Wakuu nimejaribu kuusumbua ubongo wangu lakini sijapata jibu, nimeona niwashirikishe huenda mwisho wa siku jibu likapatikana, nauliza hivi:-
- je mapenzi ni kitu kinachoibuka tu baada ya kumuona mtu wa opposite sex ambaye hukuwahi kumuona hapo kabla ?
- je mapenzi baina ya me na ke yanajengwa kwa ku apply vitu flani baada ya kuwa pamoja na opposite sex for some time? If yes mention vitu gani hivyo ?
- unatofautishaje baina ya kupenda na kutamani?
- je kuna uwezekano ukampenda zaidi ya mtu mmoja of opposite sex ?
- in a normal conversation with opposite sex ni alama gani zitakubainishia kuwa anakupenda?
- wakuu fungukeni