wakaka tunaendelea Kwa tabia hizi hutopata mwanamke mwenye akili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wakaka tunaendelea Kwa tabia hizi hutopata mwanamke mwenye akili

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Smile, Apr 12, 2012.

 1. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #1
  Apr 12, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,431
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Kwa tabia hizi za rejareja jumlisha na zile za jumla mfanoumalaya hutopata mwanamke mwenye akili labda kilaza mwenzio
  1- kulalamika kila siku shida
  Dada yangu mgonjwa...mama yangu yupo kijijini bati limechukuliwa na upepo,…shangaziyangu kafukuzwa na mume… yaani kila saa kulalamika
  Please stop that kila mtu ana shida na kwa vile hata huyo mwanamke hawezi kukusaidia ni boratu ukae nayo moyoni
  Mmekutana ni kwaajili ya mapenzi hayo mengine pls keepthem for u a self

  2 kuvuta sigara.,.
  mpo sehemu mtu anatoa minyota mimoshi hata hamuonani jamani khaaa Dah mbona tunatafutiana mafua? heri ninyamaze tu nisilambe ban bure
  Pls stop

  3 kupiga mizinga
  Dia kuna mshikaji ananidai laki tatu.... mwenye nyumba nae anasumbua plse nisaidie nitakurudishia.
  Hapo unajidhalilishani jinsi gani ulivo irresponsible mwanaume unakosa hata kodi ya nyumba ,utakuwa baba gani wa familia.......
  Keep it for u a self
  3 dharau
  Kukashifu marafiki wampenzi wako , ooh rafiki yako Yule simpendi ana vimiguu kaa kijiti daah ulionaje?
  Who are you ? unajua katoka nao wapi? Acha…

  4 uongo
  Kila kitu fix, kila kitu unajua , kila kitu unaweza .....
  Hata sahihi yaikulu unaweza kupiga ,pinda mjomba wako .makinda shemeji yako.... manji mshenga wa baba yako ptuuuuuuu....
  Upuuzi mtupu

  5 kuongea sana utadhani mtu kala cd anabadili topic kama hana akili nzuri
  Am allergic kwa kweli sipendi makasuku mimi be gentlepls

  7 too demanding
  Maswali maswali utadhani ni interview na obama au ni ya kuingia mbinguni
  Unalipwa sh ngapi job kwenu?..oooh Nani kakupigia simu jana simu yako ilikuwa busy. sina ndugu / wazazi au nimeshuka tokambinguni?
  Acheni hizo

  8 ubahili
  Toa toa toaubarikiwe,unabaaaana kama ccm igunga?
  Narudi kuendelea ……….
   
 2. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #2
  Apr 12, 2012
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Wee mwanamke una mashart sana usitegemee kama nitakutokea....ptuuuuu!!!!!!!!
   
 3. Kunta Kinte

  Kunta Kinte JF-Expert Member

  #3
  Apr 12, 2012
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 3,660
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Du Smile leo naona umeamua kututolea uvivu, haya bana nasubiri urudi tena kama ulivyoahidi
   
 4. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #4
  Apr 12, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,431
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  sizitaki mbichi hiziiii....................?????????????
   
 5. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #5
  Apr 12, 2012
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Mwanamke gani hutaki kusikiliza shida za mwenzio????
   
 6. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #6
  Apr 12, 2012
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Katika vitu usivyopenda hapo juu mimi nafiti namba mbili tuu maana ni kweli sivuti sigara, lakini kuchonga nachonga sana, mizinga napiga kama kawa, haiwezekani Smile nakuona una mawe alafu nina shida nimeshakuhadithia sana nishindwe kukupiga mzinga....lol
   
 7. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #7
  Apr 12, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Mwanamme na uongo tunamvisha kidux.
   
