::
Hiyo ni kauli ya rafiki yetu ambae ameoa hivi karibuni.
Hakuniambia mimi tu bali wengi ambao tupo nje ya taasisi hii tukufu ya ndoa.Ni kama ametutenga Mi kabla ya kulaumu nilitaka wa Jf...
Nimegundua kwa ushahidi ulio wazi kabisa asilimia 90 ya mabinti chini ya miaka 23 wanapendelea wapenzi ambao ni waume za watu nimejaribu kujiuliza nikwanini nimekosa jibu la moja kwa moja nikaona...
Hi! jf, nina mchumba wangu ambae ni mchaga natarajia akimaliza degree yake mwezi wa saba ili mwishoni mwa mwaka huu tuoane, bt hataki twende nkamtambulishe kwe2 ila anataka kwao first, hilo ndo...
Nilikuwa na mchumba ambae tulipendana.pindi nimechaguliwa chuoni 2012 akadai kuwa ange nisubiria lakini nilipo rudi rikizo nilikuta wametoa mahari sabab et kashawishiwa na dada ake ,na hivi sasa...
Akina dada na kina mama, mloolewa ama kutoolewa naamini na kutumaini kuwa ukisoma hii thread inaweza kukusaidia (si lazima) wewe kuweza muelewa Mama mkwe wako vizuri.
Naomba basi tukumbuke na...
LOVE MATTERS As for me love is not only everything but more than that.But love matters confuse my mind,Adhere to the following.If one is loved by each and every one, love becomes meaninglessOne...
Mimi ni () naishi mwenge Dar es salaam naomba utalifuta jina la baba yangu maana sitaki liwe kwenye blog watu watanijua na kuniangamiza maana nimeshawaangamiza wengi sana kwa UKIMWI ila mengine...
Clinical trials for a new technique
pioneered by Danish researchers
are underway, and doctors are
optimistic
Danish researchers are readying
human trials for a potentially life-
saving new HIV...
Ninamanisha Jamani,BINTI Yeyote aliyetayari kunipenda,KUNISIKILIZA na kuolewa na mimi Tuwacliane! Vigezo Awe na umri kati ya 24 na 26,ana asili ya kaskazini,mkristo,ANAJIHESHIMU,Urefu wa...
Ndugu wanaJF Salam,
Taarifa zilizonifikia hivi punde ni kwamba mwanaJF mwenzetu ndugu Mtambuzi amefiwa na mama mkwe muda mfupi uliopita.
Mama mkwe wa Mtambuzi amefikwa na mauti akiwa amelazwa...
wana jf da! nahisi labda sijajua mapenz yakwel ni yapi,what girls like?,what man like ,,kwanini mahuziano yanakua yakawaida kiivo yan kama kuigiziana kirahisi rahisi tu vile!me sijielewi labda...
UNGEBAHATIKA kumuona mwanaume mmoja, mkazi wa Sharif Shamba, Ilala jijini Dar, Beda Mloka Baba Tony alivyokuwa ametapakaa damu chapachapa, lazima uulize kulikoni ambapo jibu ni moja tu la...
Kwa huyu jamani mbona kwangu amekuwa hivi. I realy fall in love kwa mke wa mtu huyu.
Akiongea na mimi, akiniangalia, akitabasamu, akicheka, tukishake hand, akinishauri, tukipiga stori, akinisaidia...
WAKUU leo imenibidi niingie chumba hiki kutafta msaada wa kmawazo . Mzigo wenyewe ni ivi kuna demu mmoja hapa kitaa nimetkea kumpenda ile mbaya nikaamua kumtupia nyavu...
Udanganyifu sasa umekuwa ni jambo la kawaida,hasa katika suala la ndoa. Wanawake wengi hufunga ndoa za uongo ili kutimiza malengo yake.
Baada ya kupata kile anachohitaji huanza vituko na...
Having sex in a car can be
awkward, if you get caught. To
prevent this awkwardness, some
European cities have created drive
in "Sex Boxes."
Hii biashara ya mabox ukiileta Coco Beach utapata sana hela
Habari wana MMU. Mimi ni kijana wa kiume. Baada ya kujitathimini mimi binafsi, bila kushawishiwa na mtu (external influence) zaidi ya moyo wangu napenda kutangaza wazi kuwa nahitaji mwenza kifupi...
Wana Jf,
Mie ni mgeni hapa. Naomba nitumie nafasi hii kwa malengo mawili makubwa. Moja ni kubisha hodi ili wenyeji mnipokee na kunionyesha njia. Pili ni kuwakilisha mada inayohusu hicho kichwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.