jamiif
JF-Expert Member
- Apr 30, 2012
- 2,413
- 995
jamani ebu sasa tuambiane ukweli hapa jf...hivi kama wewe ni mwanamke au ni mwanaume, ni mwanajf yupi labda kutokana na topics zake au jinsi anavyochangia mada kwa hekima na busara zake, ungetamani angekuwa au ana sifa za kuwa wako wa ubani? (si kwa nia mbaya jamani hapa pia tutajifunza kitu)...karibuni ndugu zangu!