Wadada adhabu nyingine ni mateso-Msaada plz | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wadada adhabu nyingine ni mateso-Msaada plz

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mbimbinho, Oct 26, 2012.

 1. Mbimbinho

  Mbimbinho JF-Expert Member

  #1
  Oct 26, 2012
  Joined: Aug 1, 2009
  Messages: 6,027
  Likes Received: 2,868
  Trophy Points: 280
  Happy Eid wote., ingawa najua kwangu Eid probably sijui itakuwaje.

  :focus: Nimepigiwa simu na rafiki yangu like 30 minutes ago kaniambia ana matatizo na amenicall mimi kwa kuwa ni mtu wake wa karibu sana. Wakati ananicall me nilikuwa najiandaa kutoka, lakini akasisitiza sana. Nikasema ngoja nikamsikilize.
  Akaniambia nikifika nipite room kwake direct, nikasema sawa ila sitokaa sana, hakujibu neno.

  Mi huyo nikachukua ndinga hadi kwake, kama alivyosema nikapita moja hadi room kwake, nilichokiona hakyanani sikuwahi fikiria kuna vitu kama vile. Jamaa alikuwa kalala kitandani mwili mzima kapigwa soltap(Zile karatasi gundi) mwili mzima mbaya zaidi jamaa ana nywele za kumwaga mwilini hadi huwa tunamtania kuwa yupo still kwa transision kuwa binadamu kamili.

  Nikapigwa na butwaa, nikauliza ndo mauza uza gani tena hayo, akasema hivi, nanukuu, "Mdogo wangu hii dunia we iache kama ilivyo, najua nastahili adhabu lakini sio hii".
  Ikabidi nimuulize nini hasa kimemfanya akufanyie hivo? Jamaa akasema kuwa F alimfumania jamaa anamkiss mdada mwingine bar. Ikabidi nimcall huyo F kumuuliza why amechukua uamuzi kama ule binti akasema amevumilia amechoka, kumbe ashamfumania jamaa sio kukiss tu zaidi ya mara nne. Binti alichoamua ni kumdrug msela then akambeba hadi home. Akamchojoa nguo zote kisha akampiga soltape mwili mzima, I mean except viganjani na kichwani na kwa nyayo.

  Nimejaribu kunyofoa sehemu moja, imetoka na nywele, jasho linamtoka hapa jamaa hadi huruma. Atleast zingekuwa za karatasi may be zingesalenda kwa maji, but ni hizi za nailon. Nimemwambia naenda kutafuta msaada, ndo nikasema may be naweza pata msaada hapa.

  Ni solution gani ambayo inaweza lainisha hizi gundi ili zitoke bila tatizo?
  Please, this is serious.
   
 2. W

  Wimana JF-Expert Member

  #2
  Oct 26, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 2,453
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 145
  Sijakuelewa, nadhani unatumia simu wakati issue yenyewe inabidi kila kitu kiwe wazi.
   
 3. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #3
  Oct 26, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  solusheni aache kukiss hovyo, sasa dudu itakuwaje?
   
 4. Eversmilin Gal

  Eversmilin Gal JF-Expert Member

  #4
  Oct 26, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 783
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kapatiwa kweli big up kwa mdada
   
 5. Scofied

  Scofied JF-Expert Member

  #5
  Oct 26, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 2,025
  Likes Received: 199
  Trophy Points: 160
  hiyo adhabu haikubaliki....labda jaribu kutumia maji ya uvuguvugu mkuu...pole kwake
   
 6. jamii01

  jamii01 JF-Expert Member

  #6
  Oct 26, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,836
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  nimeshindwa kuchangia sababu sijaelewa unazungumzi nini..
   
 7. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #7
  Oct 26, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,175
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  AHAHAHHAHHAHHAHHAAH HII KALI! Mtambuzi njoo usome huku!na walahi lazima niiprint hii na kumpelekea mama ngina!inakufaa sana wewe hii!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #8
  Oct 26, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,175
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  yenye ndo ilikuwa rahisi sana kuisoltepiwa yani kuzungusha tuuuuuu mpka yooote inakuwa kavard!yani ka POP vile!
   
