HAKUNA ALIE MSAFII!!!!!!!!!! Kuzuga tu na Kujikausha!!!!!!

HAKUNA ALIE MSAFII!!!!!!!!!! Kuzuga tu na Kujikausha!!!!!!

lara 1

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2012
Posts
15,700
Reaction score
29,209
Wakubwaa zangu shikamooni!!!!!!!!

IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!! (Muungwana yeyote huanza na salamu!)

Ebanaeeeeeeeeeee ndo nimegundua HAKUNA ALIE MSAFII!!!!!!!!

Every person has 2 sides!!!! Wengine ndo 2nd side wanaificha, wengine wanakuwa hawajaanza kurealise what they are capable of! Ukiwapa exposure kidogo ndo unabring out thier WORST OF THE WORST!!!!!!! Yaani mtu ukimzoea ndo unapojua uchafu wake wa ki Silivio Berlusconi!!!!!!! Kama sio Ki Free Manson kabisaaa!!!!!Wengi/wote wamejivalisha ngozi za kondoo tu na ni good actors, na wanavipaji vya kuficha makucha yao!!!!!!!!! Mpaka Unamuogopa mtu jinsi alivo perfect kumbe ni cover tu hiyooo!

It gets WORSE in relations!!!!!!! You trust someone you shouldnt!!!!! Watu wanafukia fukia Past zao ukiwaona wife/husband material sema ukiamua ku Dig kidogo from their past balaaaaa!!!!!!!!

Hizi ni baadhi tu ya encounters nilizogundua hakuna Alie Msafi!!!!!!!

Kuna my cousin ex seminarian, mpole anaakili anajielewa!!! Sasa ndo nikasema nimzoee nipate kusali na mie kidogo, na kuambukizwa brains!!!!! Mwanzo tulikuwa tunaongea mambo ya maendeleo sana, baadae nikawa namsifia kwa mashosti, kuja kuhamaki Kawafilimba karibia wote kila mtu akiamini mwenzie hawezi kuwa low na kudate na my cousin kisiri siri!!!! Kafilimba mmoja mmoja kwa raha zake!!!!! Baada ya kugundua hilo mimi na yeye saivi tunaongea usengery tu mwanzo mwisho!!!!! Kumbe mchafuuu kuliko uchafu!!!!!! Japo bado ukoo unmuona mfano wa kuigwa!!!!!

My roomate chuo, Maza mchungaji, mzee wa kutugea wosia na kutushauri tusomee! Nikamuaminia vibaya sanaa! Aaaah wapi! Kumbe ana mibaba anaichuna vibaya mno! Kuja kumzoea nikasema Laanakum mkubwa!!!!!! Yeye no wanafunzi ni waume za watu kwenda mbele!!!! Saivi kaolewa japo chunaji na kidude anagawa kama kazi! Ila ukimkuta anatoa ushauri nasaha huwezi amini!!!!!!!!!

MMoja katoka A town mpoleee, tukawa nae chuo!!!!! Akawa anadai yeye sealed! Basi kuna siku tukaenda nae kwenye house party ya kiberlusconi!!!!!! Kunywa mi micombinenga ya alcohol mwanzo mwisho!!!! Baadae akaaanza kumdandia mkaka hamjui! Tukaona anapelekwa room! Kwenda kumuokoa Mtumishi asije ku loose precious item yake, katutukana matusi ya nguoni! Tukajisikia vibaya sanaa she is gonna loose it jst like that without a fairy tale!!!!!! Alivotoka tukawa tunampa pole! Akatuacha vinywa wazi! "Nyie wangese nini? Nani sealed? Mimi hata seal ya 0713 sinaaa! Yaani busy mkaaniamini? Mi nimeona mnajishaua my number is 3, mine is 4, wakati mimi nishaacha kuhesabu longi! Kuwakomesha nikawambia sealed" Mijicho ikatutoka!!!! Pombe sio chai!!!!!

Embu na nyie tupieni humu Wazugaji waliwaacha vinywa wazi baada ya kwa fool kuwa wao ni wemaa kumbe ni The Devil Himself in Disguise!!!!!!!

CC: Kwa wote wanaojifanya wema humu jamvini na kunichambua kama karanga!!!!!! DONT YOU HAVE SOME SKELLETONS IN THE CLOSET??????????? (Whatever you did in the darkness will come to light! Usinirushie mawe wkt unaishi kwenye jumba la kioo!)
 
