Hapa NACHUNWA? Naomben msaada wenu tafadhali

Mabreka

JF-Expert Member
Aug 29, 2012
709
207
Kuna msichana nilikuwa na mahusiano nae siku za nyuma, na nilkuwa namsaidia (financial support) anapokuwa kakwama mahali maisha yanaendelea.
Kutokana na mambo ya hapa na pale hatukuweza kuoana so akaolewa na mtu mwingine. Tumeendelea kuwa marafiki ila hatupigi yale mambo yetu yale tena tunaheshimiana as a friend.

Sasa kaja na sera km za enzi zile "(naomba nikopeshe)" hizi huwa harirudishwagi.

Kilichonishtua kisingizio kuwa mr wake alijisahau akasafir na ATM card, so atarudisha Jamaa akirudi, ila mie najua siku hizi kuna njia kibao za kutuma pesa.

Je nikimpa atarudisha? Kiukweli sitakuwa na nguvu ya kumdai km hatarudisha mwenyewe.

HII IMEMTOKEA RAFIKI YANGU SO KAJA KUOMBA MAWAZO KWANGU.
 
kuna posibility huyo msichana anataka 'game za kirafiki'

so kama wewe uko ready kazi kwako

Ni rahisi sana kukumbuka childhood times! kama mtu hakuwa makini anajikuta anaingia matatizoni bureee!
kama ana hela ampe tu hiyo hairudi wala nini, na akimdai tu ataambiwa akachukue!!
 
Ila kumbuka alishaolewa, rafiki yangu hataki kuwa na mahusiano nae,
ila yeye anachojali ni cash yake atoe au asitoe.
hayupo tayar kuendelea kumpa financial support tena ikizingatia keshaolewa.
 
Ni rahisi sana kukumbuka childhood times! kama mtu hakuwa makini anajikuta anaingia matatizoni bureee!
kama ana hela ampe tu hiyo hairudi wala nini, na akimdai tu ataambiwa akachukue!!
Game hataki na mke wa mtu coz anajua mambo ya L .barlow yapo around(RIP)
pesa hataki kumpa coz ni nyingi sana kwake hasa km haitarudishwa.
je inawezekana kweli Mr wake kaondoka na ATM card?
 
Mwanangu Mabreka huchunwi bali unajichunisha. Jibu naona unalo sema hutaki kulikubali kama jibu. Kama hamkuweza kuoana unadhani leo utabadili kitu au unajiingiza kwenye moto mkubwa. Cha muhimu hapa ni kumwambia kuwa nawe una matatizo ya kifedha hivyo huwezi kumsaidia. Ningekuwa wewe kila anijiapo ningemuwahi kumtwisha mzinga ili asinisumbue tena. Vinginevyo hata huo urafiki wenu ni wa mashaka na kishawishi ambacho mwisho wake atakayejuta ni wewe zaidi ya yeye. Hujui baada ya kuolewa aligundua nini lakini akawa ameishanasa. Hapendwi mtu linapendwa pochi especially kwa baaadhi ya makabila ya Bongo. Nadhani unaelewa ninachomaanisha.
 
Mbona swala liko wazi huyo anataka mshiko tu,eti bwana kasafiri na ATM kwani yeye ni mama wa nyumbani and which kind of stupid husband will do that! Uwongo mwingine hata 2 year kid anastuka!
 
Huyo aliekuomba huo ushauri ana umri gani? Kama ni serengeti boys mwambie ampe tu, kama ni mtu mzima anakuomba huo ushauri na wewe unatuomba sisi basi kuna age mliivuka mlipokuwa mnakua! Kazi kwenu rudisheni miaka nyuma mtaisoma namba!!!!
 
Mbona swala liko wazi huyo anataka mshiko tu,eti bwana kasafiri na ATM kwani yeye ni mama wa nyumbani and which kind of stupid husband will do that! Uwongo mwingine hata 2 year kid anastuka!
kwa sasa hiv hana ajira coz aliacha ili akaishi karibu na mumewe,
hata hivyo hawapo karibu na huyo rafiki yangu(wapo mikoa tofauti) so alitaka azitume kwa njia ya m-pesa, kitu ambacho rafiki yangu anadai mumewe angeweza kufanya kama issue ni kuondoka na kadi tu.
 
reminiscing....nikka she miss the old u....she gave u all the hint.....the fella in captaincy is outta town...buddy....u knw the american way....give out some charity with back door interest....u can be clean as well give out n let the trimix go....ya diggy??
 
mkuu hapa either wewe au mimi nimesoma kayumba varsity.
SIJAKUELEWA kwan umetafuna jani au valuu?
 
reminiscing....nikka she miss the old u....she gave u all the hint.....the fella in captaincy is outta town...buddy....u knw the american way....give out some charity with back door interest....u can be clean as well give out n let the trimix go....ya diggy??

Mzee una udugu na mulugo?
 
Mwambie amkope kiasi ambacho hataumia sana, na baadaye amdai. Hapo ndipo arakapojua nia yake; huenda ana shida kweli na ameshindwa kutoa siri za nyumbani ndio maana kasingizia ATM.

Back then si walikuwa wapenzi? Kwanza ilikuwa wajibu wake kumsaidia kama mpenzi wake anapokwama na si kumkopa. Ni maoni yangu tu lkn!
 
Kuna msichana nilikuwa na mahusiano nae siku za nyuma, na nilkuwa namsaidia (financial support) anapokuwa kakwama mahali maisha yanaendelea.
Kutokana na mambo ya hapa na pale hatukuweza kuoana so akaolewa na mtu mwingine. Tumeendelea kuwa marafiki ila hatupigi yale mambo yetu yale tena tunaheshimiana as a friend.

Sasa kaja na sera km za enzi zile "(naomba nikopeshe)" hizi huwa harirudishwagi.

Kilichonishtua kisingizio kuwa mr wake alijisahau akasafir na ATM card, so atarudisha Jamaa akirudi, ila mie najua siku hizi kuna njia kibao za kutuma pesa.

Je nikimpa atarudisha? Kiukweli sitakuwa na nguvu ya kumdai km hatarudisha mwenyewe.

HII IMEMTOKEA RAFIKI YANGU SO KAJA KUOMBA MAWAZO KWANGU.[/QUOTE]ushakuwa Mtambuzi na wewe?
 
Last edited by a moderator:
mfundisheni matumizi ya pesa za mtandao. Amchune vizuri mume wake.
 
reminiscing....nikka she miss the old u....she gave u all the hint.....the fella in captaincy is outta town...buddy....u knw the american way....give out some charity with back door interest....u can be clean as well give out n let the trimix go....ya diggy??
buddy aint wan de gal,reminiscing aint dat gud yu knw war am sayin,dwin t clean or nasty dem shit aint that yummy!
 
Back
Top Bottom