Nimeshudia Hawala Akipigwa Chupa na Mwenye Mume

iron finger

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2011
Posts
369
Reaction score
253
Dada mmoja ambaye ana tabia za kudowea waume za watu hapa mjini leo amekumbwa na kisanga cha kufungua mwaka

alikuwa anatembea na mwarabu mmoja ambaye alikuwa ana mke sasa jana ucku mke wa mwarabu alirudi ghafla kwa sababu inasemekana alikuwa amesafiri kwa muda ndipo akawafuma mume na hawala wakijivinjari bila mawaa alichafanya yule dada ni kutoa chupa na kumtandika nayo yule hawala
mimi ni shahidi namba moja wa tukio hilo
 
akome, hajui cha mtu mavi? Ila mbona mume nae hakutandikwa chupa?
 
Hahahaaaaaaa! MUME WA MTU MTAMU SANAAAA NYIEEEE ACHENI TU!!!!!! KAMA NI SUMU MBONA PANYA HAIUI!!!!!!!??????????
Huyo hawara yaliyomkuta ni sawa na NZI kufia kidondani!!!!!!!
 
uongo huo, mlikuwa mkiliwa wawili, bahati yako wewe ulijificha kabatini, iweje wewe uwe shaidi no.1.
 
Hahahaaaaaaa! MUME WA MTU MTAMU SANAAAA NYIEEEE ACHENI TU!!!!!! KAMA NI SUMU MBONA PANYA HAIUI!!!!!!!??????????
Huyo hawara yaliyomkuta ni sawa na NZI kufia kidondani!!!!!!!

Waiweza vita ya vyupa wewe...ikikukosa ikapiga ukutani utasema ni KITU CHENYE NCHA YA TOBOA TOBO kimepita...
 
Ajali tu hiyo kama ajali zingine!!!! bahati mbaya.........
 
Dada mmoja ambaye ana tabia za kudowea waume za watu hapa mjini leo amekumbwa na kisanga cha kufungua mwaka

alikuwa anatembea na mwarabu mmoja ambaye alikuwa ana mke sasa jana ucku mke wa mwarabu alirudi ghafla kwa sababu inasemekana alikuwa amesafiri kwa muda ndipo akawafuma mume na hawala wakijivinjari bila mawaa alichafanya yule dada ni kutoa chupa na kumtandika nayo yule hawala
mimi ni shahidi namba moja wa tukio hilo
Wewe ulikuwa wapi? Ulikuwa unafanya nini?
 
wewe ni mwarabu, mke wa mwarabu au hawara?
 
Hahaha mkuu vipi hapa na ile mambo yako ya cheating, maana naona umetoa post kwa msisitizo...

Mi nalishangaa hilo jimama, tena la kiarabu linambonda chupa dada wa watu... Kwani kuna mahali liliahidiana nae chochote?
 
Hawala ni checki (ya fedha)
Hawara ni mistress.

Kiswahili kigumu.
 
Mwarabu alibada ushungu wa moyo, ikabidi avute sub!.
 
Back
Top Bottom