Mpenzi wangu ghafla agomea katu katu tusitumie CONDOM

PistolGang

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2013
Posts
392
Reaction score
44
Nipo collage na mpenz(demu)wangu ambae tumepishana mwaka mmoja kimasomo. Awali wik2 baada yakukubaliana kuwa wapenzi alikua mgumu kwa sex ila romance zingne tulifanya.
Ilifikia kipindi kama mwezi1 mbele baada ya kuwa wapenzi akaniruhusu tukawa tunasex kama kawaida japo ilikuwa ni kila wikend lkn tukawa tunatumia ©ndom kama kawaida bila tatizo.
Siku ya tukio, ikiwa ni kama x6 kusex nae tulikua bed na romance nying mara tukasex bila ©ndom kwa kujisahau na baada ya mzuka kukolea lkn ile tunajiandaa kutafuta bao la pili si ndio nikaichukua ©ndomu kwan zilikuepo pembeni. Cha kushangaza akagoma nisivae ©ndomu yan kakataa katakata ili tuendelee ivo ivo na mimi kama nikasitukia sikutaka tena kurudia bila kuvaa japo la kwanza nilipitiwa.
Kulingana na ile hali kila mtu akashikilia msimamo wake. Hivyo bas, suluhisho ikawa kusitisha zoezi kwa siku ile tukaondoka. Lkn wkend nyengine tukaendeleza sex km ratiba ila tulivaa na tukaendelea kuwa tunavaa.
Utata kwangu, huwa hanip sababu yakung'ang'ania ilesiku. Wana JF mtazamo
 
Safe Sex: Safe Sex: if you're gonna make love with the person whom you love so much. Do it wearing the safest thing. A Wedding Ring!" Roderick Richardson
 
mmn, unategeshewa bomu wewe, stuka!

Sasa hivi utaskia, kanikamulie juisi ya ndimu
 
Mmh, ndoa zenyewe nako wanaangamia tu

Safe Sex: Safe Sex: if you're gonna make love with the person whom you love so much. Do it wearing the safest thing. A Wedding Ring!" Roderick Richardson
 
ana hamu ya kua mama kwa hiyo alikutegeshea too bad haikwenda kama alivyotaka
 
Unafanya mapenzi na mafuta...ya ndom...inshort ndom ni uzushi tu...tafuta mmoja uenjoy maisha nae
 
Nipo collage na mpenz(demu)wangu ambae tumepishana mwaka mmoja kimasomo. Awali wik2 baada yakukubaliana kuwa wapenzi alikua mgumu kwa sex ila romance zingne tulifanya.
Ilifikia kipindi kama mwezi1 mbele baada ya kuwa wapenzi akaniruhusu tukawa tunasex kama kawaida japo ilikuwa ni kila wikend lkn tukawa tunatumia ©ndom kama kawaida bila tatizo.
Siku ya tukio, ikiwa ni kama x6 kusex nae tulikua bed na romance nying mara tukasex bila ©ndom kwa kujisahau na baada ya mzuka kukolea lkn ile tunajiandaa kutafuta bao la pili si ndio nikaichukua ©ndomu kwan zilikuepo pembeni. Cha kushangaza akagoma nisivae ©ndomu yan kakataa katakata ili tuendelee ivo ivo na mimi kama nikasitukia sikutaka tena kurudia bila kuvaa japo la kwanza nilipitiwa.
Kulingana na ile hali kila mtu akashikilia msimamo wake. Hivyo bas, suluhisho ikawa kusitisha zoezi kwa siku ile tukaondoka. Lkn wkend nyengine tukaendeleza sex km ratiba ila tulivaa na tukaendelea kuwa tunavaa.
Utata kwangu, huwa hanip sababu yakung'ang'ania ilesiku. Wana JF mtazamo

Kapime Virusi!!!
 
nipo collage na mpenz(demu)wangu ambae tumepishana mwaka mmoja kimasomo. Awali wik2 baada yakukubaliana kuwa wapenzi alikua mgumu kwa sex ila romance zingne tulifanya.
Ilifikia kipindi kama mwezi1 mbele baada ya kuwa wapenzi akaniruhusu tukawa tunasex kama kawaida japo ilikuwa ni kila wikend lkn tukawa tunatumia ©ndom kama kawaida bila tatizo.
Siku ya tukio, ikiwa ni kama x6 kusex nae tulikua bed na romance nying mara tukasex bila ©ndom kwa kujisahau na baada ya mzuka kukolea lkn ile tunajiandaa kutafuta bao la pili si ndio nikaichukua ©ndomu kwan zilikuepo pembeni. Cha kushangaza akagoma nisivae ©ndomu yan kakataa katakata ili tuendelee ivo ivo na mimi kama nikasitukia sikutaka tena kurudia bila kuvaa japo la kwanza nilipitiwa.
Kulingana na ile hali kila mtu akashikilia msimamo wake. Hivyo bas, suluhisho ikawa kusitisha zoezi kwa siku ile tukaondoka. Lkn wkend nyengine tukaendeleza sex km ratiba ila tulivaa na tukaendelea kuwa tunavaa.
Utata kwangu, huwa hanip sababu yakung'ang'ania ilesiku. Wana jf mtazamo
hayo ndio tuliyowatuma vyuoni?
 
