Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

una mtu wako wa karibu ama ndugu anatafutwa kwa makosa kadhaa na wewe unataarifa zake najua kitu sahihi ni unatakiwa upeleke taarifa kwenye mamlaka husika. Lakini, mbona inakuwa ngumu sana...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Je? Unafahamu kuwa Wanawake wanauwezo mkubwa zaidi wa kunusa. Wenyewe hawajui lakini, mwamke anaweza kunusa hasira, ikiwa mumewe ana hasira hata akikaa kimya , mkewe...
6 Reactions
32 Replies
3K Views
Happy Eid wote., ingawa najua kwangu Eid probably sijui itakuwaje. :focus: Nimepigiwa simu na rafiki yangu like 30 minutes ago kaniambia ana matatizo na amenicall mimi kwa kuwa ni mtu wake wa...
0 Reactions
54 Replies
5K Views
Habari wana JF, mimi nimwanamke, ninatafuta mchumba kuanzia miaka 36 mpaka 45, awe mcha Mungu, mwenye elimu ya chuo. Jamani nipo serious kwa hili swala. Natanguliza shukrani. Dini yangu ni...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Mimi natafuta rafiki wa mawasiliano pamoja na kubadilishana mawazo popote walipo jinsi yoyote wote nawapenda by ngapu zenj. email.hii kassimyussuf@gmail.com na facebook hii...
0 Reactions
0 Replies
814 Views
jamani ebu sasa tuambiane ukweli hapa jf...hivi kama wewe ni mwanamke au ni mwanaume, ni mwanajf yupi labda kutokana na topics zake au jinsi anavyochangia mada kwa hekima na busara zake...
0 Reactions
69 Replies
5K Views
Dawa ya kuzuia nyumba ndogo Sasa kumegunduliwa dawa aina ya homoni inayoweza kuwazuia wanaume kwenda nje, au kuwa na uhusiano...
5 Reactions
14 Replies
2K Views
Wanajamvi salamu kwenu!! naombeni mnijuze kwa mtu anayejua sheria ya kazi / sheria za uzazi kuna mtu kanieleza jambo ambalo limenitatiza kuhusu likizo ya uzazi kwa wanawake! Ni kweli kuwa eti...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
wakuu mwenzenu nina tatizo, kila kona nikipita naona mabango dawa ya kuongeza ukubwa wa uume, lakini sijabahatika kukutana na wenye uwezo wa kupunguza ukubwa wa uume, maana hilo hasa ndo tatizo...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Inawatangazia dawa mpya iitwayo "MNASO" imetoa mafanikio makubwa kwa kuwanasa wagoni wake Temeke. Kwa wale wote wenye matatizo ya kusalitiwa na wenza wao wanaweza wasiliana nasi, email...
11 Reactions
43 Replies
7K Views
Habari zenu wana jamvini, Nimekaa kwa muda mrefu nikitafakari mwanamke gani niweze kumuoa ila leo nimeona ndo siku nzuri yakuweza kutaja ni mwanamke menye sifa gani ambaye ninamwihitaji. Sifa ni...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Wanajf nisaidieni hapa, kuna dada mmoja alikua rafiki yangu, na nilimwahidi ntamwoa, urafiki ulidumu ndani ya miaka 4, wakati nikiwa chuoni nlitengana nae kutokana nlienda kusoma Dar yeye...
1 Reactions
78 Replies
8K Views
Mimi ni msichana nina miaka 27, ninatafuta mchumba mwenye mapenzi ya kweli,asiwe mlevi wa kilevi chochote,sichagui dini,rangi wala kabila,ambaye atakuwa tayari tuanzisha familia,awe tayari tupime...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
TORY FUPI YENYE MAFUNZO KWENU WADADA Nilipoingia katika mahusiano naye nilimuamini, nikampa kila kitu nilichoweza. Nakumbuka enzi zile nyumbani tulikuwa tuna ng’ombe, niliiba maziwa kila siku na...
0 Reactions
27 Replies
42K Views
Kwenye mahusiano nimepita pengi kiasi. Na hapa nazungumzia uzoefu wangu binafsi ambao hata mimi unanitisha: Ni rahisi kumulika mwizi au kuujua uongo. Iko hivi, Ni kwamba naweza kuwa kwenye...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Clouds fm, wanapatanisha ndoa kati ya Tobby na Tausi, hivi kweli ndio njia sahihi.
0 Reactions
15 Replies
2K Views
http://youtu.be/mYHfN5PsTkY
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kwanza nawasalimia wandugu, Hvi huu mlipuko wa waganga wa kienyeji na vibao vya matangazo ndo ajira au njaa embu cheki hizi tiba... pata dawa ya 1.kuongeza uume 2.kufanya mke/mume anase akifanya...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Wanajf Je kuna ukweli wowote, kuwa mwanawake anaweza kukaa muda mrefu bila tendo la ndoa (ku-do, ngono) kuliko mwanaume?. Sababu kuu ni kwamba kila mwanaume anaposafiri kikazi au ki masomo...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
habari za wikend wanajamvi, jamani miaka kadhaa huko cku ya leo nilifanikiwa kuja duniani, sasa tangu niamke asubuhi naskilizia licha ya kupewa zawadi hata wishes za mdomo sijazickia kutoka kwa...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…