Hivi hili linawezekana kweli wakuu?

Hivi hili linawezekana kweli wakuu?

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
10,082
Reaction score
2,358
Eti mtoto wa kike kamaliza chuo tayari,yani ana job tayari,alafu mtoto wa kiume ndio yuko 1st year,hivi hapa kuna future kwel,na hakutakua na tabia ya mtoto wa kike kumdharau mshikaji kwel kwa vile hana pesa..maana kwa sasa gal anaonyesha kama anampenda mshkaji kweli but me nahc in long run hakutakua na mapenz hapa,nyie wadau mnashaurije,me binafc nimemshauri msela aendelee nae ila asimtilie maanani kivile?
 
Aendelee nae tu siku akimuacha si itakuwa kajichezea mwenyewe.Atamsaidia pale boom likichelewa so huyo demu ni asset kwa dogo kama hujui.
 
Kama mapenzi yangekua yanachagua hali ya mtu basi maskini wangeoana wenyewe, wenye elimu nao hivyo hivyo, wasio na elimu hivyo hivyo.
Ila kwakua mapenzi ni baina ya mtu na mtu angali tu wameridhiana na kuwa na ndoto zinazofanana naamini watadumu,
Chamsingi ni kuwa wavumilivu, kuongeza upendo na furaha katika baina yao itasaidia kulidumisha penzi lao.
 
Huyo msichana kama kamaliza Chuo cha upishi Njuweni na jamaa yupo first year UDSM basi hakutakuwa na dharau...

gal kamaliza mzumbe last year,sa hzi anapga mzigo kwenye auditing firm flani hapa mjini,mshkaji ni rum mate wangu ila ye kutokana na mishe za maisha akajikuta anachelewa kuingia chuo.
 
Aendelee nae tu siku akimuacha si itakuwa kajichezea mwenyewe.Atamsaidia pale boom likichelewa so huyo demu ni asset kwa dogo kama hujui.

Mkuu Billie na kale kaugonjwa "KATAIFA" kata mwacha huyu dogo.......!!!
 
Last edited by a moderator:
gal kamaliza mzumbe last year,sa hzi anapga mzigo kwenye auditing firm flani hapa mjini,mshkaji ni rum mate wangu ila ye kutokana na mishe za maisha akajikuta anachelewa kuingia chuo.

Tatizo nilidhani ni umri, kumbe ni degree na kazi? Nimeshuhudia watu wanaoa graduates wenye kazi zao, huku wao wakiwa sio graduate wakajiendeleza na maisha yanaendelea. LOVE DOESN'T ASK WHY.......
 
Mbona poa tu!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
hakuna ubaya wowote,tena nahisi huyo kaka ndo anaweza kuja kumtenda huyo dada siku mambo yakimnyookea.
 
tatizo nilidhani ni umri, kumbe ni degree na kazi? Nimeshuhudia watu wanaoa graduates wenye kazi zao, huku wao wakiwa sio graduate wakajiendeleza na maisha yanaendelea. Love doesn't ask why.......

love don't cost a thing
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom