Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Napenda kuishukuru JF kwa kuwa kiunganishi baina yangu na mume wangu mtarajiwa. December nimevalishwa pete na taratibu zote za kimila zinafuata. Ilikuwa kama utani but nimempata wangu wa...
17 Reactions
110 Replies
7K Views
At times when i go through journals and ,newspapers . I hear parents who disown children for several reasons. Notable among them are TEENAGE PREGNANCY Fathers often disown their daughters...
0 Reactions
0 Replies
983 Views
Utafiti mpya na wa kina kabisa umeonesha kuwa asilimia 85 ya wanawake duniani kote huwa wanafanya mapenzi saa 5 usiku kila Jumamosi. Kwa mujibu wa utafiti huo uliozingatia vigezo vya kibinadamu...
4 Reactions
43 Replies
8K Views
Wanajamii na Wapenzi wa Bongo Movie Tunatarajia kuanza kufanya Movie Productions based on True Stories only. Stories tunazohitaji lazima ziwe na mafunzo katika jamii na "very moving" with...
4 Reactions
135 Replies
9K Views
Habari zénu? Nimegundua wanawake wengi wanaridhika kutandikiwa vitanda na hg.Kwa kweli tunaenda kinyume na maadili,mwanamke pambo la nyumba"haimaanishi kupaka make up tu" usafi wa Chumbani...
5 Reactions
38 Replies
4K Views
1. Wanawake wana roho mbaya sana Started by Nduka Original, 17th February 2012 22:26 10 Pages • 1 2 3 4 5 ... 10 1. Wanawake wengine bwana Started by Nduka Original, 30th May 2012 16:43 2...
4 Reactions
35 Replies
3K Views
Have you been kissing lots of frogs while eagerly awaiting your prince? If you’re having little luck, it might be time to start changing where and with whom you mingle. Watch out where you go...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wanajamii na Wapenzi wa Bongo Music Tumefungua Music Production Studio ya Kisasa. Kama una kipaji cha kutunga na kuimba nyimbo na huna msaada wowote wa kufanikisha adhima yako tunaweza...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu nimejaribu kuusumbua ubongo wangu lakini sijapata jibu, nimeona niwashirikishe huenda mwisho wa siku jibu likapatikana, nauliza hivi:- je mapenzi ni kitu kinachoibuka tu baada ya kumuona...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Nipo collage na mpenz(demu)wangu ambae tumepishana mwaka mmoja kimasomo. Awali wik2 baada yakukubaliana kuwa wapenzi alikua mgumu kwa sex ila romance zingne tulifanya. Ilifikia kipindi kama...
0 Reactions
54 Replies
5K Views
Salaaam wana jamvi!!! Kuna siku mtoto alikua analia usiku, alilia kwa muda mpaka usiku sana, baada ya kubembelezwa bila mafanikio mm nikambeba nikamchapa kidogo miguuni (chapa ya kitoto)...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Boss wangu mwenye huba na mapenzi motomoto nyumba ndogo yake, anadai nyumba ndogo inampenda kwa dhati kuliko mkewe ampendavyo. Je hili lawezekana? Je sio limbwata linalomsumbua??
1 Reactions
38 Replies
4K Views
Eti mtoto wa kike kamaliza chuo tayari,yani ana job tayari,alafu mtoto wa kiume ndio yuko 1st year,hivi hapa kuna future kwel,na hakutakua na tabia ya mtoto wa kike kumdharau mshikaji kwel kwa...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
: Female quality 1: She has a life of her own Say ‘cheerio’ to the helpless heroine from classic literature, and ‘well, hello!’ to the contemporary independent woman. It’s important to show...
0 Reactions
0 Replies
942 Views
Umeolewa na una kazi nzuri sana.Mumeo nae ana kazi na mnaishi kwa amani. ' Kazini kwako kuna mfanyakazi mwenzako wa kiume ambae ni handsome na anakuvutia na umekua ukijizuia kumsaliti mumeo. '...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Mambo vipi wana mmu nahisi hapa ni mahali sahihi pa mimi kumtafuta .gf ambaye baadae anaweza kuja kuwa my future wife please atakayekuwa interested naomba ani pm kwa umbile mimi.ni...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
It's official: Condoms DON'T make sex less enjoyable Men did not find it difficult to maintain erections when putting on condoms, according to a U.S study Experts hope message will help stem...
1 Reactions
22 Replies
7K Views
Huweza kuanguka mahali hata usipotarajia...... Kama hujawahi kusikia au kama hujui, naomba nikwambie kwamba, wanawake wanaumia zaidi au ni rahisi kwao kuumia wakiwa kwenye mzunguko wa siku zao...
17 Reactions
65 Replies
6K Views
Habari wana jf mimi nina rafiki yangu wa karibu sana alikua ana mpenzi wake walikua wanapendana sana.Ila hasa hasa alieonesha upendo wa dhati ni binti ambae alijitorea mambo mengi kwa ajiri ya...
1 Reactions
57 Replies
5K Views
Wadau niaje? Mungu akipenda 2013 hii mwishon naweka ndani my college sweetheart.. Ila kusema kweli kaugonjwa cha kuchanganyikiwa nikiona miguu imebeba mzigo wa mdada.. Hata kama nitapotezea...
3 Reactions
28 Replies
3K Views
Back
Top Bottom