Miguu jamani,, Miguu ya wadada inaninyima Amani

Miguu jamani,, Miguu ya wadada inaninyima Amani

MKATA KIU

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Posts
3,481
Reaction score
8,605
Wadau niaje?

Mungu akipenda 2013 hii mwishon naweka ndani my college sweetheart..

Ila kusema kweli kaugonjwa cha kuchanganyikiwa nikiona miguu imebeba mzigo wa mdada.. Hata kama nitapotezea siachi kugeuka kutazama mara mbili na kuusifu uumbaji wa muumba..

Nataka niache kabisa hii tabia maana nampenda sweetheart naomba mawazo nifanyeje jamani nifumbe macho nisione au? Maana leo nimeingia bank moja Arusha kwenye assigment ya kazi duh wacha nitoe macho mpaka my senior kanishtukia akasema mdada naomba uvae nguo ndefu j mos maana kijana wangu hapa kashaona miguu hapa kazi inaweza isiende...

Nimeona aibu lakini ni ukweli,, jaman nifanyeje ili pepo la kutoizoea miguu mizuri linitoke maana hata wife to be nae kwenye hiyo kitu hayupo nyuma lakini simzoei tu nisiitazame...
 
una ugonjwa wa ajabu sana huna tofauti na wagonjwa wa fistura.

Ha ha ha jamii forums is never boring.. Mkuu mbona unatoka povu karibu castle light huku tunawachek Congo vs niger upunguze hasira
 
Pole yako ila kuangalia uumbaji wa Mungu sio shida ila kama unaenda zaidi ya miguu hapo ndo shida,endelea kushangaa tu macho hayana pazia
 
Aisee, kama mimi na miguu ya Paw! Yaani siizoei. Natamani nimvalishe pensi daily! Ila mwenzio siiwazi miguu ya wengine. Na sijawahi kuona mtu anemzidi uzuri wa miguu hadi nihamishe mawazo.

Ni kakichaa flani nahisi hakana tiba. Jifunze usiwe unashangaa miguu, ukiona angalia hamisha mawazo kwa mchuchu.
 
Me ugonjwa wangu huwa ni mapaja ya wadada,yani nikayaona 2 huwa nadata.
 
inanikumbusha dar kwenye dala dala iliyofurika njemba aliyepata kiti akimkaribisha mdada asimame mbele yake wakati mwingine katikati ya mapaja.
sasa zile chupa za bia zinakuwa zimeikandamiza nini hii........
 
Hakikisha unakunywa mchemsho wa vichwa vya kuku, achana kabisa na kula miguu na vipaja vya kuku...
 
Ha ha ha......hii kweli kiboko.........ni fistula baba.....duh JF bana.....

Mpenzi usisahau kuvaa bai bui manake huyu MKATA KIU asije akakudandia! Unajua sina uwezo wa kuajiri KK security wakulinde labda hilo bai bui litasaidia!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom