acha niitwe mbaguzi... umri wangu ni miaka..30.. elim yangu dgree ya madin.. sijawahi owa wala sina mtoto.!! nafanya kazi za kuhama hama yani miezi 6 MTWARA na 6 MARA... nahitaji mchumba awe na...
Am zakayo from kaham shy tz am looking a wisdom girl n beautiful whenever you're more info call or text n soon possible i'll reply a realy answer
789372822
Ndugu wana JF, hodi hodi,
Nawaletea tatizo langu ambalo limenisibu kwa muda mrefu sasa. Najua humu kuna watu kazi yao kukejeli wenzaon na kukatisha tamaa. please naomba chukulia serious na ujibu...
Nakumbuka nimeharibu sana tu, wakati nakua; mama ndugu zangu walikuwa wakiniasa nilikuwa nawaona au wamepitwa na wakati au washamba.
leo kuna mengi nayakumbuka na ninajuta kama kaka yangu...
Hebu fanya kasensa kadogo eneo unalo ishi.. kati ya wavulana na wasichana wapi ni wengi?
Nadhani umepata jibu. Wasichana ni wengi na hasa ukizingatia swala la KUOA anaamua mvulana, bargaining...
Holiday ya X-Mass na Mwaka mpya mara kadhaa imeleta kizaazaa kwa wapenzi hasa mmoja anapokosa kuwa na uaminifu kwa mwenzake.
Mapumziko ya leo nchana tulitia timu ya watu watano kupata lunch...
Hii kwa kweli binafsi inanshangaza kua kuna baadhi ya wasichana wanaona coz kaachana na boy frend wake anaamua kutoka na rafiki wa boy wake uyo ambae kimsingi enzi izo alikua shemej!,swali ni kua...
Uko wapi wa kunitoa upweke jamani..? Nimekuwa nikisoma thread humu za kutafuta wenza nami nimeona nijiunge ili niweze kutafuta mwenza. Please nipo serious. Mi ni mwanamke mwenye miaka...
1.tafuta sehem iliyo tulivu. 2 andaa viti viwili chakwako na muhusika lengwa.3 mweleze sababu ya kumwita na lengo lako juu yake na yako. 4 panga viti kimoja nyuma na kingine mbele.5 mkaribiribishe...
Napata shida sana na hili. Wote tunafahamu kwamba jiji la Salidalama lina tatizo la usafiri na pengine kumsaidia mtu ni kitu cha kawaida kama anakwenda kazini. Lakini cha ajabu, kuna baadhi ya...
awali ya yote namshukuru mungu kwa kuamuka salama kabisa kwa kweli nilipata mwanamke kwa njia ya email ambaye tulikuwa tunachat naye kalibia miezi mitano hatujaonana isipokuwa picha alinitumia na...
Aisee kuna watu wababe jamani..... nilikua napata kilaji mahala fulani hivi ...kuna jamaa kakaa na binti mzuri sana kama meza ya tatu kutoka tulipokaa...... unajua tena sehemu starabu watu huwa...
Yaan kuna binti kakosea namba katuma msg kwangu,nikamwambia soory ni wrong number but akasema please pamoja na hayo let keep in touch nikamjibu okeey haina shida.Baada ya hapo ni mfululizo wa msg...
oyo niaje wakubwa,
hii issue ni jana tu imenikuta, ni baada ya kulala na demu 1 ambae ni house girl wa sister fulani huku A town,
anasemekana alitoroka kwa huyo bosi wake na kwenda kwa mzazi...
1. Ukibikiri, huyo ni wako tu, hata miaka mia ikipita.
2. Ukimkubali mtu inakuwa siri yako moyoni, ikimkataa unatangaza mji mzima
3. Unaye mpenda hakupendi, usiyempenda ndo kakuganda
hebu na wewe...
Wana jf habari zenu hongereni kwa mwaka mpya 2013. Leo kuna kitu nataka mnisaidie ni hivi kuna rafiki yangu kaniambia eti mke wake anamlazimisha wafanye mapenzi kinyume na maumbile japo yeye mume...
Kucheka mara kwa mara kutakuondolea msongo wa mawazo na mifadhaiko; pia kutakufanya kulala usingizi mnono na kufurahia maisha yako. Uchekeshaji ni kitu muhimu sana na ndio maana viongozi wakuu...
Inatokea unamtokea binti umempenda sana. Baada tuu ya kufahamiana na kupeana namba za simu, na
Kabla ya kupanga appointment ya kukutana.
Jambo la kwanza utakuta msg chache za kimahaba kwa...
Kichwa habari cha husika, hali ya mwenza wangu s nzuri kama zamani, alkua ananpga shoo mpaka naomba poo ... tumelzungumzia lakn yeye haoni kama ni tatizo, tusaidieni!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.