millionroses
Member
- Nov 12, 2012
- 19
- 2
Habari wanajamvi...hivi inakuwaje mtu unaandika list ya majina ya wanawake uliokuwa na uhusiano nao wa kimapenzi tena wadada sio chini ya saba..then mpenzi wako akikuuliza ya nn???? huna cha kujibu na zaidi akitaka kuichukua hyo diary ulipoandika hayo majina unaonekana kukwazika na unaificha. Nia ya mpenzio kutaka kuichukua ni either kuichoma moto au kuitupa mbali maana dada hujisikii vizuri kila uonapo yale majina. Nini kinapelekea nyie wanaume kuandika hiyo mijina?????