ngoshwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2009
- 4,141
- 951
Inasadikia kuwa kuna mambo fulani hayapaswi kufanywa na jinsia fulani. Ni vitu visivyotarajiwa kwa Mwanamke kulewa chakali mpaka kufikia kulala mbele za watu au kujikojolea. Je, hii inaleta taswira gani katika jamii iwapo una mahusiano au umeoa mke ambae viwango vyake vya tabia vinafikia huku???
Huyu ni mwanamke aliyekutwa akiwa hoi baada ya kunywa pombe kupita kiasi.....
Sakata hili ambalo lilitokea katika party ya rafiki yake lilizua gumzo kubwa baada ya mrembo huyu kujikojolea. Mwanzo alionekana akiwa ni mtu mwenye furaha na mchangafu.Baada ya pombe kumwelemea, binti huyu alijisogeza pembeni na kujilaza na ndipo aibu ya kujikojolea ilipomkumba.http://freebongo.blogspot.com/2013/01/binti-ajikojolea-baada-ya-kunywa-pombe.html