Inategemeana na situation imetokeaje, chukulia mfano umesafiri kikazi wiki moja upo nje, yule mdogo wako wa kiume kumbe anampenda sana mke wako na amemfuatilia muda mrefu sana, sasa usiku umeingia na wewe hujafika na jamaa kapania sana mkewe kazidiwa nguvu akaona isiwe ishu kamwachia, kumwachia tu na wewe upo hapo, sasa niambie hapa utafanya nini? una mtoto mdogo na mdogo wako wewe ndiye mlezi na mzazi, niambie utafanya nini? kwa hiyo kuna baadhi ya mambo kabla ya kufanya maamuzi unapaswa kujua vyanzo vyake, zaidi unapiga mkwara wa kufa mtu...unawachapa fimbo tatu za moto,,,,then unawaweka ktk Probation period.
but for case of mpenzi, tupilia mbali kule huyo siyo ridhiki