Today I celebrate all JF Dad's

Today I celebrate all JF Dad's

All Men Can Be Fathers But It Takes a special man to be a Dad. Congratulations to all JF Fathers who are Great Dad's to their kids.

Thanks a lot Karucee....stay blessed!!!

Last edited by a moderator:
Hivi ni leo Dad's day au umeamua kuifanya hii njema kwa leo? Asante tuko dad/grandpa wazuri haswa.
 
grandpa? Hahahaaaa. Haina noma. Sijuagi Fathers day inakagua lini.
 
Usishangae Karucee maana ni kwa kuwa hapa ni fake ID na kuwasiliana ni kwa key board ila tungekuwa na real ID unaweza kukuta mimi ni baba yako!! Ha ha ha!! JF ni noma!! Usijethubutu tongoza hapa maana unaweza kukuta unatongoma mama/baba/mtoto/kaka/dada jamaa yako etc. Ha ha ha!!
 
Thanks Karucee...nimshukuru Mungu kwa kunipa hekima na uwezo huo wa kuwa baba mzuri!!!
 
Last edited by a moderator:
Usishangae Karucee maana ni kwa kuwa hapa ni fake ID na kuwasiliana ni kwa key board ila tungekuwa na real ID unaweza kukuta mimi ni baba yako!! Ha ha ha!! JF ni noma!! Usijethubutu tongoza hapa maana unaweza kukuta unatongoma mama/baba/mtoto/kaka/dada jamaa yako etc. Ha ha ha!!

hahahaaaa. Umenichekesha.
 
All Men Can Be Fathers But It Takes a special man to be a Dad. Congratulations to all JF Fathers who are Great Dad's to their kids.

Ahsante mkuu Karucee, shukrani za pekee zimuendee mola muumba wa pekee kwa kuniwezesha kuwa Great Dad!

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
mungu azidi kukuwezesha bro.
 
Wow! Just saw this thread Daaah yani imengusa mpaka basi! Halafu ukizingatia na kitu fulani nakifanya at this time! Aisee asante Karucee
 
Last edited by a moderator:
Thanks Karucee,tuombee mungu atupe hekima ya kulea na kutunza watoto wetu katika maadili mema na kumcha mungu.Thanks again for your nice thread
 
Back
Top Bottom