Nipo collage na mpenz(demu)wangu ambae tumepishana mwaka mmoja kimasomo. Awali wik2 baada yakukubaliana kuwa wapenzi alikua mgumu kwa sex ila romance zingne tulifanya.
Ilifikia kipindi kama mwezi1 mbele baada ya kuwa wapenzi akaniruhusu tukawa tunasex kama kawaida japo ilikuwa ni kila wikend lkn tukawa tunatumia ©ndom kama kawaida bila tatizo.
Siku ya tukio, ikiwa ni kama x6 kusex nae tulikua bed na romance nying mara tukasex bila ©ndom kwa kujisahau na baada ya mzuka kukolea lkn ile tunajiandaa kutafuta bao la pili si ndio nikaichukua ©ndomu kwan zilikuepo pembeni. Cha kushangaza akagoma nisivae ©ndomu yan kakataa katakata ili tuendelee ivo ivo na mimi kama nikasitukia sikutaka tena kurudia bila kuvaa japo la kwanza nilipitiwa.
Kulingana na ile hali kila mtu akashikilia msimamo wake. Hivyo bas, suluhisho ikawa kusitisha zoezi kwa siku ile tukaondoka. Lkn wkend nyengine tukaendeleza sex km ratiba ila tulivaa na tukaendelea kuwa tunavaa.
Utata kwangu, huwa hanip sababu yakung'ang'ania ilesiku. Wana JF mtazamo
Kama mwanzo ulienda pekupeku, kulazimisha cha pili lazma uvae condom, ingekusaidia vipi kujikinga na VVU? Kama ni VVU tayari umeishavichukua
 
Ushaliwa,jiandae japo kutoa hela ya kutolea mimba aliyopewa na wajanja
 
Mwenzio alinogewa na kavu alafu wee umemnyima mwenzio raha ya kweli....u selfish wewe
 
Nipo collage na mpenz(demu)wangu ambae tumepishana mwaka mmoja kimasomo. Awali wik2 baada yakukubaliana kuwa wapenzi alikua mgumu kwa sex ila romance zingne tulifanya.
Ilifikia kipindi kama mwezi1 mbele baada ya kuwa wapenzi akaniruhusu tukawa tunasex kama kawaida japo ilikuwa ni kila wikend lkn tukawa tunatumia ©ndom kama kawaida bila tatizo.
Siku ya tukio, ikiwa ni kama x6 kusex nae tulikua bed na romance nying mara tukasex bila ©ndom kwa kujisahau na baada ya mzuka kukolea lkn ile tunajiandaa kutafuta bao la pili si ndio nikaichukua ©ndomu kwan zilikuepo pembeni. Cha kushangaza akagoma nisivae ©ndomu yan kakataa katakata ili tuendelee ivo ivo na mimi kama nikasitukia sikutaka tena kurudia bila kuvaa japo la kwanza nilipitiwa.
Kulingana na ile hali kila mtu akashikilia msimamo wake. Hivyo bas, suluhisho ikawa kusitisha zoezi kwa siku ile tukaondoka. Lkn wkend nyengine tukaendeleza sex km ratiba ila tulivaa na tukaendelea kuwa tunavaa.
Utata kwangu, huwa hanip sababu yakung'ang'ania ilesiku. Wana JF mtazamo

Mpaka mnafikia romance deep na kufunguana zipu za pochi hamkuwa mmepimana kwanza!!! Kijana unashariwa kupima kwanza na rafiki ambaye hamjawa wapenzi ili at least at first place ujue hakuna kirusi na huku mkiendelea kutumia ile ndom maana unapoagana naye hujui ni nani anapita!!! Hakuna wapenzi wakweli miaka hii!! Full kudanganya uko na Asha leo kesho na Anna na wao wao kesho wako na Ali na Joseph!! The mtandao grows!!! Beware!! Kapime kwanza ngoma!!! Eti unakimbilia kuvaa ndom wakati umeshapiga kavu!! Ya nini sasa!! Pole sana!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom