Mapenzi Herbalist Clinic

Mapenzi Herbalist Clinic

Boflo

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
4,383
Reaction score
4,413
Inawatangazia dawa mpya iitwayo "MNASO" imetoa mafanikio makubwa kwa kuwanasa wagoni wake Temeke.

Kwa wale wote wenye matatizo ya kusalitiwa na wenza wao wanaweza wasiliana nasi, email: ysfmab@gmail.com,

ofa ya punguzo la 30% itatolewa

docto.jpg
 
Ha ha haa.......nasikia yule wa jana alinasa kunako 0713...for the first time TEGO kuwekwa huko.....na mume alimtahadharisha mke kuwa ametega yeye akajihami kwa kutoa 0713.......kumbe nayo imetegwa pia
Ha ha ha ha nasikia pia jamaa ni kutoka visiwa vya marashi ya Karafuu
 
Ha ha haa.......nasikia yule wa jana alinasa kunako 0713...for the first time TEGO kuwekwa huko.....na mume alimtahadharisha mke kuwa ametega yeye akajihami kwa kutoa 0713.......kumbe nayo imetegwa pia

Duh watu ni hatari sana,wanaweka makitu hadi kwenye emergence EXIT,hii lazima iingie kwenye maajabu ya dunia
 
si mchezo, Boflo nauliza hivi, mbona kila siku tunasikia kuwa wanawake tu ndio wamewekewa hizo tego na waume zao, hiyo yako vipi?, mwanamke anaweza kumwekea mume wake TEGO au hiyo dawa ni mfumo JIKE tu
 
Tayari mimi nimeshainunua, Bf wangu akae mkao wa kutegeka.
 
Ha ha haa.......nasikia yule wa jana alinasa kunako 0713...for the first time TEGO kuwekwa huko.....na mume alimtahadharisha mke kuwa ametega yeye akajihami kwa kutoa 0713.......kumbe nayo imetegwa pia

Ho hohoho ...ho....lo..loooo! aibu aiseee hii mambo ya wake na waume za watu bana imekwenda next level!!!. Ka mke wako ulimkuta ukubwani tena akiwa ameishi miaka zaidi ya ishirini inakuwaje the rest of her life span unataka kunyima kufanya vitu alivyokuwa amezoea kufanya. Hapa ndipo wengi tunaanza kutumia nguvu nyingi kuilinda nanii ya mkewo wakati huko nyuma haikuwa na ulinzi.
 
Tayari mimi nimeshainunua, Bf wangu akae mkao wa kutegeka.

Kumbe ni inafanya kazi kotekote, .................. sasa Mzee wako akishikwa aibu ya nini? yako,yake au yenu?
 
Kuliko kuwekeana tego la kunasana na kuaibishana (maana wote mwenye mke/mume aliyenaswa na hao walionaswa wote mnaaibika), kwa nini wasimodify hiyo dawa ili wale walio kwenye ndoa au mahusiano yanayotambulika kindugu au kufamilia au kwa namna yeyote ya wazi wadhibitiwe vifaa vyao visiweze kufanya kazi nje ya ndoa/mahusiano? Hakuna utundu wa namna hii kuliko utaratibu huu wa kutiana aibu?

Hamuoni kuwa ikiwa hivi dhana ya usaliti wa ndoa itatoweke kabisa? Migogoro ya mahusiano na mapenzi na kufumaniana hayatakuwapo tena na familia zitaishi kwa amani na upendo? Najaribu kufikiria kipuuuzi tu yaani tukifika huko hata jukwaa la MMU linawezwa kufungwa maana kutakuwa hakuna mambo ya kujadiliana? Naifikiria jinsi dunia itakavyokuwa na amani, Lol! nivea, Kaunga, snowhite, SnowBall na wengineo mnalionaje hili?
 
nivea hakuna kitu kama hicho, ila kwa yeyote atakayejaribu kummmendea CHARMinlady asijenilaumu baadaye maana sie kanda ya ziwa tego letu sio la kawaida
 
Last edited by a moderator:
Kuliko kuwekeana tego la kunasana na kuaibishana (maana wote mwenye mke/mume aliyenaswa na hao walionaswa wote mnaaibika), kwa nini wasimodify hiyo dawa ili wale walio kwenye ndoa au mahusiano yanayotambulika kindugu au kufamilia au kwa namna yeyote ya wazi wadhibitiwe vifaa vyao visiweze kufanya kazi nje ya ndoa/mahusiano? Hakuna utundu wa namna hii kuliko utaratibu huu wa kutiana aibu?

Hamuoni kuwa ikiwa hivi dhana ya usaliti wa ndoa itatoweke kabisa? Migogoro ya mahusiano na mapenzi na kufumaniana hayatakuwapo tena na familia zitaishi kwa amani na upendo? Najaribu kufikiria kipuuuzi tu yaani tukifika huko hata jukwaa la MMU linawezwa kufungwa maana kutakuwa hakuna mambo ya kujadiliana? Naifikiria jinsi dunia itakavyokuwa na amani, Lol! nivea, Kaunga, snowhite, SnowBall na wengineo mnalionaje hili?

Wallah nikiipata hiyo ya kumfanya akienda kungine isidise nitatoa hata 10mil. Boflo fanyia utafiti hiyo aliyopropose HorsePower uone utakavyotajirika! LOL
 
Last edited by a moderator:
Kuliko kuwekeana tego la kunasana na kuaibishana (maana wote mwenye mke/mume aliyenaswa na hao walionaswa wote mnaaibika), kwa nini wasimodify hiyo dawa ili wale walio kwenye ndoa au mahusiano yanayotambulika kindugu au kufamilia au kwa namna yeyote ya wazi wadhibitiwe vifaa vyao visiweze kufanya kazi nje ya ndoa/mahusiano? Hakuna utundu wa namna hii kuliko utaratibu huu wa kutiana aibu?

Hamuoni kuwa ikiwa hivi dhana ya usaliti wa ndoa itatoweke kabisa? Migogoro ya mahusiano na mapenzi na kufumaniana hayatakuwapo tena na familia zitaishi kwa amani na upendo? Najaribu kufikiria kipuuuzi tu yaani tukifika huko hata jukwaa la MMU linawezwa kufungwa maana kutakuwa hakuna mambo ya kujadiliana? Naifikiria jinsi dunia itakavyokuwa na amani, Lol! nivea, Kaunga, snowhite, SnowBall na wengineo mnalionaje hili?
kweli binafsi ningefurahi sana huku kunasana ni aibu kwa sana jamani lol
 
Back
Top Bottom