Nduka Original - Wanawake Wamekosea nini Kwako Jamani???

Nduka Original - Wanawake Wamekosea nini Kwako Jamani???

Iselamagazi

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2011
Posts
6,083
Reaction score
6,239

1. Wanawake wana roho mbaya sana
Started by Nduka Original, 17th February 2012 22:26
10 Pages •
1 2 3 4 5 ... 10

1. Wanawake wengine bwana
Started by Nduka Original, 30th May 2012 16:43
2 Pages •
1 2
1. Wanawake acheni hizi tabia
Started by Nduka Original, 13th November 2011 09:50
2 Pages •
1 2

1. Nyie wanawake acheni huu uongo basi
Started by Nduka Original, 9th October 2012 08:55
3 Pages •
1 2 3
1. Wanawake mmezidi uwongo acheni hizi tabiaaaaaaaaaaaaaaa
Started by Nduka Original, 26th November 2011 21:38
2 Pages •
1 2

1. Wife akitoka ku do nje ana behave hivi
Started by Nduka Original, Today 16:04
3 Pages •
1 2 3

Nduka Original, hivi wanawake wamekosea nini kwako??
 
inaelekea wamemtenda kisawasawa kwa hiyo huku anakuja kupunguza stress lol!sio vibaya kikubwa upone maana huo nao ni ugonjwa..:confused2:
 
Aisee Iselamabazi naona umeamua kuweka thread kabisa, haha haha hawajanikosea kitu chochote ni changamoto tu huwa watu wanazipata na pia hawa jamaa zetu hawajanyooka kiviiiiiiiiiiile hivyo tukae nao kimachale. Wanachoniuzi wote majibu yao ni very simple, utasikia

1. Siyo wote
2. Mara mimi sijui kama ningeamua kua muhuni yani......... kumbe ni muhuni wa kupindukia
3. Wote wanajifanya wameanza mapenzi baada ya kumaliza chuo, wakati tukiwa form two kuna ambao wanatoa mzigo
4. Yani wewe ni boy friend wangu wa 2, atajifanya wakwanza ndie aliyembikiri na alifanya kumbaka
5. Mwengine wakati una mu approach atakuambia mimi BF yuko nje kumbe yuko Manzese
6. Mara mimi kuolewa sitaki kabisa kumbe keshamaliza wachumba wote

Basi ni mambo kama hayo tu ndugu, je wewe huja experience mambo kama hayo??????
 
Ukimchunguza bata....

tatizo most men mnakurupukia na ma dada wazuri ndo mnaishia kudanganywa kama hvyo! Utongoze leo ule leoleo labda changu! Mcone vyaelea jaman vimeundwa! B a gentlemen na patience utakula bila taabu yoyote!
 
Back
Top Bottom