Marahaba mtoto mzuri kwani we msafi?
 
Mi msafi sana! ila sina iman na wew kama ni msafi maana marafiki zako wote sio wasafi so ukitembea na mwizi nawe ni mwizi tu
 
FROM the bottom of your heart,huku ukimuogopa mungu-hivi ni watoto wangapi umetupa chooni-if you should say no i will understand kiutuuzima
 
mhhh..too much generalisation..umeongea vizuri na umeharibu ulipokusanya kila mtu na kumhukumu kwa hiyo mifano yako mitatu.. Wanafiki hata kwetu wapo na hata nyakati za Yesu walikuwepo pia..life is about choice na kila mtu atavuna alichopanda..
 
Marahaba mtoto mzuri kwani we msafi?

Hahahaaaaaa! MIMI SIO ila SIZUGI NA KUJIFANYA MOTHER TERESAAAA!!!!!!!!

Afu hiyo AVATER badili bwana unakuwa kama FREE MANSON na wewe! Avatar gani hiyo!!!!!!!!!!!!!? Usipobadili usije ku comment kwenye thread zangu!
 
You are as virgin as your room mate from A town lol

Hayo wasema wewe! Na unahisi hisi tu!!!!!!!! WHY DONT YOU FIND OUT FOR YOUR SELF!!!!!!!!! Hahahahahaaaaaaaaa!!!!!! Whata are u afraid of that you havent seen!!!!!!!????? HAHAHAAAAAAAA!

Some simple things are difficult to explain!!!!!!!! LOLEST!!!!!

Hii quote ni special kwa The Boss sio utoke utokako na kurukia kuijibu!!!!!! Noooooooo! HAYA HAYAKUHUSU!!!!!!
 
Hahahaaaaaa! MIMI SIO ila SIZUGI NA KUJIFANYA MOTHER TERESAAAA!!!!!!!!

Afu hiyo AVATER badili bwana unakuwa kama FREE MANSON na wewe! Avatar gani hiyo!!!!!!!!!!!!!? Usipobadili usije ku comment kwenye thread zangu!

Teh teh haya laazizi huko kwenyo vp mvua?
 
mhhh..too much generalisation..umeongea vizuri na umeharibu ulipokusanya kila mtu na kumhukumu kwa hiyo mifano yako mitatu.. Wanafiki hata kwetu wapo na hata nyakati za Yesu walikuwepo pia..life is about choice na kila mtu atavuna alichopanda..

Hio mitatu ni LITERATURE REVIEW TU!!!!!!!! Tukitoa yote si JAMVI HALITOTOSHA HILI!!!!!? Hio ni kama Sample ya kurepresent evidence!!!!!!! Siku hizi Thread kama unaandika Research Paper!!!!!!!!!
 
Hornestly huu ni ukweli mchungu.
"
Mimi sio muumini sana wa ku-dig past ya mpenzi wangu,ninaamini katika kubadilika.
"
Usikubali jana ikuamulie leo iweje.
Maisha yana vibwanga vyake,walio wasafi wanachafuliwa na wachafu.
"
Sijui tutajificha wapi!
 
lara 1 mbona sample size yako ni ndogo sana??
hivi wafikiri kweli kwamba hakuna watu wasafi, na je vipi kuhusu wale ambao huwa wanakosea na kutambua kwamba wamekosea na kunyanyuka kisha kujipanga upya??

so far kwa hayo uliyoyasema hapo sioni mahali ambapo nitaweza kugeneralize kwamba hakuna aliye msafi, ingawa nina admit kwamba kila mtu ana weakness yake na upande huu wa pili ni kawaida kwa binadamu yyte kutokutaka uonekane manake hata mbingu na nchi zitakushangaa.
 
Hii quote ni special kwa The Boss sio utoke utokako na kurukia kuijibu!!!!!! Noooooooo! HAYA HAYAKUHUSU!!!!!![/QUOTE]

Ha ha ha ha ha
 
FROM the bottom of your heart,huku ukimuogopa mungu-hivi ni watoto wangapi umetupa chooni-if you should say no i will understand kiutuuzima

NONE AND I AM SHOUTING FROM ROOF TOPS AND I CROSS MY HEART AND SWEAR TO MY ALMIGHTY GOD!!!!!!!!! Sijawahiiiiiii!!!!!!!! Sasa usipoamini tena basi! Ila jadili mada mkuu mimi ni kama bahari siishiwi Maajabu mapya!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom