Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,920
Umeolewa na una kazi nzuri sana.Mumeo nae ana kazi na mnaishi kwa amani.
'
Kazini kwako kuna mfanyakazi mwenzako wa kiume ambae ni handsome na anakuvutia na umekua ukijizuia kumsaliti mumeo.
'
Lakini ikafikia siku ukashindwa kujizuia ukajikuta umemsaliti mmeo na siku unamsaliti ulimhadithia shoga yako ambae ni rafiki yako kipenzi,na zaidi ni mfanyakazi mwenzako.
'
Uhusiano huo ukawa unaufanya kwa siri na huyo shoga yako akawa ni shuhuda na mshauri wako mkuu kwenye uhusiano wako wa siri na handsome wako.
'
Siku moja simu yako ikawa haina chaji na ukamuomba shoga yako simu ili umuambie mumeo kuwa utachelewa kwa kuwa una miadi na handsome wako,huku ukiamini shoga yako hana namba ya mumeo,lakini mara ulipoandika na kuipiga,ghafla inaandika "sweetie".
'
Unaamua kupiga tu,kisha unasikia upande wa pili unapokea na unaisikia sauti ya mumeo ikisema "jamani sweetie,nitakuletea tu ile pesa halafu nitakuja leo na tutakaa mpaka saa sita kisha nitarudi kwa . . . . .(anakutaja jina) kutokana na mshtuko unakata simu
'
Je utafanya nini?Ukizingatia huyo shoga yako anajua penzi lako la siri na handsome wako?