana mapenzi yakweli? nisaidieni jamani nisijejuta kwa uamuzi nitakaotoa.

Duh bahati ya mtende wenzako wanaloga wapate chance hzo na hawapati.
 
amina ali hahitaji hata visenti, yeye akilazimishwa tu simuni kuongea anakubali.

Raha kweli e-mapenzi

Mhhhh! sasa unataka kumfundisha mambo ya uchunaji wa buzi lol! :):)...huyu hana makuu yeye vijisenti vichache tu basi anamtunuku njemba aliyevutiwa na sauti yake amuwowe.
 
Mhhhh! sasa unataka kumfundisha mambo ya uchunaji wa buzi lol! :):)...huyu hana makuu yeye vijisenti vichache tu basi anamtunuku njemba aliyevutiwa na sauti yake amuwowe.

sio uchinaji ndio huduma zenyewe, tena sio za senti moja bali majisenti. Halafu unajua wanaume wengine hawawezi kudumia hadi uwaambie kwamba unataka huduma lol. Amina ajieleze tu vizuri atahudumiwa na 'kuwolewa'.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
sio ya kutunga niukweli halisi

Najua ya ukweli Amina....lakini wewe mtu hata hujamjua kwa muda mrefu wala mlikuwa hamjaonana kaomba kuzungumza na mama na akaelekezwa mpaka nyumbani mara katangaza ndoa nawe unaanza kuomba msaada wa kimawazo!? Mapenzi hayaharakishwi namna hiyo inabidi umfahamu huyo jamaa kwa kina kisha uone kama ungependa awe mume wako wa kufa na kuzikana.
 
achana na huyo anaye kupa vocha tu, njoo kwangu nikupe hela ntakuoa. unajua wenye hela ndo wenye mapenzi mazuri na yanayodumu. wenye hela hawana tabia mbaya. we binti mna akili sana. mia
 
jamani nishaurini vizuri sitaki nipendeze lakini angalau angeonesha vijidalili hali yangu ya maisha anaijua na anajua sina wa kunihudumia lakini pengine anadharau hata hivyo suala la kunionja asiweke akilini mwake hata angenihudumia kiasi gani natunza heshma yangu
 
Back
Top Bottom