twende kazi
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 1,520
- 461
Muda flani nilijikuta natumia laptop ya mai waifu mtarajiwa.Nikaperuzi kuingia Jf nikakuta id tofauti nikastuka kidg.Ktk kudadisi kwangu nikagundua ni yake sababu alitoka kutumia laptop muda mchache uliopita then nikalog out nikaendelea na shughuli zangu.Sasa kwa wale wakware mnaojifanya wazee wa kugegeda siwatajii id yake ng'o mana wengine mkishagundua ni mali ya mtu ndo spidi inaongezeka..hahahahah cc mzabzab