Boflo
JF-Expert Member
- Jan 20, 2010
- 4,383
- 4,413
Je? Unafahamu kuwa Wanawake wanauwezo mkubwa zaidi wa kunusa.
Wenyewe hawajui lakini, mwamke anaweza kunusa hasira, ikiwa mumewe ana hasira hata akikaa kimya , mkewe atakuwa wakwanza kujua kwamba mmmh! leo kumeharibika.
Mwanamke pia anaweza kunusa uoga wa mumewe.
Dr Gün Semin wa Utrecht University, Ujerumani anasema hii ni kutokana na jasho la mwanamume!
Utafiti unaonyesha kuwa jasho analotoka mwanamume linatuma ujumbe katika kiwili wili cha mwanamke na kumuambukiza hali unayosikia bila ya wewe kumuambia kitu.. Jasho lako linatuma ujumbe kwa mkeo au kwa mchumba wako.
Ukiwa wewe mwanamume umeshtshwa na kitu au umebabaika au umeogopa au ana hasira. Jasho lako litasema. Na System ya mama itapokea ujumbe!
Dr Gün Semin wa Ujerumani anasema mwanamume akikasiria anatoa jasho lenye kemikali aina fulani. Akiwa na uoga anatokwa na jasho aina tofauti.
Ndio maana mkeo au mchumba wako atakuuliza kuna nini lakini? Hata ukikataa mwili wake unamuashiria kwamba lazima kuna kitu. Sio ati wao ni wajanja sana lakini jasho lako limetoa chembechembe fulani kulinagani na hali yao na hivyo kutuma ujumbe wa siri kwa system ya mama.
Ni majaliwa ya wanawake hayo.
SOURCE BBC