Kwa tabia hizi za rejareja jumlisha na zile za jumla mfanoumalaya hutopata mwanamke mwenye akili labda kilaza mwenzio
1- kulalamika kila siku shida
Dada yangu mgonjwa...mama yangu yupo...
Siku moja jamaa alikuwa katika matembezi ya jioni akiwa na mke wake; katika tembeatembea yao wakapita sehemu yenye jengo jipya la hotel, yule jamaa akamwambia mkewe vyumba vya hotel hii...
Muda flani nilijikuta natumia laptop ya mai waifu mtarajiwa.Nikaperuzi kuingia Jf nikakuta id tofauti nikastuka kidg.Ktk kudadisi kwangu nikagundua ni yake sababu alitoka kutumia laptop muda...
Kabla ya ndoa mambo huwa hv;-
MME: Nilitaman sana muda huu
ufike.
MKE: Vp wataka niondoke?
MME: Hapana hata kdogo.
MKE: unanipenda?
MME: Ndo maanake.
MKE: Utaniletea dem mwingine
ndani...
Natafuta Mchumba wa kuanza naye Maisha.
Naitwa Fatma Ally ni mtanzania kutoka Zanzibar ila kwa sasa naishi hapa Doha,Qatar na ninafanya kazi na kampuni ya chakula hapa Doha,Ninatafuta mchumba...
From kahama shy tz am looking a wisdom girl & beautiful whenever you're age between 18 up to 22 for more info call me or text 789372822 all text i'll reply soon as possible.
Inasadikia kuwa kuna mambo fulani hayapaswi kufanywa na jinsia fulani. Ni vitu visivyotarajiwa kwa Mwanamke kulewa chakali mpaka kufikia kulala mbele za watu au kujikojolea. Je, hii inaleta...
Habari wanajamvi...hivi inakuwaje mtu unaandika list ya majina ya wanawake uliokuwa na uhusiano nao wa kimapenzi tena wadada sio chini ya saba..then mpenzi wako akikuuliza ya nn???? huna cha...
Wandugu,
Leo nimekutana na kisanga cha mwaka. Tulikuwa tunapata lunch kwenye hotel moja katikati ya Jiji la Dar. Jamaa alitusimulia jinsi alivyobanwa mbavu na mkewe kiasi cha kukosa amani...
I have been observing the advertisements in JF about love and noted that, whenever a male needs a girlfriend will always specify age that is below his while a female specifies above her's. Can...
Jamaa yangu alipata mpenzi tokea first yr mpaka wanahitimu walikuwa wanaish wote jamaa alikuwa amepanga,demu kwao kdogo hazkuwepo so loans hyohyo ndo alpe ada na matumiz,jamaa kwao alikuwa...
Wakubwaa zangu shikamooni!!!!!!!!
IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!! (Muungwana yeyote huanza na salamu!)
Ebanaeeeeeeeeeee ndo nimegundua HAKUNA ALIE MSAFII!!!!!!!!
Every person has 2...
Dada mmoja ambaye ana tabia za kudowea waume za watu hapa mjini leo amekumbwa na kisanga cha kufungua mwaka
alikuwa anatembea na mwarabu mmoja ambaye alikuwa ana mke sasa jana ucku mke wa...
JAMANI MIMI SITANII NIKO SERIOUS NATAFUTA MCHUMBA WA KUOA MKRISTO,UMRI 22-28,UMRI WANGU NI MIAKA 28 AWE MKWELI MSAFI ASIWE NA MTOTO(MIMI SINA),UMBO LA KAWAIDA ELIMU YEYOTE KABILA LOLOTE RANGI...
Jana nilifika kanisani baada ya kipindi kirefu sana kutokufika. Nikatowa sadaka ya haja. Mwisho wa ibada nikapewa ombi la kukabidhiwa na kuisimamia Kwaya ya kanisa. Ina wavulana 4 na wasichana...
Katika mabara yote kasoro Africa,unapokuwa kiongozi katika ngazi yoyote kijamii na serikalini na ukagundulika una mahusiano nje ya ndoa yako,unaingia matatizoni na unapoteza wadhifa wako.Ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.