 8. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #8
  Apr 12, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,431
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  shida kila mtu ana shida bhana wewe
   
 9. Trustme

  Trustme JF-Expert Member

  #9
  Apr 12, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,172
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Yan wee kaka kweli ni mdada unaongea sana smile! We utakuwa umefungiwa DVD wala sio CD! Ila wote mmekutana jamani! dada magumashi, kaka magumashi, nyie mnalandana kabisaaaa!
   
 10. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #10
  Apr 12, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  mimi huwa najiuliza hili
  wanawake wanalalamika mno siku hizi kwa wanaume
  kuwapiga mizinga na kupendwa kulelewa...

  hivi haya mambo yako too common kiasi gani?
  labda katika wanaume kumi wangapi wanafanya hivyo siku hizi?

  age yao ni ipi?
  ni wanafunzi wa vyuo tu?au?
   
 11. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #11
  Apr 12, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,431
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  yaani wengi sana the boss can u imagine mtu kjajitoa mhanga anadate na mume wa mtu
  anapigwa mzinga eti mamamkwe mgonjwa ... ajatulia watoto wanadaiwa ada darling nilipie muhula huu....
  sijui tunaelekea wapi?
   
 12. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #12
  Apr 12, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,182
  Likes Received: 563
  Trophy Points: 280
  Smile kuna mambo ambayo kama mtu na rafiki yake wanasaidiana na siwezi kusema ni aibu kufanya
  Usiite kupiga mzinga
  Kama kwa mfano mshahara wangui uliishia kwenye ujenzi wa nyumba na nikaja kuomba kiasi kidogo kwako cha matumizi utasema ni mzinga na kama nachukua kwa nia kwamba nitarudisha nayo unaiita mzinga
  kuna mambo ambayo umenikuta nayo navuta sifara zangu kwa raha zangu niambie taratibu dear hiyo kitu sipendi naomba ujitahidi kuacha nitaelewa
  Hayo mengine siongei sana
  Ila duh kwa mtaji huo mume utakayempata ana balaaa
   
 13. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #13
  Apr 12, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  1. Halalamiki. . .
  2. Havuti sigara. . .anachukia hata akiona mtu anavuta.
  3. Hapigi mizinga. . .
  4. Hana dharau. . .
  5. Sijaona uongo uongo. . .
  6. Haongei sana. . .
  7. Sio demanding. .
  8. Sio bahili. .

  Ngoja niombe uchumba!!
   
 14. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #14
  Apr 12, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mambo yote huwa sina lakini hiyo namba saba somehow lazima nijue whats going on sasa kama wewe ni mpenzi wangu hutaki nijue unalipwa kiasi? au kila saa simu yako iko busy nisiulize? full time unachat na hiyo nayo ninyamaze?
   
 15. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #15
  Apr 12, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  He he he he he, ukipenda boga. . . . .

  Ratio ya 1:5 lhivi, tena wanaomba na vocha na tafadhali nipigie juu.

   
 16. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #16
  Apr 12, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Naona unaanza kututafuta uchokozi humu jamvini. Humjui rejao ee!!
   
 17. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #17
  Apr 12, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,182
  Likes Received: 563
  Trophy Points: 280

  Mkuu mambo mengine yako wazi kabisa wala hayahitaji miwani ya kusomea
  Mkuu mzima wewe
   
 18. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #18
  Apr 12, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,431
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  kaka hichi kizazi cha dot com hakina aya .wanakufanya atm kabisa ukilemaa
  kuhusu mume mimi niko simple sana sema nina ishi kwa principles zangu sipendi upuuzi kwa kweli
  maisha ni haya haya
   
 19. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #19
  Apr 12, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280

  labda wanafanya kama njia ya kukuzuia
  usimchune.....anakuwahi ili
  ushindwe hata namna ya kumchuna
  ubaki uwe unalipwa pesa yako hiyo hiyo...
  while anapata anachotaka at the same time
   
 20. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #20
  Apr 12, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,431
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  hapo kwa colour sijui?
   
Loading...