 9. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #9
  Oct 26, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Hii kali kwa kweli,ikishindikana mpeleke hospital
   
 10. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #10
  Oct 26, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,123
  Trophy Points: 280
  Mmmmmmmmmmmmmh!!!!!!! Sasa kama kapigwa soletap simu kachukuaje?
   
 11. s

  souvenir Senior Member

  #11
  Oct 26, 2012
  Joined: Aug 24, 2012
  Messages: 136
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  hahhaha the lady is genious ila tu namlaumu ukshamfumania mwanaume unamganda wa nini fuska habadiliki
   
 12. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #12
  Oct 26, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,314
  Likes Received: 5,606
  Trophy Points: 280
  Adhabu tosha sana kwa sikukuu ya leo,hadi akimaliza kubandua hiyo solution tape,na heshima itarudi kwa F wake
   
 13. Z

  Zero One Two JF-Expert Member

  #13
  Oct 26, 2012
  Joined: Sep 16, 2007
  Messages: 9,390
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  Lara 1 mie, nataka Nije nitoe posa kwenu, nikuchukue Jumla, na Hiyo c ndo picha yako? Nikikupata nitafaidi sana.....:pop2:
   
 14. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #14
  Oct 26, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,123
  Trophy Points: 280
  Hahahaaaaaaa! Manoaaah! Fupa limewashinda FISI wewe mbwa chiwawa UTALIWEZAAAAA!
   
 15. Z

  Zero One Two JF-Expert Member

  #15
  Oct 26, 2012
  Joined: Sep 16, 2007
  Messages: 9,390
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  Mie, nitakuweza Lara 1, naomba unielewe yan nikiiona picha yako mwenzio napata shida kweli, my,! Nielewe basi moto mazuri...:pop2:
   
 16. T

  Tetra JF-Expert Member

  #16
  Oct 26, 2012
  Joined: Oct 5, 2012
  Messages: 1,523
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Anavuna alichopanda
   
 17. Z

  Zero One Two JF-Expert Member

  #17
  Oct 26, 2012
  Joined: Sep 16, 2007
  Messages: 9,390
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  Niambie, basi Lara 1 , nikupe nini uamini ninachokuambia.....
   
 18. elmagnifico

  elmagnifico JF-Expert Member

  #18
  Oct 26, 2012
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 7,913
  Likes Received: 7,458
  Trophy Points: 280
  duu kwanza ninampa pole sana kwa yaliyomkuta ila nina swali sasa kama alikuwa amefungwa mwili mzima aliwezaje kukupigia simu?
  na kama mikono ilikuwa huru kwanini hakujifungua mwenyewe sehemu nyingine mpaka akusubiri wewe?
   
 19. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #19
  Oct 26, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,041
  Likes Received: 24,021
  Trophy Points: 280
  Yani kabla sijamwonea huruma huyu swahiba nimejikuta kwanza nacheeeeka. Khaa

  On serious note ni afadhali ya mwanaume mzinzi kuliko mwanamke gaidi! Kum-drug mtu lazima mwanamke huyu ni mzoefu wa mambo flani. Hatari sana.

  Ili liwe fundisho kwake na kwa magaidi wenzake, nenda karipoti polisi. Usisahau kumwambia jamaa aseme demu kasepa na 5m zake.

  Mkuu kubandua hiyo makitu omba msaada wa daktari vinginevyo utammenya jamaa ngozi, hasa ya hiyo dudu. Source: Kongosho, snowhite.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. georgeallen

  georgeallen JF-Expert Member

  #20
  Oct 26, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 3,758
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Mbona rahisi. Tumia conc. hydrochloric acid, mwaga kwenye hiyo sellotape (au ni cellotape?) itatoka yenyewe!!!!
   
Loading...